Quantcast
Channel: ARAWAY MEDIA TANZANIA
Browsing all 6822 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VILIO NA MAJONZI SINGIDA WAKATI MO AKIWAAGA WANANCHI WAKE!

Mbunge wa Singida mjini, Mh. Mohammed Dewji akiwapungia wapiga kura wake kama ishara ya kuwaaga rasmi baada ya kutangaza kutogombea tena ubunge wa jimboni humo wakati wa mkutano mkubwa wa kuwasilisha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ATHARI ZA MADINI YA ZEBAKI KATIKA MWILI WA BINADAMU

 Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya  Makamu wa Rais Anjelina Madete(katikati)  akifungua mkutano wa  Mkataba wa  Minamata kuhusu  madini ya zebaki uliofanyika jana kwenye hoteli ya peacock  jijini Dares...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

IGP MANGU AZINDUA NA KUKAGUA MIRADI YA POLISI TABORA, TANGA NA SINGIDA

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu akizungumza na wajumbe wa Kamati ya ulinzi na usalama mkoani Tabora wakati alipokuwa katika ziara ya kikazi katika mkoa huo.Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MEMBE ASISITIZA UMUHIMU WA VIWANDA

Makamu wa Rais wa zamani wa Benki ya Dunia, Prof. Justin Yifu Lin akitoa mada yake juu ya uwanzishaji wa viwanda nchini Tanzania katika muadhara ulioandaliwa na Wizara ya Mambo ya NjeNaibu Katibu Mkuu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KONGAMANO KUBWA LA UWEKEZAJI NISHATI NA MIUNDOMBINU LAFANA

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akitoa mada kwenye Kongamano la Uwekezaji Miundombinu na Nishati lililofanyika katika Hoteli ya Golden Tulip leo asubuhi. Kongamano...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS JAKAYA KIKWETE AZINDUA UKUMBI MPYA WAMIKUTANO WA CCM, MJINI DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.  Jakaya Kikwete, akizungumza wakati wa uzinduzi wa Ukumbi mpya wa mikutano wa CCM wa Dodoma Convention Centre, uliopo mjini Dodoma, jana Julai 9,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE AZINDUA UKUMBI WA MIKUTANO WA KISASA DODOMA

Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na viongozi mbali mbali wa mkoa wa Dodoma mara baada ya kuwasili kwenye sherehe za uzinduzi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAHABARI WAPEWA SEMINA KUHUSU WIKI YA USALAMA BARABARANI YA UMOJA WA MATAIFA

 Kaimu Mganga Mkuu wa Serikali, Dk. Mohamed Ally Mohamed (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari wakati akifungua semina hiyo Dar es Salaam jana asubuhi. Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Kitengo cha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANANCHI WOTE WENYE SIFA JIJINI DAR KUANDIKISHWA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA...

Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaa , Raymond Mushi akifungua mafunzoya wasimamizi wa uandikishaji wa Wananchi katika Daftari la Kudumu lawapiga kura kupitia mfumo wa BVR litakalofanyika Julai 16 hadi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI WA KAZI ATEMBELEA BANDA LA NSSF KATIKA MAONYESHO YA SABASABA

Meneja Kiongozi Masoko na Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Eunice Chiume, akitoa maelezo kwa Waziri wa Kazi na Ajira,Gaudensia Kabaka, alipotembeleabanda la NSSF wakati wa...

View Article

SEHEMU YA HOTUBA YA JK WAKATI WA UFUNGUZI WA JENGO LA KISASA LA MIKUTANO DODOMA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BIMA YA RESOLUTION YAFUTURISHA WAUMINI WA DINI YA KIISLAM KATIKA MWEZI...

 Picha ya baadhi ya waumini wa dini ya kiislamu wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kufutari katika ukumbi wa hoteli Serena, futari iliyoandaliwa na Bima ya Resolution. Baadhi wa waumini wa dini ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DSTV TANZANIA YAFUTURISHA WATOTO YATIMA WA KITUO CHA AL- MADINA

Mkuu wa kituo cha Kulelea Watoto yatima cha Al-Madina, Bi. Kulthum Juma akizungumzia kuhusu kituo hicho pamoja na kutoa shukrani kwa kampuni ya Multichoice Tanzania kwa kuendelea kukisaidia kituo cha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE ALIPOHUTUBIA BUNGE NA KUAGANA NA WABUNGE MJINI DODOMA ALHAMISI...

 Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman na ujumbe wake pamoja na maafisa wa bunge wakiingia Bungeni tayari kwa hotuba ya mwisho ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete mjini Dodoma Alhamisi Julai 9,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BANK OF AFRICA YAFUTURISHA WATEJA WAKE

Mkurugenzi Mkuu wa Bank Of Africa Tanzania (BOA), Ammish Owusu Amoah akizungumza katika hafla ya kufuturisha iliyoandaliwa na benki hiyo kwa ajili ya wateja wake na kufanyika katika hoteli ya Serena...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAGOMBEA WALIOPITISHWA NA KAMATI KUU CCM UCHAGUZI 2015

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATUKIO YA MKUTANO MKUU WA CCM-MJINI DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano  wa  Tanzania Dkt.Jakaya MrishoKikwete (katikati) akifuatana na  Spika wa Bunge la Jamhuri yaMuungano Anna Makinda (wa pili ) wakitoka nje ua ukumbi wa Bungebaada ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI – MABADILIKO YA UANDIKISHAJI MKOA WA DAR ES SALAAM

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM MJINI DODOMA LEO, TANO BORA...

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM, Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM (CC) kinachoendelea hivi sasa kwenye Ukumbi wa White House, Makao Makuu ya CCM, Mjini...

View Article

FUATILIA MKUTANO MKUU WA CCM LIVE KUPITIA HAPA HAPA JAMVINI

View Article
Browsing all 6822 articles
Browse latest View live