Quantcast
Channel: ARAWAY MEDIA TANZANIA
Viewing all articles
Browse latest Browse all 6832

ATHARI ZA MADINI YA ZEBAKI KATIKA MWILI WA BINADAMU

$
0
0

 Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya  Makamu wa Rais Anjelina Madete(katikati)  akifungua mkutano wa  Mkataba wa  Minamata kuhusu  madini ya zebaki uliofanyika jana kwenye hoteli ya peacock  jijini Dares Salaam.Kulia ni Mkurugenzi wa Mazingira kutoka ofisi hiyo, Joseph Kihaule na  kushotoni Mwakilishi wa Taasisi ya Umoja wa Mataifa ya Mafunzo na Utafiti(UNITAR), Carlos Maren.
 Mkurugenzi wa Mazingira kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais, Joseph Kihaule (kushoto)akisisitiza jambo wakati akiongoza mkutano wa Mkataba wa  Minamata kuhusu  madini ya Zebeki uliofanyika jana kwenye hoteli ya peacock  jijini Dares Salaam, kulia ni Mwakilishi wa Taasisi ya Umoja wa Mataifa ya Mafunzo na Utafiti(UNITAR), Carlos Maren.
Issaria Mangalili akitoa mada juu ya mikataba mbalimbali inayohusu kemikali mkutano wa  Mkataba wa  Minamata kuhusu  madini ya Zebeki uliofanyika jana kwenye hoteli ya peacock  jijini Dares Salaam.
 Mhandisi Peter Nyangombe (wa pili kushoto) akitoa mada juu ya Mkataba wa Minamata kuhusu  madini ya Zebeki uliofanyika jana kwenye hoteli ya peacock jijini Dares Salaam.
 wadau wa mkutano wa  Mkataba wa  Minamata kuhusu  madini ya Zebeki uliofanyika jana wakijadiliana  jambo  kwenye hoteli ya peacock  jijini Dares Salaam.
 Picha ya pamoja kati ya Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya  Makamu wa Rais Anjelina Madete(wa pili kushoto)  mara baada ya kufungua mkutano wa  Mkataba wa Minamata kuhusu  madini ya Zebeki uliofanyika jana kwenye hoteli ya peacock jijini Dares Salaam.Kulia ni Mkurugenzi wa Mazingira kutoka ofisi hiyo, Joseph Kihaule na  (wa pili kulia) ni  Mwakilishi wa Taasisi ya Umoja wa Mataifa ya Mafunzo na Utafiti(UNITAR), Carlos Maren. Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi wa mazingira kutoka ofisi hiyo, Rogathe Kisanga.
Picha na Magreth Kinabo – Maelezo


Viewing all articles
Browse latest Browse all 6832

Trending Articles