Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Kazi na Ajira , Gaudencia Kabaka kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Mei 15, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijadili jambo na Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini, Jaji Francis Mutungi kwenye viwanja vya Bunge Mei 15, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wabunge wa Viti Maalum, Christawaja Mtinda (kushoto) na Christina Lissu Mughwai a(katikati) kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Mei15, 2015

