Quantcast
Channel: ARAWAY MEDIA TANZANIA
Viewing all articles
Browse latest Browse all 6824

MATUKIO BUNGENI MJINI DODOMA

$
0
0
01
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum Mary Mwanjelwa, Bungeni mjini Dodoma Mei 14, 2015.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
02
Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu akichangia bungeni mjini Dodoma Mei 14, 2015.
03
Mbunge wa Viti Maalum, Mary Chatanda akichangia bungeni mjini Dodoma Mei 14, 2015.
05
Waziri Mkuu, Mizengo  Pinda akizungumza na Mkuu wa mkoa wa  Njombe, Dr. Rehema  Nchimbi (kushoto) na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Hawa Ghasia kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Mei 14, 2015.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 6824

Trending Articles