$ 0 0 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipata maelezo kuhusu mtambo wa kutotoa vifaranga kutoka kwa Mwalimu Deudediti Rwekaza (kushoto) katika onyesho ya siku ya walimu Duniani iliyofanyika kitaifa kwenye uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba Oktoba 5, 2014 (Piocha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Baadhi ya walimu walioshiriki katika sherehe za siku ya walimu Duniani wakiimba wimbo maalum wa Walimu kwenye uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba ambako sherehe hizo zilifanyika kitaifa Oktoba 5, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Walimu kutoka Simiyu wakiimba katika sherehe za siku ya walimu duniani ambazo mgeni Rasmi alikuwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kwenye uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba Oktoba 5, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)