Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho
Kikwete (katikati) akifuatana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano Anna Makinda (wa pili ) wakitoka nje ua ukumbi wa Bunge
baada ya kumaliza kutoa Hutuba yake ya kulifunga Bunge hilo juzi Mjini
Dodoma,

[Picha na Ikulu.]
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho
Kikwete pamoja na Viongozi mbali mbali akiwapo Spika wa Bunge la
Jamhuri ya Muungano Anna Makinda (kulia) wakisimama kwa pamoja wakati
wimbo wa Taifa ukipiogwa baada ya kumaliza kutoa Hutuba yake ya
kulifunga Bunge Mjini Dodoma juzi.

Kikwete (katikati) akiwa na Viongozi mbali mbali katika picha ya
pamoja na Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano baada ya kulifunga
rasmi juzi Mjini Dodoma,

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein akipena mkono na Spika wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Anna Makinda nje ya ukumbi wa Bunge baada ya
kufungwa rasmi Bunge hilo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete juzi Mjini Dodoma,
Dk.Ali Mohamed Shein akipena mkono na Spika wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Anna Makinda nje ya ukumbi wa Bunge baada ya
kufungwa rasmi Bunge hilo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete juzi Mjini Dodoma,
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho
Kikwete (kutoka kulia)Rais Mstaafu wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema AShein wakifuatana
baada ya kufugwa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania juzi Mjini