MWAKILISHI MKAZI WA MASHIRIKA YA UMOJA WA MATAIFA NCHINI, AMTEMBELEA WAZIRI...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (katikati) akimsikiliza Mwakilishi Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini, Alvaro Rodriguez (kulia), wakati kiongozi huyo alipomtembelea Waziri...
View ArticleTEXAS WANYAKUA BAJAJ FAINALI ZA DIWANI CUP MIKOCHENI, DAR ES SALAAM
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda akiwakagua wachezaji wa Morning Stars kabla ya kuanza kwa mechi katika uwanja wa Shule ya Msingi Mikocheni, Dar es SalaamMeya wa Manispaa ya Kinondoni,...
View ArticleMAAZIMISHO YA MIAKA 21 YA KUMBUKUMBU YA MAUAJI YA KIMBARI
Mgeni rasmi Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dr. Harrison Mwakyembe na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania, Eugene Kayihura wakiwasha mishumaa maalumu kuwakumbuka raia waliouwawa katika mauaji...
View ArticleRADIO ZA JAMII ZASHUKURU KWA KUPOKEA KATIBA INAYOPENDEKEZWA KWA NJIA YA SAUTI`
Wasimamizi wa redio za jamii wakisikiliza kwa makini wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo yaliyofanyika hivi karibuni jijini Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Mtandao wa redio za Jamii, Joseph Sekiku...
View ArticleMFUMUKO WA BEI WATAIFA WAONGEZEKA.
Mkurugenzi wa Sensa na Takwimu za Jamii wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Bw. Ephraim Kwesigabo akitoa taarifa kwa Waandishi wa Habari kuhusu Mfumuko wa Bei wa Taifa kwa mwezi Machi 2015 ambao...
View ArticleUTT-PID YASHIRIKI MKUTANO MKUU WA 30 WA ALAT JIJINI DAR ES SALAAM
NAIBU WAZIRI WA TAMISEMI,KHASIM MAJALIWA,AKIPATA MAELEZO NA KUSAINI KITABU CHA WAGENI KUTOKA KWA AFISA UHUSIANO MWANDAMIZI WA TASISI YA MIRADI NA MAENDELEO YA MIUNDOMBINU CHINI YA WIZARA YA FEDHA, BW,...
View ArticleSELCOM WAZINDUA UKUSANYAJI WA KODI KWA NJIA ZA KIELEKTRONIC MANSIPAA YA MOROGORO
Naibu Meya wa Manispaa ya Morogoro Mohamed Lukwele kushoto akiwa na Meneja Ukuzaji Biashara na Masoko wa kampuni ya Selcom, Juma Mgori na Meneja miradi wa Selcom Gallus Runyeta wakati wa uzinduzi wa...
View ArticleRAIS WA ZANZIBAR DK.ALI MOHAMED SHEIN AFANYA ZIARA UWANJA WA NDEGE WA...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipata maelezo kutoka kwa Katibu Mkuu Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano Dk.Juma Malik Akili wakati alipofanya ziara ya...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA WAZIRI WA NCHI MAENDELEO NA FRANCOPHONIE...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na kumkaribisha Ofisini kwake Waziri wa Nchi Maendeleo na Francophonie wa Ufaransa Mhe. Annick Girardin,...
View ArticleKIKAO CHA VIDEO CONFERENCING SERIKALINI CHA FANYIKA DAR
Maafisa wa Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma wakiwa katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika Idara ya HABARI (MAELEZO) leo. Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Ofisi ya...
View ArticleWANAFUNZI WA TANZANIA WANAOSOMA MJINI BEIJING CHINA
Viongozi Wapya waliochaguliwa katika Mkutano Mkuu wakiwa katika picha ya pamoja ikiwa ni kumbukumbu ya Uchaguzi huo.Wanafunzi wa Kitanzania wanaosoma Beijing China wakiwa katika picha ya pamoja baada...
View ArticleMAMIA YA WAKAZI WA DODOMA WAJITOKEZA KWA WINGI KATIKA SEMINA YA UJASIRIAMALI...
Mamia ya wakazi wa mkoa wa Dodoma na mikoa ya jirani juzi jumanne tarehe 7 /04/2015 karume DAY walijitokeza kwa wingi kwa semina kuhusu biashara ya mtandao ambayo ni biashara ambayo ya karne ya 21 na...
View ArticleWATATU WAJISHINDIA MAMILIONI KUTOKA BAYPORT
Meneja Utawala wa Bayport Financial Services aliyezibwa macho, Evalyine Hall, akichagua koponi ya mmoja wa washindi wa Kopa Bayport kwa njia ya mtandao wa www.kopabayport.co.tz, inayoendeshwa na...
View ArticleAIRTEL NA NMB WAZINDUA HUDUMA YA KIFEDHA KWA NJIA YA MTANDAO JIJINI DAR ES...
Naibu Waziri wa fedha na Uchumi Mh. Mwigulu Nchemba akizungumza katika uzinduzi wa huduma ya miamala ya kifedha ya Airtel Money na Benki ya NMB katika hoteli ya Selena jijini Dar es Salaam jana....
View ArticleSKYLIGHT BAND YAZIDI KUPASUA ANGA NA MUZIKI WA LIVE, NJOO USHUHUDIE LEO THAI...
Aneth Kushaba AK 47(katikati) akiimba na waimbaji wenzake wa bendi ya Skylight ambao ni Ashura Kitenge(kushoto) na kulia ni John Music kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.Rapa mkongwe...
View ArticleWIMBO MPYA WA LADY JAYDEE FT MAZET & UHURU “GIVE ME LOVE”
Artist:Lady jaydee Ft Mazet&UhuruSong: Give me love Producer:UhuruSupport Jaydee, Support Our Own
View ArticleRAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA KIMATAIFA WA LISHE DAR ES SALAAM
Rais Kikwete akizungumza na waandishi wa habari muda mfupi baada ya kufungua mkutano unaohusu lishe uliowakutanisha wataalamu wa lishe kutoka mataifa mbalimbali uliofanyika katika hoteli ya Serena...
View ArticleUZINDUZI WA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII, JINSIA NA...
Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi la Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto katika picha ya pamoja na Naibu waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto Mhe. Dkt. Pindi Chana (MB) (waliokaa...
View ArticleMATUKIO PICHA MAZISHI YA BERNARD RWEBANGIRA ISHENGOMA
Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wa mwanahabari Bernard R. Ishengoma wakibeba jeneza lililo na mwili wake. Bernard Rwebangira alifariki dunia Aprili 8, 2015 na kuzikwa Aprili 9, 2015 makaburi ya Kawe...
View ArticleWENGI WANUFAIKA NA SEMINA YA KILIMO NA UFUGAJI WA KISASA ILIYO ENDESHWA NA...
Mjasiriamali na Muandaaji wa wa Semina ya Kilimo na Ufugaji wa Kisasa Bi. Mary David Kinong’o akitoa Maelezo juu ya Kilimo na Ufugaji wa kisasa ambapo aliwasisitiza Vijana na watu wote kujiunga na...
View Article