Article 2
Dar es Salaam, 13 April 2015 Finali ya shindano la Airtel Trace Music Stars Afrika lililoshirikisha washiriki kutoka nchi 13 barani Afrika chini ya majaji mahiri akiwemo Akon, Devyne Stephens na...
View ArticleKONYAGI YAWASOMESHA WANAFUNZI WA WAKULIMA WA ZABIBU DODOMA
Mratibu wa Mpango wa Somesha mtoto wa Mkulima wa zabibu ulidhaminiwa na Tanzania Distillaries LTD (TDL) Saimon Chibehe akizungumza jambo na wakulima wa zabibu pamoja na wanafunzi wa Kata ya Handari...
View ArticleBASI LA KAMPUNI YA GAMET TRANS LAPATA AJALI KIBITI-MKOA WA PWANI
Taarifa zilizoifikia Globu ya Jamii hivi punde kutoka chanzo cha kuaminika,zinaeleza kuwa Basi la kampuni ya GAMET Trans linalofanya safari zake Dar-Lindi-Masasi-Nachingwea limepata ajali maeneo ya...
View ArticleBALOZI WA UINGEREZA AMTEMBELEA WAZIRI CHIKAWE OFISINI KWAKE, JIJINI DAR ES...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kulia) akimkaribisha ofisini kwake, Balozi wa Uingereza nchini, Dianna Melrose, wakati balozi huyo alipomtembelea Waziri Chikawe ofisini kwake jijini...
View ArticleRADI YAUA WATU NANE KIGOMA
Mwalimu Veronika Mteswa shule ya msingi Kibirizi aliyepata mshtuko baada ya tukio la radiakiwa katika hospitali ya Mawenzi mkoa wa Kigoma kwa matibabu.MgangaMfawidhi wa Hospitali ya mkoa wa...
View ArticleWAZIRI NYALANDU AANZA KUTATUA MIGOGORO YA ARDHI
Waziri wa Maiasili na Utalii, Lazaro Nyalandu na Katibu Mkuu wa wizara hiyo Dk Adrehem Meru, wakipata maelekezo kuhusiana na mipaka ya hifadhi ya Taifa ya Saadan kutoka kwa Mhifadhi Mkuu wa Saadan,...
View ArticleTANZANIA YASHIRIKI MIKUTANO YA MAJIRA YA KIPUPWE ULIOANZA RASMI MJINI...
Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia Tanzania, Rwanda, Uganda na Burundi Bw. Philippe Dongier, akipata maelezo kutoka kwa Bw. Said Ngosha Magonya, ambaye ni Kamishina wa Fedha za Nje kuhusu utaratibu...
View ArticleAIRTEL YAKABIDHI MAGARI KWA WASHINDI 8 WA MKOA WA DAR ES SAALAM
Mkurugenzi wa Teknolojia ya Habari wa Airtel Tanzania, Frank Filman (kulia), akikabidhi mfano wa funguo za gari jipya aina ya Toyota IST, kwa mmoja wa washindi wa droo ya mwisho ya promosheni ya...
View ArticleTANZANIA KUFUNGUA UBALOZI NCHINI KUWAIT
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akizungumza na Mhe. Skeikh Sabah Al-Khalid Al-Sabah, Naibu Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Kuwait....
View ArticleBALOZI WA CHINA NCHINI TANZANIA ATEMBELEA WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi akimkaribisha Balozi wa China nchini Tanzania Dkt. Lu Youqing alipomtembelea ofisini kwake leo jijini Dar es salaam na kufanya...
View ArticleMKUTANO WA KUNDI LA AFRIKA WAFANYIKA MJINI WASHINGTON DC
Waziri wa Fedha Mhe. Saada Salum Mkuya akishiriki katika mkutano huu wa kundi la Afrika. (African Group one Constituency)Waziri wa Fedha Mhe. Saada Salum Mkuya akichangia Mada katika mkutano huu wa...
View ArticleMWANAMAMA MTANZANIA BRIGEDIA JENERALI SARA THOMAS RWAMBALI ATEULIWA KUWA...
Na Mwandishi maalum, New YorkMwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika, Dr.Nkosanzana Dlamini Zuma, amemteua, Brigedia Jenerali Sara Thomas Rwambali kutoka Jeshi la Wananchiwa wa Tanzania ( JWTZ),...
View ArticleEWURA YAENDESHA SEMINA KWA WAFANYABIASHARA WA MAFUTA MIKOA YA RUKWA NA KATAVI...
Meneja Ufundi Idara ya Petroli EWURA Ndugu Gerald Maganga akiwasilisha moja ya mada katika Semina kwa Wafanyabiashara wa Mafuta Mikoa ya Rukwa na Katavi katika ukumbi wa Moravian Centre Mjini...
View ArticleZITTO KABWE WA ACT AHUTUBIA SINGIDA
Zitto akizungumza na wakazi wa Mji wa SingidaWakazi wa Mji wa Singida wakishangilia viongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo wakati waa mkutano huo jijini humo jana.Zitto akizungumza na wananchi wa kijiji...
View ArticleMAFUNZO YA MAFUTA NA GESI ASILIA CHINA-SMZ
Maafisa Waandamizi wa SMZ wakiwa katika viwanja vya Tiananmen Square Jijini Beijing China, wa kwanza kulia ni Katibu Mkuu wa zamani wa Wizara ya Ardhi, Makaazi, Maji na Nishati, Mhandisi Mwalim Ali...
View ArticleCOMNETA WAMPONGEZA PROF. MBWETE.
Mwenyekiti wa mtandao wa Redio Jamii nchini (COMNETA) ambaye pia ni Mkurugenzi wa Redio ya Jamii ya Wilayani Karagwe ya FADECO FM, Bw.Joseph Sekiku akizungumza katika hafla fupi ya kumuaga Makamu Mkuu...
View ArticleVACANCIES
Dira Newspaper Co Ltd. publisher of Dira ya Mtanzania and Pata Habari is looking for motivated and highly experienced individuals to fill the position of:POSITION: EDITOR (4 POSTS)MAIN...
View ArticleMKUTANO WA KUNDI LA AFRIKA WAFANYIKA MJINI WASHINGTON DC
Ujumbe kutoka Tanzania ukifuatilia kwa karibu mkutano huu. (African Group one Constituency Ujumbe kutoka Tanzania ukifuatilia kwa karibu mkutano huu. (African Group one Constituency) Gavana wa Benki...
View ArticleNDESAMBURO ATANGAZA KUTOGOMBEA JIMBO LA MOSHI MJINI, AMUACHIA MIKOBA MEYA...
Baadhi ya wakazi wa mji wa Moshi wakifuatili mkutano wa hadhara wa Chadema uliofanyika katika eneo la soko la Manyema.Katibu mwenezi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wilaya ya Moshi na...
View ArticleKUELEKEA SIKU YA HEDHI DUNIANI, MTANDAO WA HEDHI SALAMA WAENDESHA SEMINA...
Daktari Edna Kiogwe akieleza juu ya umuhimu wa elimu ya Hedhi kwa jamii nzima wakati wa semina na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya St. Anthony.Mkurugenzi mtendaji wa Kasole Secrets Hyasintha Ntuyeko...
View Article