Quantcast
Channel: ARAWAY MEDIA TANZANIA
Viewing all articles
Browse latest Browse all 6933

KONGAMANO KUBWA LA UWEKEZAJI NISHATI NA MIUNDOMBINU LAFANA

$
0
0
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akitoa mada kwenye Kongamano la Uwekezaji Miundombinu na Nishati lililofanyika katika Hoteli ya Golden Tulip leo asubuhi. Kongamano lililiwashirikisha watoa mada kutoka nchi mbalimbali 13 duniani lilivinjari katika masuala mtambuka ya Nishati na miundombinu.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akijadiliana jambo na Mtaalamu wa Masuala ya Uendelezaji Miji wa Benki ya Dunia, Andre Bald kwenye Kongamano la Uwekezaji Miundombinu na Nishati lililofanyika katika Hoteli ya Golden Tulip leo asubuhi. Kongamano lililiwashirikisha watoa mada kutoka nchi mbalimbali 13 duniani lilivinjari katika masuala mtambuka ya Nishati na miundombinu.

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akijadiliana jambo na Mtaalamu wa Masuala ya Uwekezaji Uendelezaji Miji wa Benki ya Dunia, Andre Bald na  kwenye Kongamano la Uwekezaji  Miundombinu na Nishati lililofanyika katika Hoteli ya Golden Tulip leo asubuhi. Kongamano lililiwashirikisha watoa mada kutoka nchi mbalimbali 13 duniani lilivinjari katika masuala mtambuka ya Nishati na miundombinu.

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akibadilishana jambo na mmoja wa washiriki

Kikao kikiendelea Golden Tulip asubuhi ya leo.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 6933

Latest Images

Trending Articles