
Mkuu wa mkoa wa Kilimajaro,Leonidas Gama
akikaribishwa na Mhifadhi Mkuu Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro
(KINAPA)Erastus Rufungulo katika makabidhiano ya mradi wa maji wa
ujirani Mwema uliotolewa na hifadhi za taifa nchni
TANAPA.
![]() |
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro ,Leonidas Gama akisoma kilichoandikwa katika vibao mara baada ya uzinduzi wa mradi huo. |
![]() |
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro ,Leonidas Gama kuashiria uzinduzi rasmi wa mradi huo. |
![]() |
RC ,Gama akinywa maji kwa kutumia mkono mara baada ya kufungua bomba la maji katika kijiji cha Ashira wilaya ya Moshi vijijini. |
![]() |
Tanki la Maji la mradi wa ujirani mwema uliofadhiliwa na Hifadhi za Taifa ,Tanzania (TANAPA). |
![]() |
Baadhi ya wananchi katika kijiji cha Ashira wilaya ya Moshi vijijini. |
![]() |
Baadhi ya wananchi wa kijiji cha Ashira katika wilaya ya Moshi . |
![]() |
Kaimu Mkurugenzi mkuu TANAPA,Ibrahim Musa akitoa taarifa mbele ya mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama kuhusu ujenzi wa mradi wa maji katika kijiji cha Ashira wilaya ya Moshi , |
![]() |
Mkuu wa wilaya ya Moshi,Novatus Makunga akizungumza wakati wa makabidhiano ya mradi wa maji uliofadhiliwa na TANAPA kwa ajili ya wananchi wa kijiji cha Ashira wilaya ya Moshi. |
![]() |
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii,Kanda ya Kaskazini, |