Quantcast
Channel: ARAWAY MEDIA TANZANIA
Viewing all articles
Browse latest Browse all 6834

MATUKIO YA BUNGE MJINI DODOMA

$
0
0
unnamed
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wabunge, Joshua Nassari wa Arumeru Mashariki (kushoto) na Murtaza Mangungu wa Kilwa Kaskazini kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Kei 12, 2015. Wapili kulia ni Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Dr. Florens Turuka na Kulia ni Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Jumanne Sajini.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
unnamedC
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Dr. Florens Turuka kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Mei 12, 2015.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 6834

Trending Articles