KINANA AWASILI TANGA MJINI
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akivuka na kivuko cha MV.Pangani kuelekea Wilaya ya Tanga mjini ambapo anatazamiwa kukagua miradi mbali mbali na kushiriki ujenzi wa maendeleo,wengine...
View ArticleNSSF YADHAMINI NA KUSHIRIKI KONGAMANO LA CHAMA CHA MAAFISA RASILIMALI WATU
Meneja Mafao wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), James Oigoakitoa mada wakati wa kongamano la HRSTA Panorama lililowashirikisha Wakurugenzi, Mameneja naMaafisa Rasilimali Watu kutoka...
View ArticlePONGEZI KWA MSANII NASSIB ABDUL AKA DIAMOND KWA KUSHINDA TUZO YA MSANII BORA...
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kama msimamizi na mratibu wa sekta ya Sanaa nchini linapenda kutoa pongezi za dhati kwa Msanii wa muziki wa kizazi kipya Nassib Abdul maarufu kama Diamond kwa kushinda...
View ArticleBENKI YA EXIM KATIKA KIKAO CHA UBORESHAJI UTENDAJI KILICHOFANYIKA KATIKA...
Afisa Mkuu Mtendaji wa Benki ya Exim Tanzania Bw. Dinesh Arora (kulia) akizungumza na uongozi wa benki hiyo (haupo pichani) wakati wa kikao cha kimkakati cha ndani kilichofanyika katika Hoteli ya Hyatt...
View ArticleWAFANYAKAZI WA UNFPA, TUSHIKAME PAMOJA FOUNDATION NA PROJECKT INSPIRE...
Daktari kijana Brian Mushi wa Projeckt Inspire akionyesha upendo kwa mmoja wa wazee wanaoishi kwenye kituo hicho kilichopo Msimbazi Centre mara baada ya kumpima Presha wakati wa maadhimisho ya siku ya...
View ArticleRAIS KIKWETE AHUTUBIA KIKAO CHA KAZI KWA VIONGOZI WA MIKOA,WILAYA NA...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubuia Kikao cha KAzi kwa Viongozi wa Mikoa, Wilaya na Halmashauri katika ukumbi wa Chimwaga Chuo Kikuu cha Dodoma jana Oktoba 2, 2014PICHA NA IKULU
View ArticleMATUKIO BUNGE MAALUM LA KATIBA JANA MJINI DODOMA
Wajumbe wa Bunge Maalum la katiba wakishangilia jana mjini Dodoma mara baada ya matokeo ya upigaji kura kuonyesha kuwa Theluthi mbili ya Zanzibar imepatikana.Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa...
View ArticleMKUTANO WA MAAFISA MIPANGO WAFUNGULIWA BALOZI DKT. MATERN LUMBANGA
Katibu Mtendaji wa Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Dkt. Philip Mpango akisoma hotuba wakati wa mkutano wa mwaka wa wachumi na maafisa mipango unaofanyika jijini Dar es Salaam.Katibu Mtendaji wa Ofisi...
View ArticleTAMASHA LA FIESTA LAITEKA SINGIDA
Baadhi ya mwashabiki wa tamasha la Fiesta 2014 wakishangilia kwa hisia,wakati shoo ikiendelea jukwaani ndani uwanja wa Namfua mjini Singida. Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka kampuni ya No Fake...
View ArticleRAIS KIKWETE AKAGUA CHUO CHA SAYANSI YA AFYA NA UCHUNGUZI WA MAGONJWA YA...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo kutoka kwa Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma Profesa Shaaban Mlacha na Makamu Mkuu wa Chuo hicho Profesa Idris Kikula (tai nyekundu) alipofanya ziara...
View ArticleRAIS KIKWETE ASHIRIKI SALA YA EID EL HAJJ UPANGA DAR ES SALAAM
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya waumini wa dini ya kiislamu muda mfupi baada ya kuswali sala ya Iddi El Hajj katika msikiti wa Maamur Upanga jijini Dar es Salaam jana asubuhi....
View ArticleNHC katika maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Makazi Duniani
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Kajumulo Tibaijuka akisikiliza maelekezo kutoka kwa Meneja wa Mawasiliano wa Shirika la Nyumba la Taifa, Yahya Charahani. Katika ujumbe wake...
View ArticleKATIBU MKUU WA CCM NDUGU ABDULRAHMAN KINANA AWASILI MKOANI IRINGA KWA ZIARA...
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akivishwa skafu mara baada ya kuwasili mkoani Iringa kuanza ziara ya siku sita ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 na kuhimiza...
View ArticlePINDA AHUTUBIA SHERHE ZA SIKU YA WALIMU MJINI BUKOBA
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipata maelezo kuhusu mtambo wa kutotoa vifaranga kutoka kwa Mwalimu Deudediti Rwekaza (kushoto) katika onyesho ya siku ya walimu Duniani iliyofanyika kitaifa kwenye...
View ArticleMJUE IRENE LA VEDA, MSHIRIKI WA BBA KUTOKA TANZANIA
Irene Neema Vedastous ‘La Veda’, Mshiriki wa Big Brother Hotshots kutoka Tanzania.IRENE NEEMA VEDASTOUS ni msichana mrembo wa Kitanzania, mwenye umri wa miaka 23 anayeiwakilisha Tanzania katika...
View ArticleJK AWAJULIA HALI WAKUU WA MIKOA YA KILIMANJARO, SIMIYU NA MJUMBE WA BUNGE...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe Leonidas Gama aliyelazwa kwa matibabu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam jana Rais Jakaya Mrisho...
View ArticleRAIS KIKWETE AKUTANA NA MENEJIMENTI YA BENKI YA NBC IKULU DAR ES SALAAM
Rais Jakaya Kikwete (kulia) akizungumza na Mtendaji Mkuu wa Menejimenti ya Barclays Africa, Bi. Mizinga Melu (wa tatu kushoto) alipokwenda kumuaga Ikulu, Dar es Salaam leo. Wengine kutoka kushoto ni...
View ArticleNSSF FURSA SEMINA YAFANYIKA DODOMA
Msimu wa Semina za Fursa zinazoendelea katika mikoa mbalimbali, licha ya kuwa ni Siku ya Sikukuu ya Idd El Hajj, Fursa Semina ilishamiri mjini Dodoma na kuvutia umati mkubwa wa watu.Umati huo...
View ArticleAIRTEL YAZINDUA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA KWA STAILI
Wakwanza kushoto Mkurugenzi mkuu wa Airtel Tanzania SunilColaso akifuatiwa na Mkurugenzi wa huduma kwa wateja Bi Adriana Lymbana Mkurugenzi Mkuu wa Bisahara wa Airtel Bw Mustafa Kapasi wakikata...
View Article