Shirika la Nyumba la Taifa lakabidhi mashine za kufyatulia matofali ya...
 Meneja wa Mkoa NHC, Nistas Mvungi akimkabidhi Mkuu wa Mkoa mashine 32 za kufyatulia matofali ya kufungamana.  Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma Ujiji akishukuru Shirika kwa kuwapatia...
View ArticleKUNDI LA ORIJINO KOMEDY WAJIUNGA NA HUDUMA YA BIMA ITOLEWAYO NA CRDB...
CRDB Microfinance Insurance Brokers ambao ni wakala wa bima za aina zote ikiwemo bima ya afya, moto, nyumbani na maisha wakishirikiana na kampuni zaidi ya kumi za bima nchini Tanzania,wamefanikiwa...
View ArticleKATIBU MKUU WA CCM NDUGU ABDULRAHMAN KINANA ASHUKA MILIMA YA USAMBARA KWA...
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akifurahia jambo na Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi mara baada ya kuwasili katika kata ya Mng’aro Lushoto mara baada ya kushuka milima ya...
View ArticleMTANDAO WA WANAWAKE KUELIMISHA KATIBA INAYO PENDEKEZWA
Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanawake na Katiba, Prof. Ruth Meena akizungumza katika Kongamano la Wanaharakati Kujadili masuala muhimu kwenye mchakato wa Katiba Mpya lililofanyika jijini Dar es...
View ArticleMKUTANO WA OXFAM PAMOJA NA FORUM CC WAENDELEA KATIKA UKUMBI WA KARIMJEE DAR...
 Jenerali Ulimwenguambaye ndiye mwezeshaji akiendelea kutoa Mwongozo katika mkutano wa siku mbili juu ya mabadiliko ya Tabianchi, uhakika wa Chakula na haki za Ardhi mkutano ulioandaliwa na Oxfam...
View ArticleDK.SHEIN AWAAPISHA WAKUU WAPYA WA WILAYA PEMBA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Amran Masoud Amran kuwa Mkuu wa Wilaya ya Wete Pemba katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar  ,kabla ya uteuzi huo...
View ArticleShirika la Nyumba la Taifa lakabidhi Mashine za kufyatulia Matofali Tabora
Meneja wa NHC Mkoa wa Tabora Erasto Chilambo akimpokea Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Uyui Khadija MakuaniMkuu wa Wilaya ya Nzega Bi. TunuMsangi akimkaribisha mgeni rasmi. Picha kwa hisani ya...
View ArticleNSSF YATOA FURSA KWA WAKAZI WA MBEYA NA SONGEA
Kupitia Semina za Fursa zinazoendelea kufanyika katika mikoa mbali mbali hapa nchini, Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) imekuwa ikitoa Elimu ya Hifadhi ya Jamii kwa wananchi na kuwahamasisha...
View ArticleWanasiasa Wakongwe wa Kenya Wamtembelea Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa...
Waziri mkuu wa zamani na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa(kulia)akiwakaribisha mawaziri wa zamani wa Kenya William ole Ntimama(tai nyekundu) na John Keen(kushoto) nyumbani kwake Monduli. Wanasiasa...
View ArticleBENKI YA CRDB YAZINDUA WIKI YA HUDUMA KWA MTEJA
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei (kulia), akiwa na  Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, anayeshughulika na Uendeshaji na Huduma kwa Wateja, Saugata Bandyadhiyay wakati...
View ArticleNSSF YACHANGIA VIFAA VYA ICU HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI
Ofisa Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii(NSSF), Jumanne Mbepo (kulia), akimkabidhi mfano wa hundi ya sh. milioni 20Mkurugenzi  Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dk....
View ArticleKATIBU MKUU WA CCM NDUGU ABDULRAHMAN KINANA SHAMBANI KIJIJI CHA KWEMNYEFU
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kulima na kupanda mahindi katika shamba kijijini Kwemnyefu Kata ya Mpapayu wilayani Mheza mkoani Tanga pamoja na wananchi wakati alipotembelea...
View ArticleNAFASI KIBAO ZA AJIRA WIZARA YA MAMBO YA NDANI (UHAMIAJI), KAZI KWAKO KUAPPLY
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHITANGAZO LA NAFASI ZA KAZIKatibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi anatangaza nafasi za kazi zifuatazo katika Idara ya Uhamiaji kwa Raia wote wa Tanzania wenye...
View ArticleMKUTANO SEKTA YA MAWASILIANO ‘CONNECT TO CONNECT SUMMIT’ WAENDELEA DAR
Wataalamu wa sekta ya mawsiliano wakiwa katika majadiliano katika mkutano wa masuala ya TEHAMA ‘Connect-to-Connect Summit’ unaofanyika jijini Dar es Salaam. Wataalamu wa sekta ya mawsiliano wakiwa...
View ArticleJK AFUNGUA RASMI BARABARA YA MWENGE-TEGETA JIJINI DAR ES SALAAM
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mbunge wa Kawe Mhe Halima Mdee  baada ya ufunguzi rasmi wa barabara ya Mwenge-Tegeta  leo katika eneo la Lugalo njiapanda ya Kawe jijini Dar es salaam. Ujenzi na...
View ArticleDSTV BOMBA YAZINDULIWA TANZANIA
MultiChoice Africa ina furaha kuwatangazia kuwa imezindua kifurushi kipya maalumu kwa watanzania. Kifurushi hiki kimetengenezwa mahususi kwa watanzania kikiwa na chaneli zaidi 65 za kitaifa na...
View ArticleORIFLAME TANZANIA YATOA AJIRA KWA VIJANA 60,000 NCHINI- YATANGAZA BIDHAA ZAKE...
 Mkurugenzi Mwandamizi wa Kampuni hiyo, Japhet Naftal (kulia), akiwapigisha makofi wanachama wa Oriflame baada ya kuzungumza nao katika hafla hiyo ya kutangaza bidhaa mpya za Kampuni hiyo iliyofanyika...
View ArticleBUNGE MAALUM LA KATIBA LAPITISHA RASIMU YA KATIBA INAYOPENDEKEZWA
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta hivi punde ametangaza rasmi kupitisha Rasimu ya Katiba inayopendekezwa baada ya matokeo kutangazwa.
View ArticleERIC SHIGONGO SPEAKS ON VOA'S STRAIGHT TALK AFRICA
According to the Tanzanian Proverb, "A wise person will always find a way"... and so did our Straight Talk Africa Studio Guest! Tanzanian icon Eric James Shigongo, Author, Motivator, and Founder &...
View ArticleShirika la Nyumba la Taifa lafanya mkutano na wadau wa mabenki Dar
Kaimu Meneja Mauzo wa Shirika la Nyumba la Taifa, Sophia Mwema akifafanua jambo kwenye mkutano maalumu ulioandaliwa na Shirika la Nyumba la Taifa wa uendelezaji mawasiliano baina ya NHC na Benki...
View Article