ZIARA YA RAIS KIKWETE NCHINI FINLAND NA SWEDEN
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikutana na kufanya mazungumzomna Spika wa Bunge la nchi ya Finland Mhe Maria Lohela siku alipotembelea bunge la nchi hiyo. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifanya mahojiano...
View ArticleAIRTEL NA HUAWEI YAANZISHA BAZAAR LA SIMU ZA SMARTPHONE KWA BEI POA
Meneja Masoko wa Huwawei Bi Lydia Wangari, akionyesha kwawaandishi wa habari (hawapo pichani) simu aina ya Huwawei Met 7 ambayozitauzwa katika Airtel Bazaar linalofanyika mlimani City ijumaa,jumamosi,...
View ArticleSEREKALI YAOMBWA KUPITIA UPYA SHERIA YA MTOTO YA MWAKA 1971 KWANI INAWAATHIRI...
mwenyekiti wa baraza la watoto wilaya ya Arusha Hassani Omary akizungumza wakati wa kongamano la watoto ,walimu ,wazazi lililoandaliwa na shirikala intiative for youth (INFOY) kongamano lililofanyika...
View ArticleMkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa afanya ziara kwenye nyumba za...
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akikagua maendeleo ya ujenzi wa Nyumba za gharama nafuu Mvomero mkoani Morogoro aambapo pamoja na mambo mengine ameshuhudia ujenzi...
View ArticleMSAFARA WA KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA WAWASILI WILAYANI KAHAMA USIKU HUU...
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Abdulrahman Kinana akipokelewa na kamati ya Ulinzi na Usalama usiku huu ndani ya wilaya Kahama mkoani Shinyanga tayari kwa mapumziko,ambapo kesho...
View ArticleRAIS WA ZANZIBAR DK.ALI MOHAMED SHEIN AFUNGUA MAONESHO YA MUZIKI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba ya ufunguzi wa Maonesho ya Muziki katika Mji wa Wurzburg Nchini Ujerumani jana ambayo hufanyika kila mwaka...
View ArticlePSPF YADHAMINI UZINDUZI WA ASASI YA HIFADHI YA JAMII YA WANAFUNZI WA IFM.
AFISA UHUSIANO MWANDAMIZI WA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF ,ABDUL NJAIDI AKITOA HOTUBA WAKATI WA UZINDUZI WA ASASI YA HIFADHI YA JAMII, ILIYOANZISHWA NA WANAFUNZI WA CHUO CHA USIMAMIZI WA FEDHA (IFM)....
View ArticleWAZIRI CHIKAWE AONGOZA KUAGA MWILI WA ALIYEKUWA KAMISHNA MKUU MSTAAFU JESHI...
1. Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili na Kilutheri nchini (KKKT), Usharika wa Kinyerezi, Manford Kijalo akiwaongoza askari waliobeba mwili wa aliyekuwa Kamishna Mkuu mstaafu wa Jeshi la Magereza, Onel...
View ArticleKINANA AWASILI SALAMA MKOANI KAGERA
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Katibu wa CCM mkoa wa Kagera Ndugu Idd Ame wakati wa mapokezi katika mkoa wa Kagera. Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana...
View ArticleRAIS WA ZANZIBAR DK.ALI MOHAMED SHEIN AFUNGUA MAONESHO YA MUZIKI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba ya ufunguzi wa Maonesho ya Muziki katika Mji wa Wurzburg Nchini Ujerumani jana ambayo hufanyika kila mwaka...
View ArticleMAELFU WAFURIKA MWANZA KUMUONA LOWASSA, YUKO ZIARANI KUOMBA WADHAMINI
MAELFU ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM, na wakazi wengine wa jiji la Mwanza, leo Ijumaa Juni 5, 2015, walifurika kwa wingi kwenye ofisi za CCM wilaya ya Nayamagana na ile ya Ilemela, wengine...
View ArticleRITA YAZUNGUMZIA UMUHIMU WA KUWA NA CHETI CHA KUZALIWA
Ofisa Uhusiano wa Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA), Jafarri Malema (kushoto), akizungumza na wafanyakazi wa gazeti la Jambo Leo (hawapo pichani), Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu shughuli...
View ArticleKATIBU MKUU WA CCM KINANA AANZA ZIARA MKOANI KAGERA LEO, AKUTANA NA MAKUNDI...
Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akipokelewa mapema leo katika uwanja wa shule ya msingi Nyakanazi,Wilayani Biharamulo mkoani Kagera,ambapo pia aliwasalimia wananchi wa kijiji hicho tayari kwa kuanza...
View ArticleWATANZANIA WAVICHANGAMKIA VIWANJA VYA BAYPORT VIKURUTI
Hawa ni miongoni mwa Watanzania waliohamasika kutembelea katika viwanja vilivyokuwa kwenye mradi wa Vikuruti kutoka Taasisi ya Kifedha ya Bayport Financial Services, wilayani Kibaha, mkoani Pwani,...
View ArticlePSPF YATOA ELIMU YA MFUKO KWA WAHESHMIWA MABALOZI, WAHAMASIKA WAJIUNGA NA...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Memba (kushoto) akiwa na Mkurugenzi Mkuu wa PSPF Adam Mayingu, baada ya kikao cha waheshimiwa Mabalozi.Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya...
View ArticlePOLISI WAKAMATA BUNDUKI SMG, RISASI 59 PAMOJA NA WATUHUMIWA KATIKA MATUKIO...
Naibu Kamishna wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam(DCP), Simon Sirro Akizungumza na waandishi wa habari juu ya Operesheni inayoendelea ya kuwasaka wahalifu wa makosa mbalimbali katika...
View ArticleNEMC YASEMA UTUNZAJI MAZINGIRA NI JUKUMU LETU SOTE
Mhandisi wa Mazingira wa Mamlaka ya udhibiti na usimamizi wa mazingira(NEMC)Arnold Kasilaga.akiongea na wafanyakazi wa Vodacom Tanzania na wafanyakazi wa Mlimani City.Wakati wa kuadhimisha siku ya...
View ArticleMAZISHI YA MAREHEMU KAMISHNA MKUU MSTAAFU WA JESHI LA MAGEREZA, ONEL MALISA...
Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Magereza wakiweka jeneza la Marehemu Kamishna Mkuu Mstaafu wa Magereza, Onel Malisa kwenye nyumba yake ya milele. Mazishi hayo yamefanyika jana Juni 05, 2015 katika...
View ArticleKIKOSI CHA TIMU YA TAIFA YA TANZANIA (TAIFA STARS) KIMEENDELEA NA KATIKA...
Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro, leo kimeendelea na mazoezi asubuhi na jioni katika uwanja wa Benki ya Biashara ya Ethiopia kujiandaa na mchezo...
View Article