Quantcast
Channel: ARAWAY MEDIA TANZANIA
Browsing all 6821 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AIFARIJI FAMILIA YA NYERERE KUFUATIA KIFO CHA JOHN NYERERE

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha maombolezo leo asubuhi nyumbani kwa Baba wa Taifa Hayati Julius Nyerere nyumbani kwake Msasani jijini Dar es Salaam kufuatia kifo cha mwanaye John...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MHESHIMIWA EDWARD LOWASSA KUMUWAKILISHA MAKAMU WA RAIS DKT MOHAMMED GHARIB...

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli-CCM Edward Lowassa--JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAOFISI YA MAKAMU WA RAISOfisi ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inapenda kuutaarifu umma...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA MAREHEMU JOHN...

Mzee Joseph Warioba, akisikitika wakati akiwa kwenye msiba huo.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisaini kitabu cha maombolezo cha msiba wa marehemu John...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHULE YA SEKONDARI MTAKUJA YA KUNDUCHI BEACH, DAR, YAPOKEA MSAADA WA KOMPYUTA...

Baadhi ya wanafunzi wa shule ya sekondari ya Mtakuja iliyopo Kunduchi beach jijini Dar es Salaam, wakishusha vifaa vya kompyuta mpakato kwa kushirikiana na maofisa wa Vodacom Tanzania, Jumla ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WABUNGE MH,MBATIA NA MH,MREMA WAKUTANA KANISANI NI KATIKA IBADA YA KUMBUKUMBU...

Mbunge wa kuteuliwa na rais,Jmaes Mbatiaakizungumza jambo na mbunge wa jimbo la Vunjo ,Agustino Mrema marabaada ya kukutana kwa mara ya kwanza jimboni humo katika ibada yakumbukumbu ya askofu wa kwanza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAANDISHI WA HABARI WATAKIWA KUEPUKA LUGHA ZA CHUKI

Meza kuu.(Picha zote na Geofrey Adroph wa Pamoja blog).Mshehereshaji wa Semina Bi. Rose Mwalongo akiwakaribisha washiriki wote waliofika kwenye semina ya siku mbili iliyoandaliwa na shirika lisilo la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATUKIO YA BUNGE MJINI DODOMA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wabunge, Joshua Nassari wa Arumeru Mashariki (kushoto) na Murtaza Mangungu wa Kilwa Kaskazini kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Kei 12, 2015. Wapili kulia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIJANA NCHINI WATAKIWA KUSHIRIKIANA NA SERIKALI ILI KUTATUA TATIZO LA AJIRA

Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Sheria Bi. Ester Riwa kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo aliyesimama akitoa mada ya ujasiriamali kwa Vijana wa Halmashauri ya Manispaa ya Mbinga na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UZINDUZI WA SHERIA NDOGO WA MFUKO WA AFYA YA JAMII WILAYANI USHETU MKOANI...

Mgeni Rasmi , Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Benson Mpesya akisisitiza jambo kwa wadau kuhusiana na umuhimu wa kujiunga na Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) katika uzinduzi wa sheria ndogo ya Mfuko...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS WA ZANZIBAR DK.ALI MOHAMED SHEIN AMUAPISHA MKUU WA WILAYA MAGHARIBI .B.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Ayoub Mohammed Mahmoud kuwa Mkuu wa Wilaya Mpya ya Magharibi “B” katika Mkoa wa Mjini Magharibi hafla iliyofanyika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS WA BURUNDI APINDULIWA

Habari zilizotufikia hivi punde jeshi nchini Burundi limempindua Rais Pierre Nkuruzinza.Meja Jenerali Niyombare ametoa taarifa kupitia moja ya kituo cha Radio cha Isanganiro kwamba serikali ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TTCL YATOA MSAADA WA KOMPUTA KUMI NA KIFURUSHI CHA INTANET VYOTE VIKIWA NA...

  Mkuu wa Biashara kanda ya Nyanda za juu kusini Bw. Juvenal Utafu akiwasihi wanafunzi ( hawapo pichani) kutumia vema mtandao uliotolewa na TTCL kwa manufaa ya elimu na si vinginevyo. Kushoto ni Bw....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TRA YAKUTANISHA WADAU KUJADILI SHERIA MPYA YA KODI YA ONGEZEKO LA THAMANI YA...

Afisa Kodi Mwandamizi Kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TRA) Bw. Richard Mwafongo akiwasilishaji kwa Taarifa ya Sheria mpya ya Kodi ya ongezeko la Thamani ya mwaka 2014 ambapo alisema kuwa moja...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTOTO WA BABA WA TAIFA JOHN GUIDO NYERERE AZIKWA BUTIAMA

 Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Musoma Mhashamu Michael Msonganzila akisali mbele ya jeneza la marehemu John Guido Nyerere kabla halijaingia kanisani kwa ajili ya ibada maalum iliyofanyika kwenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PANIC AS AMI HOSPITAL EVICTED OVER NON-PAYMENT OF TSH3BN RENTAL BILLS

 Patients and relatives who went to seek medical attention at African Medical Investment Ltd (AMI Hospital, also known as Trauma Center) in Dar es Salaam were yesterday in shock to see court brokers...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Changamoto za maboresho ya usimamizi wa fedha za umma zatajwa

  Kulia ni Mratibu wa Moboresho ya Usimamizi wa Fedha za Umma (Public Finance Management Reform Progamme – PFMRP) akifafanua jambo juu ya utekelezaji wa mradi huo kwa wanahabari.Msemaji wa Wizara ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE ATEMBELEA TEGETA NA MKWAJUNI KUJIONEA ATHARI ZA MAFURIKO

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda akimuonesha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete maeno yaliyoathiriwa vibaya na mafuriko huko Tegeta wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam..Rais Dkt.Jakaya Mrisho...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Masahihisho katika taarifa ya Uteuzi wa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Kamishna wa Polisi (CP) Diwani  Athumani Msuya, kuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa makosa ya Jinai (Director of Criminal...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT. MWAKYEMBE AFUNGUA KONGAMANO LA VYOMBO VYA HABARI UKANDA WA AFRIKA MASHARIKI

Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Harrison Mwakyembe akifungua kongamano la siku mbili  jijini Dar es Salaam linalotathmini mchango wa vyombo vya habari katika kukuza demokrasia katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATUKIO BUNGENI MJINI DODOMA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum Mary Mwanjelwa, Bungeni mjini Dodoma Mei 14, 2015.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu akichangia bungeni mjini...

View Article
Browsing all 6821 articles
Browse latest View live