BREAKING NEWZZZZZ:MOTO MKUBWA UMEZUKA KATIKA MOJA YA JENGO MTAA WA...
Moto Mkubwa umezuka mapema leo kwenye moja ya nyumba pichani iliopo mtaa wa Jamuhuri na Moski -Kariakoo jijini Dar,na kupelekea mali kadhaa kuteketea.Kikosi Kazi cha Globu ya Jamii kipo eneo la tukio...
View ArticleMELI KUBWA YENYE UREFU WA MITA 244 YATIA NANGA BANDARI YA DAR
Meli kubwa MSC Martina yenye urefu wa mita 244 na upana wa mita 32.2 ikiwa na uwezo wa kubeba makontena 2,411 imefanikiwa kutia nanga katika Bandari ya Dar es Salaam.Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka,...
View ArticleSERIKALI YAIPONGEZA BENKI YA ACCESS KUFUNGUA TAWI LAKE JIJINI MBEYA
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Mhe. Abbas Kandoro akizungumza na wateja pamoja na wafanyakazi wa Benki ya Access wakati alipokuwa mgeni rasmi katika sherehe za uzinduzi wa tawi la benki hiyo jijini Mbeya...
View ArticleTIPER KUONGEZA UWEZO WA KUHIFADHI MAFUTA KUFIKIA MITA ZA UJAZO 213,000
Mafundi wa kampuni ya kuhifadhi mafuta ya Tanzania International Petroleum Reserves Limited (TIPER), wakitengeneza paa katika moja ya matanki mapya ya kampuni hiyo, wakati kampuni hiyo ikitaraji...
View ArticleNAPE: HAKUNA MGOMBEA ATAKAYEPITISHWA CCM KWA PRESHA ZA MAKUNDI, NI KWA...
NA BASHIR NKOROMO.Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema, hakuna kitakayempitisha kugombea urais 2015, kwa presha za makundi au wapambe.Akizungumza kwa nyakati tofauti katika vyumba vya habari vya magazeti...
View ArticleBaraza la Ujenzi Endelevu na Mazingira Tanzania (Tanzania Green Building...
Rais wa Baraza la Ujenzi Endelevu na Mazingira Tanzania (Tanzania Green Building Council ), Ngwisa Mpembe (wa pili kulia) akilitambulisha baraza hilo la kitaalamu ambalo Shirika la Nyumba la Taifa ni...
View ArticleWAZIRI WA NISHATI NA MADINI GEORGE SIMBACHAWENE AFUNGUA MKUTANO WA KUJADILI...
Waziri wa Nishati na Madini George Simbachawene akifungua mkutano kwa ajili ya kujadili nishati endelevu nchini kwa wote ( Tanzania Sustainable Energy for All) ulioshirikisha sekta binfasi, wataamu...
View ArticleCHRISTIAN BELLA ‘KING OF THE BEST MELODIES’ AAHIDI MAKUBWA SHOO YA...
Christian Bella (kulia) akijibu baadhi ya maswali ya wanahabari (hawapo pichani) kuhusu maandalizi ya shoo yake ya Valentine kwenye Ukumbi wa Dar Live.Bella akisisitiza jambo kwa wanahabari (hawapo...
View ArticleVIONGOZI WA KANISA LA ANGLICAN WATEMBELA SHAMBA LA WAZIRI MKUU ZUZU DODOMA...
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwaongoza viongozi wa Kanisa la Anglican kutembelea malisho ya ng’ombe kwenye shamba lake lililopo Zuzu Dodoma Februari 9, 2015. Baadhi ya viongozi hao ambao walikwenda...
View ArticleNAPE ATEMBELEA MAJIRA LEO
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye (kushotia), akisalimiana na Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Bussines Times, Imma Mbuguni, alipowasili katika Ofisi za kampuni hiyo jijini Dar es...
View ArticleMBUNGE WA MOROGORO MJINI AWASHANGAZA WAKAZI WA MOROGORO
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood akisalimiana na wakazi wa Mitaa ya Kata ya Kichangani manipaa ya Morogoro Katika Mfurulizo wa Ziara zake anazofanya katika kata Zote za Jimbi hilo kwa...
View ArticleMAADHIMISHO YA SIKU YA SHERIA ZANZIBAR YAFANYIKA LEO
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akionesha kitabu cha Mwaka wa Sheria kama ishara ya uzinduzi wa kitabu hicho samba samba na maadhimishoya siku ya Sheria...
View ArticleMAKAMU WA RAIS MHE. DKT. BILAL AONGOZA WANANCHI WA MKOA WA DAR ES SALAAM...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal akitoa heshima za mwisho kwenye majeneza yenye miili ya Familia ya marehemu Kapten David Mpila waliofariki kwa...
View ArticleAIRTEL YAZINDUA PROMOSHENI YA AIRTEL YATOSHA ZAIDI KWA WAKAZI WA MWAZA
Afisa Uhusiano wa Airtel Bi Jane Matinde akiongea na waandishi wa habari ( pichani hawapo) wakati wa kuzindua promosheni ya Airtel yatosha Zaidi jijini Mwanza, Promosheni ya Airtel yatosha inawawezesha...
View ArticleWAZIRI MWAKYEMBE AZUNGUMZIA KENYA KUZUIA MAGARI YA TANZANIA VIWANJA VYA NDEGE
Picha zote Kushoto ni Katibu Mkuu Joyce Mapunjo, Katikati Waziri Dkt Harrison Mwakyembe na Kulia ni Naibu Waziri Dkt Abdallah Juma Saadala. Huyo mwenye suti na tai nyekundu kwenye picha hizo mbili ni...
View ArticleMKUU WA SHULE YA SEKONDARI ADAIWA KUMKIMBIA MBUNGE CHIKU ABWAO.
Mbunge wa viti maalumu kupitia chama cha demokrasia na maendeleo chadema CHIKU ABWAO akikagua jengo lilokumbwa na ajali ya moto Mbunge CHIKU ABWAO akiwa katika eneo la nje ya jengo lilounguaMbunge wa...
View ArticleRAIS JAKAYA KIKWETE AFUNGUA JENGO LA KITEGA UCHUMI LA NSSF MOSHI
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Waziri wa Kazi na ajira Mh.Gaudensia Kabaka(watano kushoto) Mkurugenzi Mkuu wa NSSF Dkt.Ramadhani Dau(wapili kulia), Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama(wapili...
View ArticleWAZEE MWANZA WAMUASA MULONGO
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Magesa Mulongo akizungumza na wanachi katika eneo la Lugeye Wilayani Magu. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza akiweka jiwe la Msingi katika Wodi ya Watoto, Zahanati ya Lugeye. Walio kaa...
View ArticleWAZIRI CHIKAWE AWAPA SOMO MAKATIBU KATA CCM NACHINGWEA, MKOANI LINDI
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias Chikawe (kushoto) akizungumza na Makatibu Kata wa CCM, Wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi. Katika mazungumzo hayo...
View ArticleMAMA SALMA KIKWETE ATEMBELEA SHULE YA MSINGI MPILIPILI KWENYE KITENGO CHA...
Mke wa Rais na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi Mama Salma Kikwete akisalimiana na Mwalimu Mkuu Ndugu Fadhili Mtitima wa Shule ya Msingi Mpilipili iliyoko Manispaa ya Lindi...
View Article