MWIGULU NCHEMBA NAYE ATANGAZA NIA YA KUWANIA URAIS
Mwigulu Nchemba akitangaza nia ya kuwania nafasi ya kugombea Urais kupitia CCM jioni hii mkoani Dodoma.NAIBU Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, ametangaza nia ya kuwania nafasi ya kugombea Urais jioni...
View ArticleSTEPHEN WASSIRA ATANGAZA NIA YA KUWANIA URAIS
Stephen Wassira akitangaza nia ya kuwania Urais kwenye Ukumbi wa wa BOT jijini Mwanza leo.WAZIRI wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephen Wassira leo ametangaza nia ya kuwania Urais kwenye Ukumbi wa wa...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA MARIAN BAGAMOYO
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa hafla ya uzinduzi wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Marian mjini Bagamoyo,leo Mei 31, 2015. Picha na...
View ArticleWAZIRI MEMBE AWASIHI WATANZANIA KUTOCHAGUA VIONGOZI WANAOSAKA UONGOZI KWA...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe akimkabidhi Bi. Shamim Khan tuzo ya heshima ya kujishughulisha na kazi za kijamii hapa Tanzania.Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano...
View ArticleTAWLA YAANDAA CHAKULA CHA JIONI KUADHIMISHA MIAKA 25 TANGU IANZISHWE
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makaazi Mh. Anjela Kairuki na Mwenyekiti wa Chama cha Wanasheria wanawake TAWLA Aisha Bade wakiangalia uzinduzi wa mpango Mkakati wa Chama hicho wa mwaka...
View ArticleHOTEL YA DOUBLETREE BY HILTON YA JIJINI DAR YAFANYA USAFI WA MAZINGIRA...
Mkurugenzi mkuu wa Hotel ya Double Tree by Hilton nchini Tanzania, Bw.Ian Mclachan (wa pili kutoka kushoto) akifanya usafi katika ufukwe wa Bahari inayoizunguka Hoteli ya Double Tree huku akishirikiana...
View ArticlePROF. LIPUMBA ATANGAZA KUGOMBEA URAIS KWA TIKETI YA UKAWA
MWENYEKITI wa Chama cha wananchi CUF, Prof Ibrahim Haruna Lipumba huenda akaingia kwa mara ya tano katika mbio za kutaka kuingia Ikulu ya Tanzania endapoUmoja wa Katiba ya WananchiUKAWA utampitisha...
View ArticleDK. SLAA AKIKAGUA UANDISHWA BVR- VWAWA- MBOZI, MBEYA
Katibu Mkuu wa Chadema, Dk, Wilbroard Slaa (kushoto) akipata maelekezo kutoka kwa mwandikishaji wa daftari la kudumu la wapiga kura, Mailosy Bukuku namna mashine ya BVR zinavyofanya kazi katika kituo...
View ArticleTAMASHA LA KOMAA CONCERT LILIVYOFANA NDANI YA KIOTA CHA MARAHA CHA DAR LIVE...
Uongozi pamoja na Wafanyakazi wa kituo cha radio ya EFM 93.7 kwa pamoja wakikata keki kusherehekea kutimiza mwaka mmoja wa kituo hicho ambacho kwa sasa kinakuja kwa kasi jijini Dar na kwingineko,hafla...
View ArticleTAARIFA YA MAKUSANYO UJENZI YA MSIKITI
Kwa Jina la M/Mungu nina anza Andika , Nawashukuru Ndugu zangu WA TANZANIA ,KENYA na wasio kuwa hao kwa Upamoja wao wa Michango yao ya hali na Mali katika Kuimarisha UJENZI WA MSIKITI UNAONA KATIKA...
View ArticleWAZIRI WA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI AWEKA JIWE LA MSINGI NYUMBA 50...
Hizi ni miongoni mwa nyumba 50 za gharama nafuu zilizojengwa na NHC katika mtaa wa Bukondamoyo kata ya Mhungula katika halmashauri ya Mji Kahama mkoani Shinyanga. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo...
View ArticleCCM MOSHI VIJIJINI WAMPONGEZA MWENYEKITI MPYA WA MJI MDOGO WA HIMO HUSSEIN...
Mwenyekiti Mpya wa mji mdogo wa Himo,HusseinJamal akiwasili katika ukumbi wa King size katika mji wa Himo kwaajili ya sherehe ya kupongezwa baada ya kufanikiwa kushinda kitihicho.Baaadhi ya wanachama...
View ArticlePINDA AKUTANA NA UJUMBE WA WAFANYABIASHARA KUTOKA MAREKANI, APOKEA GARI LA...
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua gari la kubeba wagonjwa lililotolewa na kampuni ya Sayed Corporation Limited kwa ajili ya hospitali ya Endulen ya Ngorongoro . Gari hilo lilikabidhiwa kwa Waziri...
View ArticleNAIBU KATIBU MKUU CHADEMA,ZANZIBAR SALUM MWALIM ATUNUKU VYETI KWA WANACHAMA...
Naibu Katibu mkuu wa Chadema taifa upande waZanzibar Salum Mwalimu akizungumza wakati wa mahafali ya Chaso mkoa waKilimanjaro yaliyofanyika katika shule ya sekondariMajengo. Baadhi ya wanachama wa...
View ArticleWAZIRI MKUU MSTAAFU FREDERICK SUMAYE ATANGAZA NIA YA KUWANIA URAIS
Waziri Mkuu mstaafu Sumaye akiwa na mke wake Ester Sumaye wakati wa mkutano huo wa kutangaza nia. Waziri Mkuu mstaafu Sumaye (kulia), akizungumza na wanahabari na wadau wengine wakati akitangaza nia...
View ArticleKAMISHNA WA MADINI AZITAKA TAASISI ZA MAZINGIRA NCHINI KUONGEZA USHIRIKIANO...
Mijiolojia wa Wizara ya Nishati na Madini, Assa Mwakilembe akizungumzia sekta ya madini nchini kabla ya kumkaribisha Kamishna Msaidizi – Ukaguzi wa Migodi, Mhandisi Ally Samaje ili aweze kufungua...
View ArticlePROFESA SOSPETER MUHONGO ATANGAZA NIA YA KUWANIA URAIS
Leo ni zamu ya Profesa Sospeter Muhongo kutangaza nia ya kuombwa kugombea urais wa Jamahuri ya Muungano wa Tanzania, kurithi mikoba ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete. Profesa Muhongo anatangaza nia yake...
View ArticleMWILI WA MAREHEMU MZEE SAMWELI NTAMBALA LWANGISA WAPOKELEWA BUKOBA, MAJONZI...
Gari maalum kutoka Nchini Uganda lililobeba Mwili wa Mzee Samwel Ntambala Lwangisa ukiingia Bukoba. Na Faustine Ruta, BukobaMwili wa Marehemu Samuel Ntambala Luangisa uliwasili usiku wa kumkia leo...
View ArticleRAIS KIKWETE ZIARANI FINLAND
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Balozi Dorah Msechu katika uwanja wa ndege wa Helsinki alipowasili tayari kwa ziara ya siku tatu ya nchi hiyoRais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Balozi wa...
View ArticleTIGO YAZINDUA DUKA MOSHI MJINI
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Leonidas T. Gama akiongea na waandishi wa habari na wageni waalikwa(hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa Tawi la Tigo Moshi Mjini jana, wengine kulia Mkuu wa Wilaya ya...
View Article