$ 0 0 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akielekea kwenye uwanja wa shughuli tayari kuzindua Kozi Maalum ya Maadili na Uongozi katika Chuo cha Kumbukumbu ya Nyerere Kigamoni jijini Dar es salaam jana. Pamoja naye ni Mkuu wa Chuo hicho Profesa Shadrack Mwakalila.(PICHA NA IKULU) Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizindua kitabu cha Programu ya Uongozi na Maadili katika Chuo cha Kumbukumbu ya Nyerere Kigamoni jijini Dar es salaam jana. Kushoto kwake ni Waziri wa Elimu Dkt Shukuru Kawambwa na kulia kwake ni Mkuu wa Chuo hicho Profesa Shadrack Mwakalila.Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsimika rasmi Mzee Pius Msekwa kuwa Mwenyekiti wa Kibweta cha Mwalimu Nyerere cha Uongozi na Maadili wakati wa uzinduzi wa Kozi Maalum ya Maadili na Uongozi katika Chuo cha Kumbukumbu ya Nyerere Kigamoni jijini Dar es salaam jana.Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsikiliza Mzee Pius Msekwa akitoa shukurani baada ya kusimikwa rasmi kuwa Mwenyekiti wa Kibweta cha Mwalimu Nyerere cha Uongozi na Maadili wakati wa uzinduzi wa Kozi Maalum ya Maadili na Uongozi katika Chuo cha Kumbukumbu ya Nyerere Kigamoni jijini Dar es salaam jana. Kushoto kwake ni Waziri wa Elimu Dkt Shukuru Kawambwa na kulia kwake ni Mkuu wa Chuo hicho Profesa Shadrack Mwakalila.Rais Jakaya Mrisho Meza kuu akiwa imesimama na meza kuu kuimba wimbo wa Taifa baada ya uzinduzi wa Kozi Maalum ya Maadili na Uongozi katika Chuo cha Kumbukumbu ya Nyerere Kigamoni jijini Dar es salaam jana. Kushoto kwake ni Waziri wa Elimu Dkt Shukuru Kawambwa na kulia kwake ni Mkuu wa Chuo hicho Profesa Shadrack Mwakalila. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizindua kitabu cha Programu ya Uongozi na Maadili katika Chuo cha Kumbukumbu ya Nyerere Kigamoni jijini Dar es salaam jana. Kushoto kwake ni Waziri wa Elimu Dkt Shukuru Kawambwa na kulia kwake ni Mkuu wa Chuo hicho Profesa Shadrack Mwakalila.