Quantcast
Channel: ARAWAY MEDIA TANZANIA
Browsing all 6822 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MFUKO WA GEPF WAFANYA MKUTANO NA WADAU ARUSHA WAJADILI MASWALA MBALIMBALI YA...

MKUU  wa mkoa wa Arusha, Felix Ntibenda akiwa anafungua mkutano ulioandaliwa na mfuko wa mafao ya kustaafu wa GEPF kwa wadau wake jijini Arusha uliolenga kujadili maswala mbalimbali ya mfuko wa mafao...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BODI YA MANUNUZI NA UGAVI (PSPTB) YATOA MAFUNZO KWA WANAFUNZI WA CHUO CHA...

Mwakilishi wa Mkurugenzi Mtendaji wa PSPTB, Winfrida Igogo akitoa mada katika mafunzo ya wanafunzi wanaosoma masomo ya manunuzi na ugavi katika Chuo cha TIA Mbeya.Wanafunzi ambao wanasoma masomo ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AHUDHURIA SHEREHE ZA UASKOFU JIMBO KATOLIKI SHINYANGA

ais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza askofu Mpya wa Jimbo Katoliki Shinyanga Mhashamu Liberatus Sangu wakati wa ibada ya kumweka wakfu iliyofanyika katika kanisa kuu la Parokia ya Mama mwenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZITTO AHUTUBIA WAKAZI WA IRINGA MJINI

Kiongozi wa Chama cha ACT –Wazalendo Zitto Kabwe akiwahutubia wakazi wa mji wa Iringa na Vitongoji vyake jana, ambapo ameibua ufisadi wa Sh.54 Trillioni kwenye ujenzi wa bandari ya Mwambani Mkoani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MEYA WA MANISPAA YA KINONDONI YUSUPH MWENDA AZOA TUZO YA MEYA BORA TANZANIA

Rais Jakaya Kikwete akikabidhi tuzo ya Meya Bora Tanzania kwa Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda baada ya kushinda tuzo hiyo kitaifa iliyoandaliwa na Jumuiya ya Tawala za Mitaa nchini (ALAT)...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

18 WAPOTEZA MAISHA, 11 WAJERUHIWA KATIKA AJALI YA BASI LA NGANGA NA FUSO...

Na Father Kidevu Blog, Morogoro.WATU 18 wamepoteza maisha papo hapo kwa kuteketea na moto huku wengine  11  wakijeruhiwa vibaya  kwa moto kufuatia magari mawili kugongana ambayo ni Basi Scania mali ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YANGA YAENDELEZA MAJANGA KWA WAPINZANI, SAFARI HII NI MBEYA CITY

Kiungo Mchezeshaji wa timu ya Yanga, Haroun Niyonzima akiangalia kwa kupeleka mpira wakati wa mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara unaoendelea kwenye Uwanja wa Taifa hivi sasa.Yanga imeshinda mchezo huo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZITTO ATIKISA NJOMBE NA MAKAMBAKO

Viongozi wa Chama cha ACT –Wazalendo wakiangalia mazao ya wakulima waKijiji cha Mkongotema wilayani Songea vijijini jimbo la Peramiho janaaliposimamishwa kijijini hapo ili afungue tawi la chama hicho...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TRA YATOA MAFUNZO YA UKUSANYAJI KODI KWA WAAJIRIWA WAPYA

Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipa Kodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Richard Kayombo akiwakaribisha wageni katika hafla ya ufunguzi wa Mafunzo ya ukusanyaji kodi kwa waajiriwa wapya Leo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWENYEKITI WA KIJIJI ASABABISHIA FAMILIA SABA KUKOSA MAHALA PA KUISHI BAADA...

 Baadhi ya mashamba ya migomba yaliyofyekwa na kijiji kwa madai kuwa shamba hilo lipo ndani ya eneo la kijiji,Baadhi ya wahanga waliovunjiwa nyumba zao wakiwa katika mabaki ya nyumba hizo ,katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHULE YA SEKONDARI YA KUTUKUTU MOROGORO WAFAIDIKA NA MRADI WA "AIRTEL SHULE...

Wanafunzi wa shule ya sekondari Handeni iliyopo wilayani Handeni wakisoma vitabu vilivyotolewa na Kampuni ya Airtel shuleni hapo kwa ajili ya masomo ya sayansi vyenye thamani ya sh.milioni mbili.Meneja...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WIZARA YA AFYA YARIDHISHWA NA VIWANGO TBL

 Mshauri wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Phocus Lasway akitoa maelezo kwa Naibu Waziri wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dk. Kebwe Stephen Kebwe (kulia) wakati wa ziara ya Kiwanda cha Dar es Salaam...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPUNI YA TIGO YADHAMINI KONGAMANO LA WANACHUO WA IAA ARUSHA

Meneja wa Tigo Kanda ya Kaskazini Deogratius Ndejembi akiongea na wanachuo wa chuo cha Uhasibu Arusha(IAA) wakati wa kongamano la kuwaelimisha na kuwasaidia wanavyuo jinsi ya kupata ajira wamalizapo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAOFISA WA SMZ WAHUDHURIA MAFUNZO KUHUSU MAFUTA NA GESI NCHINI CHINA

Maafisa Waandamizi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakiwa katika picha ya pamoja nchini China wanakohudhuria mafunzo ya muda mfupi kuhusiana na mafuta na gesi asilia, katikati ni mmoja wa wenyeji wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UZINDUZI WA MFUKO WA UCHAGUZI WA MKOA WA MJINI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar  (katikati) Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif ALi Iddi (kulia) na Naibu Katibu Mkuu wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AZINDUA KOZI MAALUMU YA MAADILI NA UONGOZI, AMSIMIKA MZEE MSEKWA...

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akielekea kwenye uwanja wa shughuli tayari kuzindua Kozi Maalum ya Maadili na Uongozi katika Chuo cha Kumbukumbu ya Nyerere Kigamoni jijini Dar es salaam jana. Pamoja naye ni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZITTO KABWE MOROGORO

Viongozi wa Chama cha ACT -Wazalendo wakicheza wimbo wa chama hicho, kwenye eneo la Uwanja wa ndege mjini humo jana kabla kiongozi wa chama hicho Zitto Kabwe hajaanza kuhutubia katika mji wa Morogoro...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAMA WAKISHIRIKIANA NA ENGENDER HEALTH WAANDAA SEMINA YA KUZUIA MIMBA ZA UTOTONI

Meneja Uragibishi na Mawasiliano wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, Ndugu Philomena Marijani (aliyesimama)akitoa maelezo mafupi kuhusu semina ya siku 5 kwa wanafunzi wa Shule za Sekondari...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BODI YA CHAKULA NA DAWA ZANZIBAR KWA UFADHILI WA WHO YAFANYA SEMINA YA SIKU...

Mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Zanzibar Dkt. Andymicheel Grimany akifungua semina ya ushajishaji juu ya usalama wa chakula iliyoandaliwa na Bodi ya chakula na Dawa iliyofanyika Hoteli ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAMISEMI YATOA UFAFANUZI UHABA WA VYAKULA MASHULENI

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI Bw. Jumanne Sagini akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari  (hawapo pichani) leo jijini Dar es Salaam kuhusu baadhi ya Shule za Sekondari za Bweni...

View Article
Browsing all 6822 articles
Browse latest View live