Quantcast
Channel: ARAWAY MEDIA TANZANIA
Browsing all 6821 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

FASTJET KATIKA MAONESHO YA 39 YA BIASHARA VIWANJA VYA SABA SABA‏

Afisa Mtendaji wa Biashara wa Fastjet (kulia), Bw.David Chacha akiwaelezea wateja wa Fastjet kuhusiana huduma zinatolewa walipotembelea banda hilo katika Maonesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

FINCA YAFUTULISHA WATEJA NA WAKAZI WA MWEMBECHAI

Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Finca, Edward Greenwood akizungumza mara baada ya kufutali mwishoni mwa wiki baada ya kujua umhimu wa mwenzi mtukufu wa Ramadhani na kufuturu na waislamu waliofunga.Sheikh...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WIZARA YA NISHATI NA MADINI YAENDELEA KUMWAGA ELIMU KATIKA MAONESHO YA...

Mtaalam katika   Wizara ya Nishati na Madini Mhandisi Rayson Nkya (kushoto) akielezea sera ya madini  kwa wananchi waliotembelea  banda la Wizara  hiyo kwenye maonesho ya kimataifa ya Sabasaba...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AJIANDIKISHA KUPIGA KURA KWA KUTUMIA BVR MSOGA LEO

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akijiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura kwa kutumia mfumo mpya wa kielektoniki(Biometric Voters Register( BVR) katika kijiji cha Msoga,kata ya Msoga...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SOKO LA SINZA BUS TERMINAL LAZINDULIWA RASMI

Meya wa manispaa ya Kinondoni Yusufu Mwenda akiwa na watendaji wa soko hio akizungumza mara baada ya kukagua  vizimba vyo soko hilo kabla ya kuwakabidhi wafanya biashara.Baadhi ya wafanyabiashara...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU KATIBU MKUU TAMISEMI ATEMBELEA BANDA LA MAONESHO NHC

Naibu Katibu mkuu Tamisemi, Kagyabukama E.Kiliba akiingia katika banda la maonyesho la Shirika la Nyumba la Taifa leo asubuhi kwenye viwanja vya Maonyesho vya Sabasaba (Mwalimu Nyerere) katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPUNI YA LG YATOA ZAWADI MBALIMBALI KWA WATEJA WAKE NDANI YA SIKUKUU YA...

Mkufunzi mwandamizi toka kampuni ya LG, Elizabeth Morris, (Kushoto) akiwaonyesha waandishi wa habari moja ya microwave ambayo inatolewa kama zawadi kwa wateja wanaonunua friji za kisasa za LG. Tukio...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPUNI YA MICHEZO YA BAHATI NASIBU YA GIDANI INTERNATIONAL YAJIZATITI...

Mkurugenzi Mkuu wa michezo ya Bodi ya michezo ya kubahatisha nchiniTarimba Abbasi akiteta jambo na Mwenyekiti wa michezo ya kubahatisha ya GidanInternational Profesa , Bongani Aug Khumalo wakati wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

FFU WA NGOMA AFRICA BAND WAFUNGA KAZI MAMLING FESTIVAL , AUSTRIA

Mining,AustriaBendi maarufu ya muziki wa dansi Ngoma Africa Band aka FFU yenye makao yake nchini Ujerumani, siku ya Jumapili 5 Julai 2015 ilifanikiwa kutingisha jukwaa la Mamling Festival,lililofanyika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKURUGENZI MTENDAJI WA TBL AENDESHA MHADHARA CHUO KIKUU CHA STEFANO MOSHI

 Wanafunzi wa Shahada ya Kwanza ya Usimamizi wa Biashara na Elimu wa Chuo Kikuu cha Stefano Moshi (SMMUCO),Tawi la Moshi Mjini wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZOEZI LA UBORESHWAJI DAFTARI LA WAPIGAKURA LAENDELEA MKOANI PWANI, RAIS...

Rais akuonyesha kitambulisho chake alichopewa mara baada ya kujiandikisha katika daftari daftari la kudumu lawapiga kura kwa kutumia teknolojia ya BVR huko kijijini Msoga wilayaniBagamoyo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

GLOBAL EDUCATION LINK YAVIALIKA CHUO KIKUU CHA SHARDA NA LOVELY PROFESSIONAL...

Mkurugenzi wa Global Education Link ambao ni Mawakala wa Vyuo Vya Njeya nchi, Bw. Abdulmalik Mollel (wa pili toka kulia) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa vyuo vya nje ya nchi kutoka kushoto...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DEGE ECO – VILLAGE YAFANYA VYEMA KATIKA MAONYESHO YA SABASABA JIJINI DAR

Wafanyakazi wa Dege Eco – Village akimpa maelekezo mteja aliyefika bandani kwao kuchangamkia fursa ya kununua nyumba.Wafanyakazi wa Dege Eco – Village amkimpa maelekezo mteja aliyefika bandani kwao...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UTT AMIS YASHIRIKI MAONYESHO YA KIMATAIFA YA BIASHARA YA 39 NA KUTOA ELIMU YA...

Mifuko ya uwekezaji wa pamojani fursa mbadala inayowezasha watu ,vikundi,taasisi na kampuni sawa na mahitajiyao kuwekeza pesa zao kwa meneja wa mfuko(UTT AMIS) kisha meneja huwekeza fedhahizo katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BE FORWARDS TO START IMPORTING LOW COST SPARE PARTS

BeForward President Hironori Yamakawa (Left) holds the newly launched Platinum Ultra Smooth Driving lubricant product during the climax of the Dar es Salaam International Trade Fair (SabaSaba) at the...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATUKIO BUNGENI DODOMA

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum Futuma Mikidadi na Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Utumishi ya Bunge,  Kitolina Kippa kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Julai 8,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JK AWASILI DODOMA TAYARI KWA VIKAO VYA UTEUZI WA MGOMBEA URAIS KUPITIA CCM

 Ndege iliyombeba Mwenyekiti wa CCM Taifa ,Rais Jakaya Mrisho Kikwete ikitua kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma tayari kwa kuongoza kikao cha Kamati ya Usalama na Maadili ya Chama. Mwenyekiti wa CCM...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HATIMAE BARAZA LA MADIWANI LA HALMASHAURI YA MANISPAA YA KINONDONI...

Rais Mstaafu wa awamu ya pili , Alhaji Ally Hassan Mwinyi, akimkabidhi cheti cha utumishi uliotukuka katika baraza la madiwani Mkurugunezi wa Manispaa ya Kinondoni, Mhandisi Mussa Natty, wakati wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MDAHALO WA TAASISI YA MWALIMU NYERERE WATAKA AMANI, WAPINGA RUSHWA UCHAGUZI...

 Mtoa mada Awadh Ali Said, akitoa mada kuhusu muungano na umuhimu wa kuzingatia misingi ya amani katika mdahalo huo ulioandaliwa na Taasisi ya Mwalimu Nyerere ambao ulifanyika katika Ukumbi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ACACIA YATANGAZA UDHAMINI MNONO KWA STAND UNITED YA SHINYANGA, NI WA MIAKA...

 MENEJA Mkuu wa kampuni ya uchimbaji na utafutaji madini, Acacia, Asa Mwaipopo, (katikati), akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandihi wa habari makao makuu ya kampouni hiyo barabara ya Bagamoyo...

View Article
Browsing all 6821 articles
Browse latest View live