↧
MAKAMU WA RAIS MHE. DKT. BILAL AONGOZA WANANCHI WA MKOA WA DAR ES SALAAM KWENYE MAZISHI YA FAMILIA KAPTEN DAVID MPILA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal akitoa heshima za mwisho kwenye majeneza yenye miili ya Familia ya marehemu Kapten David Mpila waliofariki kwa kuteketea na moto nyumbani kwao Kipunguni, wakati wa mazishi yao yaliyofanyika Februari 10,2015 katika makaburi ya Airwing Ukonga Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal akiweka shada la maua kwenye makaburi ya familia ya marehemu Kapten David Mpila waliofariki kwa kuteketea na moto, wakati wa mazishi yao yaliyofanyika Februari 10,2015 katika makaburi ya Air wing Ukonga Dar es salaam.
↧