KINANA ATEMBELEA MAKUMBUSHO YA CHIFU MKWAWA, KALENGA, IRINGA
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiangalia fuvu la aliyekuwa Chifu wa Wahehe, Mkwawa alipotembelea Makumbusho ya shujaa huyo aliyepambana na wajerumani na kujiua kwa bunduki baada ya kuona yupo...
View ArticleAIRTEL WAZINDUA SHINDANO LA WANAMUZIKI CHIPUKIZI
Mkurugenzi wa kitengo cha Masoko wa Airtel Levi Nyakundi akiongea wakati wa uzinduzi wa mashindano ya kusaka vipaji kupitia simu ya mkononi yajulikanayo kama " Airtel TRACE Music Star" kwa lengo la...
View ArticleBENKI YA CRDB YAADHIMISHA SIKU YA WATEJA
Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki yaCRDB anayeshughulika na Uendeshaji na Huduma kwa Wateja, Bandyadhiyay (kulia) akizungumza na wateja waliofika katika tawi la Holland House jijini Dar es Salaam...
View ArticleLISU ASHAMBULIA JUKWAA KWA SAA MBILI DIAMOND
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, (Mahusiano na Uratibu), Stephen Wasira akikata utepe wakati wa uzinduzi wa album ya nyimbo za injili ya ‘Uko Hapa’ yenye nyimbo 18 ya mwimbaji, John Lisu wakati wa...
View ArticleKATIBU MKUU WA CCM NDUGU ABDULRAHMAN KINANA AZUNGUMZA NA WANA ISIMANI
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia mamia ya wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika, Oktoba 7, 2014, katika Kijiji cha Magozi, Kata ya Ilolo Mpya, akiwa katika ziara ya kukagua...
View ArticleMSIINGIZE DINI KATIKA SIASA, RAIS AWAAMBIA MABALOZI
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na viongozi wa dini alipowasili katika hoteli ya White Sands jijini Dar es salaam kufungua Mkutano wa viongozi wa dini kubwa za Kikiristo na Kiislam nchini kwa...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO MSIBA WA PROFESSA KIVASI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisaini katika kitabu cha maombolezo ya msiba wa aliyekuwa Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Professa Rogath...
View ArticleKATIBA INAYOPENDEKEZWA YAOMBEWA DUWA NJEMA
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Dkt. Rehema Nchimbi akihutubia wakati wa dua ya kuiombea Katiba mpya InayopendekezwaViongozi wa Dini toka wadhehebu ya Kiislamu, Kikristo, Wasabato, Wahamadiya, Jamaat...
View ArticleFNB YAKABIDHI MADARASA BAADA YA KUFANYIA UKARABATI NA MADAWATI NA MIKOBA YA...
Mkuu wa Idara ya ukaguzi wa Mahesabu FNB Baraka Thomas (kushoto) akikata utepe kwa ajili ya kumkabidhi MwalimuMkuu wa Shule ya Msingi Msasani B, Bw.Victor Kamuli madarasa baada ya kufanyiwa...
View ArticleVODACOM YAZINDUA HUDUMA MPYA YA SIMU DOKTA
Mkuu wa Idara ya Mawasiliano na Masoko wa Vodacom Tanzania, Kelvin Twissa akisisitiza jambo kwa wanahabari (hawapo pichani). Kulia ni Dk. Sulende Kubhoja.Bingwa wa magonjwa ya mwili wa binadamu, Dk....
View ArticleMDEE NA WENZAKE WAPATA DHAMANA
Mbunge wa Kawe na Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha), Halima Mdee.Mbunge wa Kawe, Halima Mdee na wenzake 8 leo wamepata dhamana katika Mahakama ya Kisutu, Dar. Kesi yao kutajwa tena...
View ArticleCBA YATANUA KWENYE M-PAWA
Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Biashara ya Afrika (CBA), Julius Mcharo akizungumza wakati kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja, ambapo alitumia fursa hiyo kuwashukuru wateja wao kwa kuichagua...
View ArticleKATIBU MKUU WA CCM NDUGU ABDULRAHMAN KINANA AENDELEA NA ZIARA JIMBO LA KILOLO
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasalimu wakazi wa Kilolo Mnadani waliojitokeza kumlaki katika ziara yake wilayani Kilolo Kinana yuko mkoani Iringa kwa ziara ya siku sita ya kikazi...
View ArticleShirika la Nyumba la Taifa lakabidhi Mashine za kufyatulia Matofali Shinyanga
Meneja wa NHC Shinyanga, Ramadhani Macha akimkabidhi mgeni rasmi Dk Anselem Tarimo kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Ally Rufunga mashine za kufuatulia matofali ya kufungamana ili azikabidhi...
View ArticleDKT JAKAYA MRISHO KIKWETE APOKEA RASIMU YA MWISHO YA KATIBA INAYOPENDEKEZWA...
Mwenyekiti wa Bunge maalum la katiba Mhe.Samuel Sitta akikabidhi rasimu ya katiba inayopendekezwa kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho kikwete na Rais wa Serikali ya Mapinduzi...
View ArticleUBALOZI WA TANZANIA WASHINGTON, DC WAMKARIBISHA BALOZI OMBENI SEFUE KWA...
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akiwasili kwenye Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Washington, DC nchini Marekani alikokaribishwa chakula cha jioni wakiwemo viongozi mbalimbali wa...
View ArticleBAADA YA KUTIKISA NCHINI OMAN, SKYLIGHT BAND WAREJEA NCHINI KUTOA BURUDANI YA...
Baada ya Safari ndefu ya nchini Oman ambako Bendi Inayotikisa nchini kwa sasa Skylight Band walitoa Burudani ya Nguvu huko ughaibuni na kuacha historia isiyofutika kirahisi, Sasa Bendi yako imerejea...
View ArticleLORRAINE ATUA NCHINI APONGEZA WATANZANIA
Lorraine Clement akipungia watu waliofika kumlaki , alipokuwa akiwasili uwanja wa ndege JNI, alipokuwa akitokea nchini, Thailand, kushiriki mashindano ya Miss Grand International 2014, ambapo Lorraine...
View ArticleSafari ya mwisho ya Marehemu Batholomeo Brashi asubuhi ya leo
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemiah Kyando Mchechu akizungumza leo asubuhi wakati wa ibada ya mazishi ya mfanyakazi wa NHC, Batholomeo Brashi aliyefariki mchana wa jana katika...
View ArticleWADAU WA VIJANA WASHIRIKI MDAHALO WIKI YA VIJANA TABORA
Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Vijana kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Steven Kissui akizungumza katika mdahalo wa vijana leo mkoani Tabora ambapo mdahalo huo umefanyika...
View Article