Quantcast
Channel: ARAWAY MEDIA TANZANIA
Browsing all 6824 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHADEMA WAFANYA MKUTANO WAO JIJINI ARUSHA.

Mheshimiwa Tundu Lissu akiwahutubia wakazi wa Arusha Mjini katika mkutano mkubwa ulioambatana na mvua kubwa hapo jana.Wakazi wa Arusha wakiwa katika mkutano mkubwa ulioambatana na mvua lakini wamesema...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AWASILI ALGIERS, ALGERIA, KWA ZIARA RASMI YA SIKU TATU

 Rais was Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili mjini Algiers, mji mkuu wa Algeria, mchana wa leo, Jumamosi, Mei 9, 2015 kuanza ziara rasmi ya Kiserikali ya siku...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BODI YA UTT-PID NA MENEJIMENTI YAKE YAFANYA ZIARA YA MAFUNZO CHINA

Bodi ya UTT-PID ikiongozwa na mwenyekiti wake Mrs. E Mlaki pamoja na Menejimenti wakiwa na wenyeji wao katika jiji la Chengdu ambapo walifanya ziara katika maeneo tofauti ya uwekezaji na manufaa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

FILIKUNJOMBE AKABIDHI MSAADA WA TSH MILIONI 40 KIJIJI CHA MAVANGA ASEMA CCM...

Mbunge  wa  jimbo la  Ludewa  Deo  Filikunjombe akiwhutubia  wakazi  wa  kijiji  cha Mavanga  wilayani Ludewa  muda mfupi  baada ya  kukabidhi msaada wa  vitu mbali mbali  vya  ujenzi vyenye thamani ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PROFESA HERMAS MWANSOKO AZINDUA TAWI LA CHAWAKAMA KATIKA CHUO CHA KUMBUKUMBU...

 Mkurugenzi wa Maendeleo ya Utamaduni kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Profesa Hermas Mwansoko akizungumza wakati wa hafla uzinduzi wa Tawi la Chama cha Wanafunzi wanaosoma...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MANGULA NA NAPE WAHANI MSIBA WA JOHN NYERERE

 Picha ya Marehemu John Nyerere aliyefariki dunia akiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam alipokuwa amelazwa.Marehemu John alizaliwa mwaka 1957 jijini Dar es Salaam na enzi za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AWEKA SHADA LA MAUA KABURI LA MASHUJAA, ATEMBELEA MAKUMBUSHO YA...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiweka shada la maua kwenye kaburi la Mashujaa wa Algeria, jana Jumapili, Mei 10, 2015. Rais Kikwete yupo nchini Algeria kwa ziara...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE KATIKA SIKU YA PILI YA ZIARA YAKE RASMI NCHINI ALGERIA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wake akutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Algeria Mhe. Abdelaziz Bouteflika katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Algiers Jumapili May 10,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKUU WA TAASISI ZA KUZUIA RUSHWA BARANI AFRICA WAKUTANA ARUSHA KUANGALIA...

Mwenyekiti wa bodi ya ushauri ya kupambana na maswala ya rushwa katika umoja wa Africa kutoka Ghana Mh.Daniel Batidam akizungumza na waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari jijini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UZINDUZI WA HUDUMA MPYA YA MAXMALIPO KWA KUTUMIA SIMU YA KIGANJANI.

Mkuuwa kitengo cha Biashara Maxcom Africa Bw. Deogratius Lazari (Katikati)Akifafanua Jambo kwa waandishi wa habari ambao hawapo katika picha wakati waUzinduzi wa Mfumo Mpya wa kutoa huduma za Maxmalipo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHIGONGO AZINDUA VITABU VYAKE VITATU VIPYA KATIKA OFISI ZA GLOBAL

MHAMASISHAJI na mjasiriamali wa kimataifa, Eric James Shigongo, amewaasa Watanzania kutokata tamaa katika kufuatilia ndoto zao huku wakiamini kuwa wao ni watu muhimu katika maisha yao na ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA MAREHEMU JOHN...

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa marehemu John  Nyerere, wakati wa shughuli za kuaga mwili huo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BENKI YA NMB YATOA MSAADA KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO WILAYANI HAI.

Meneja wa Benki ya NMB kanda ya kaskazini Vicky Bishubo akizungumza wakati wa kukabidhi msaada wa kwa waathirika wa mafuriko yaliyotokea hivi karibuni ukanda wa chini wilayani Hai.Msaada wa magodoro...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZIARA YA BODI YA UTT-PID NA MENEJIMENTI YAKE ILIPOZURU CHINA YA SIKU 5 YAFANA

Bodi ya taasisi ya UTT-PID na Menejimenti yake wakia katika picha ya pamoja na uongozi wa kampuni ya Chengdu Engineering Corporation wakati wa picha ya pamoja. Waliosimama mbele (wa pili kutoka kulia)...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RED CROSS YAKABIDHI MSAADA KWA WAHANGA WA MAFURIKO ZANZIBAR

 Mwakilishi wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Msalaba Mwekundu Tanzania { RED CROSS } Bwana Shaaban Ali Iddi akikabidhi msaada wa Viatu Pair 90 kwa Katibu wa Kamati ya Taifa ya Kukabiliana na Maafa Zanzibar...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TUME KUONGEZA MAJIMBO

 Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano na Viongozi wa vyama vya siasa ambapo alizungumzia zoezi la kugawa Majimbo ya Uchaguzi. Mkurugenzi wa Uchaguzi Ndugu Julius...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMA SALMA KIKWETE AZINDUA RASMI KLABU ZALENDO KATIKA MANISPAA YA LINDI

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipokea kwa kuyapungia mkono maandamano ya wanafunzi wa Shule za Msingi na Sekondari katika Manispaa ya Lindi ambao ni wanachama wa Klabu Zalendo wakiongozwa na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

AFUNGUA MAONESHO YA ELIMU MJINI DODOMA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi Sista  Flosy Sequeire, Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Saint Francis ya Mbeya tuzo maalum ya kutambua  ufalu mzuri wa wanafunzi wa shule  hiyo  wakati...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUNDI LA VIJANA MARAFIKI WA LOWASA WAFIKA KILELE CHA MLIMA KILIMANJARO.

Baadhi ya vijana ambao ni marafiki wa Lowasawakiwa katika safari ya kupanda Mlima Kilimanjaro.Kundi la marafiki wa Lowasa kutoka kana yaKaskazini wakiwa katika kituo cha Kibo ,wakiwa katika maandalizi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AHITIMISHA ZIARA RASMI YA ALGERIA, AREJEA NYUMBANI

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na viongozi mbalimbali katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo May 12, 2015 baada ya kuhitimisha ziara yake...

View Article
Browsing all 6824 articles
Browse latest View live