Quantcast
Channel: ARAWAY MEDIA TANZANIA
Viewing all articles
Browse latest Browse all 6824

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA MAREHEMU JOHN NYERERE JIJINI DAR

$
0
0
Mzee Joseph Warioba, akisikitika wakati akiwa kwenye msiba huo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisaini kitabu cha maombolezo cha msiba wa marehemu John Nyerere, wakati wa shughuli za kuaga mwili huo zilizofanyika nyumbani kwa Mama Maria Nyerere Msasani, jijini Dar es Salaam jana
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa marehemu John  Nyerere, wakati wa shughuli za kuaga mwili huo zilizofanyika nyumbani kwa Mama Maria Nyerere Msasani, jijini Dar es Salaam jana Mei 11, 2015. Marehemu John anatarajia kuzikwa keshokutwa nyumbani kwao Butiama.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa, wakati alipowasili nyumbani kwa Mama Maria Nyerere Msasani jijini Dar es Salaam,jana kwa ajili ya kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu John Nyerere. 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, wakatialipowasili nyumbani kwa Mama Maria Nyerere Msasani jijini Dar es Salaam,jana kwa ajili ya kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu John Nyerere
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwafariji wanafamilia baada ya kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu John Nyerere, wakati wa shughuli za kuaga mwili huo zilizofanyika nyumbani kwa Mama Maria Nyerere Msasani, jijini Dar es Salaam jana
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akijumuika na baadhi ya viongozi na waombolezaji nyumbani kwa Mama Maria Nyerere Msasani jijini Dar es Salaam,jana wakati wa shughuli za kuaga mwili wa marehemu John Nyerere
Mdogo wa marehemu akisoma wasifu wa marehemu.
Mama Tunu Pinda, pia akijumuika na waombolezaji.
Wazee wanapokutana, mzee Magula na mzee Slaa, wakifurahia jambo baada ya kukutana uso kwa uso.

Waombolezaji.Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais

Viewing all articles
Browse latest Browse all 6824

Trending Articles