RAIS KIKWETE AWATEMBELEA WATOTO WALIOFANYIWA UPASUAJI WA MOYO MUHIMBILI
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali mtoto Habiba Khalfan Lipande(6) ambaye amefanyiwa tiba ya kuziba tundu lililokuwa katika moyo wake kwa kutumia teknolojia mpya bila upasuaji wa kifua...
View ArticleMATUKIO BUNGENI MJINI DODOMA
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum Mary Mwanjelwa, Bungeni mjini Dodoma Mei 14, 2015.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu akichangia bungeni mjini...
View ArticleRais Mstaafu Benjamin Mkapa atembelea banda la maonyesho la NHC kwenye...
Rais mstaafu wa awamu ya tatu Mhe. Benjamin Mkapa akifungua Mkutano wa mwaka wa Bodi ya Usajili wa Wakandarasi jijini Dar es salaam.Rais wa awamu ya Tatu, Benjamin William Mkapa akishuhudia matofali...
View ArticleURITHI WA UTAMADUNI WAELEZWA KUWA KIVUTIO MUHIMU CHA UTALII NCHINI
Mkurugenzi Uendeshaji na Utumishi wa Wizara ya Habari Utamaduni Utalii na Michezo Joseph Kilangi akitoa hutuba yake ya ufunguzi katika Semina ya majadiliano ya “Rasimu ya Sera ya Urithi wa Utamaduni”...
View ArticleKATIBU MKUU TAMISEMI, SAGINI ASISITIZA UIMARISHAJI WA ELIMU
Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Tanzania, Bi. Zulmira Rodrigues akisalimiana na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na. Serikali ya...
View ArticleMBUNGE JAMES MBATIA APENDEKEZA SHULE BINAFSI ZIPEWE RUZUKU TOKA SERIKALINI
Mgeni rasmi katika mahafali hayo ,mbunge wakuteuliwa na rais ,Mh James Mbatia akizungumza na wanafunzi wa shulehiyo pamoja na wageni waalikwa .Baadhi ya wageni waliofika shuleni hapo kwaajili ya...
View ArticleTAARIFA KUTOKA JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA (JWTZ)
JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIAKURUGENZI YA HABARI NA UHUSIANOSimu ya Upepo : “N G O M E” Makao Makuu ya Jeshi,Simu ya Mdomo : DSM 22150463 Sanduku la Posta 9203,Telex : 41051 DAR ES SALAAM,...
View ArticleCHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) CHATANGAZA UTARATIBU WA UTEUZI WA...
TChama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza utaratibu wa uteuzi wa wagombea wake watakaokiwakilisha chamahicho katika Uchaguzi Mkuu, Oktoba mwaka huu.Aidha, kupitia mkutano na waandishi wa...
View ArticlePANIC AS AMI HOSPITAL EVICTED OVER NON-PAYMENT OF TSH3BN RENTAL BILLS
Patients and relatives who went to seek medical attention at African Medical Investment Ltd (AMI Hospital, also known as Trauma Center) in Dar es Salaam were yesterday in shock to see court brokers...
View ArticleRAIS KIKWETE AKAGUA UJENZI WA MIKUTANO WA KIMATAIFA WA DODOMA
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua ujenzi wa Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Dodoma unaojengwa na Chama Cha Mapinduzi CCMMuonekano wa ukumbi wa kimataifa wa mikutano wa Dodoma(picha na Freddy...
View ArticleKamati Kuu ya CCM kukutana Mei, 23 Dodoma
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye akifafanua jambo mbele ya waandishi wa Habari leo (hawapo pichani) ,jijini Dar es Salaam, kuhusiana na kubadilika kwa tarehe ya mkutano wao kufuatia...
View ArticleLowassa achangisha zaidi ya shilingi Milioni 200 za ujenzi wa msikiti wa...
Waziri mkuu mstaafu na mbunge wa jimbo la Monduli mkoani Arusha,Edward Lowasa akiwapungia mikono wafuasi wake waliofika katika uwanja wa msikiti mkuu katika hafla ya harambee ya ujenzi wa msikiti wa...
View ArticleRais wa Msumbiji, Mhe. Filipe Nyusi kufanya ziara ya siku tatu nchini kuanzia...
Rais wa Msumbiji, Mhe. Filipe Nyusi Rais wa Msumbiji, Mhe. Filipe Jacinto Nyusi anatarajiwa kuwasili nchini kesho tarehe 17 Mei, 2015 kwa ziara ya Kitaifa ya siku tatu nchini kwa mwaliko wa Rais wa...
View ArticleHALMASHAURI YA MANISPAA YA BUKOBA YAPITISHA SHERIA NDOGO YA MPANGO WA TIBA...
Mkuu wa Wilaya ya Bukoba, Jackson Msome (kulia), akihutubia Baraza la Madiwani lilokuwa likijadili na kupitisha Sheria Ndogo ya kuanzishwa kwa mpango wa Tiba kwa Kadi (TIKA) unaosimamiwa na Mfuko wa...
View ArticleMATUKIO BUNGENI DODOMA
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Kazi na Ajira , Gaudencia Kabaka kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Mei 15, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Mizengo Pinda...
View ArticleWASTAAFU WA NSSF MKOA WA TEMEKE WAAGWA RASMI
Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Crescentius Magori akizungumza wakati wa hafla ya kuwaaga wastaafu wa shirika hilo kutoka ofisi ya mkoa wa Temeke.Meneja...
View ArticleBENARD MEMBE MGENI RASMI TAMASHA LA QASWIDA
Na Mwandishi Wetu……………………………..WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Benard Membe anatarajia kuwa mgeni rasmi kwenye Tamasha la Qaswida lililoandaliwa na Ulamaa Promotions Centre...
View ArticleMbunge wa jimbo la Kigamboni Dkt Faustine Ndugulile kuwa mgeni rasmi kwenye...
Mwalimu mstaafu wa Sekondari na Mjumbe mwelimishaji wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Mwenyekiti wa Wzazi Tua Moyo Ali Ahmad kwa jina maarufu mpemba wa Asili, akisoma shairi wakati wa Mkutano wa...
View ArticleMEYA MWENDA AANZA KUTEKELEZA AGIZO LA RAIS LA KUONDOA MAJI KATIKA MAENEO...
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda akikagua athari za mafuriko katika eneo la Mbweni, Dar es Salaam alipofanya ziara katika maeneo mbalimbali yaliyoathiriwa na mvua zilizokuwa zikinyesha...
View ArticlePINDA ASHIRIKI HITIMA YA BABA MZAZI WA MAMA TUNU PINDA
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akifarijiwa na Mke wa makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mama Asha Seif Iddi katika Sala ya Arobaini ya kifo cha Baba mzazi wa mke wa Waziri Mkuu, Marehemu...
View Article