MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA MKURUGENZI WA SHIRIKA LA UTANGAZAJI TBC
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muuangano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mkurugenzi wa Shirika la Utangazaji la Taifa, TBC, Clement Kiondo, wakati alipofika na ujumbe wake Ofisini...
View ArticleMKE WA WAZIRI MKUU AZINDUA TAASISI YA MANJANO FOUNDATION
Mgeni Rasmi kwenye halfa ua Uzinduzi wa Taasisi ya Manjano Foundation Pamoja na Vipodozi Pendwa Vijulikanavyo kama Luv Touch Manjano Mke wa Waziri Mkuu Mh Tunu Pinda Akitoa Hotuba yake katika Uzinduzi...
View ArticleTAASISI YA UTT-PID CHINI YA WIZARA YA FEDHA YAPANUA BARABARA ENEO LA MRADI WA...
Muonekano wa viwanja vya Mabano vilivyopimwa na Taasisi ya UTT-PID kwa ushirikiano na Halmashauri vilivyopo Manispaa ya Lindi.Baada ya kupima na kufanikiwa kuuza viwanja zaidi ya 2,500 katika fukwe za...
View ArticleMBUNGE WA UKONGA EUGEN MWAIPOSA AFARIKI DUNIA
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIABUNGE LA TANZANIA TANZIASpika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anasikitika kutangaza kifo cha Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Dar es Salaam, Mhe. EUGEN ELISHIRINGA...
View ArticleBUNGE LAAHIRISHWA KUFUATIA KIFO CHA MBUNGE WA UKONGA EUGEN MWAIPOSA
Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Ukonga marehemu Bi. Eugen Mwaiposa ambaye amefariki usiku wa kuamkia leo nyumbani kwake mjini Dodoma. Taarifa za kifo chake zimetangazwa wakati bunge likiendelea na mjadala...
View ArticleSERIKALI YAMALIZA MGOGORO NA WAFANYABIASHARA
Waziri wa Fedha Mh. Saada Mkuya Salum akiwaeleza wafanya biashara kuendelea kutoa ushirikiano, utakaojenga uhusiano wa kudumu kati yao na Serikali kwa maslahi na maendeleo ya Taifa, wakati akitoa...
View ArticleWAZIRI MKUU, MIZENGO PINDA AFUNGUA MKUTANO WA TANO WA WADAU WA NSSF MKOANI...
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua mkutano wa tano wa wadau wa Mfuko wa Hifadhi za Jamii wa NSSF kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC), Juni 2, 2015. Wengine kutoka kushoto ni...
View ArticleBLATTER AJIUZULU URAIS FIFA
Rais wa FIFA, Sepp Blatter ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo.Sepp Blatter akiwapongeza wajumbe wa FIFA baada ya kushinda nafasi hiyo siku sita zilizopita.Maafisa wakuu wa FIFA waliokamatwa siku mbili...
View ArticleKUCHUKUA FOMU ZA URAIS CCM NI LEO MJINI DODOMA, SEIF KHATIBU NDIYE KAPEWA...
KATIBU WA HALMASHAURI KUU YA CCM IDARA YA OGANEZESHENI DR MOHAMED SEIF KHATIBU AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI MAKAO MAKUU DODOMA KUHUSHU RATIBA YA KUCHUKUA FOMU LEO WAGOMBEA URAIS KUPITIA CHAMA...
View ArticleHIFADHI ZA TAIFA TANZANIA(TANAPA) KUPITIA UJIRANI MWEMA WAKABIDHI MRADI WA...
Mkuu wa mkoa wa Kilimajaro,Leonidas Gamaakikaribishwa na Mhifadhi Mkuu Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro(KINAPA)Erastus Rufungulo katika makabidhiano ya mradi wa maji waujirani Mwema uliotolewa na...
View ArticleMAANDALIZI YA HAFLA YA MH SAMUEL SITTA KUTANGAZA NIA YA KUGOMBEA URAIS YAIVA!
Adama Fundikira akiwa na mama yake mdogo Mh Samuel Sitta aitwaye Ndisha Said FundikiraWayege wakicheza ngomaHabari na picha kwa hisani ya Mkala Fundikira wa TBN central zone
View ArticleTBL YAKABIDHI MSAADA WA KISIMA CHA MAJI KIJIJI CHA MAGOZA, MKURANGA
Ofisa Elimu Wilaya ya Mkuranga, aliyemwakilisha Mkuu wa Wilaya hiyo, Benjamin Majoya akikata utepe kuzindua rasmi kisima cha maji kilichojengwa kwa msaada wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), kwa...
View ArticleSAMUEL SITTA ATANGAZA RASMI NIA YAKE KUGOMBEA URAIS
Mh Samuel Sitta akitangaza nia jana mchana Itetemia TaboraMheshimiwa Samuel Sitta leo hii alitangaza rasmi nia yake kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Alitangaza nia yake hiyo mbele ya...
View ArticleMWILI WA MHE. EUGEN MWAIPOSA ALIYEKUWA MBUNGE WA UKONGA WAAGWA BUNGENI
Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi Ombeni Sefue (kulia) akisalimiana na Waziri wa Fedha wa zamani na Mbunge wa Kilosa Mhe. Mustafa Mkulo alipowasili kwenye viwanja vya bunge jana.Mbunge wa Singida...
View ArticleKATIBU MKUU WA CCM TAIFA ABDULRAHMAN KINANA AANZA ZIARA
Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana akiteremka kwenye basi kuwasalimia wanachama na wapenzi wa Chama Cha Mapinduzi wa mkoa wa Morogoro akiwa njiani kuelekea mkoani Kagera.Katibu wa...
View ArticleWITO UMETOLEWA KWA WAMILIKI WA VIWANDA KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA...
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Abdallah Kigoda (kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo mkoani Dodoma kuhusu maendeleo ya zoezi la Sensa ya Viwanda linalofanyika nchini....
View ArticleWAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI AWAONGOZA WAOMBOLEZAJI KUUAGA MWILI WA...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe akitoa heshima za mwisho kwa Marehemu Kamishna Mkuu Mstaafu wa Magereza, Onel Malisa ambaye ameagwa leo Kijeshi Juni 04, 2015 katika Chuo cha...
View ArticleDC ILALA, ORIJINO KOMEDI WASHIRIKI WIKI YA MAZINGIRA KATA YA KIVUKONI
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi (kushoto) akishiriki zoezi la usafi katika fukwe ya Bahari ya Hindi eneo la Aga Khan kata ya Kivukoni ikiwa ni maadhimisho ya wiki ya Mazingira huku...
View ArticleTAASISI KUTOKA INDIA YAWAPIGA MSASA WAKAGUZI WA MIGODI NCHINI
Kamishna Msaidizi – Ukaguzi wa Migodi, Mhandisi Ally Samaje kutoka Wizara ya Nishati na Madini (Kushoto) akijadiliana jambo na Mtaalam mwelekezi kutoka Taasisi ya Sayansi na Mazingira ya Nchini...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ACHUKUA FOMU ZA KUWANIA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisani moja ya fomu za kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wakati alipofika Makao Makuu ya CCM mkoani...
View Article