MAMA SALMA KIKWETE ATEMBELEA KITUO CHA AFYA CHA LINDI MJINI NA KUZURU MATAWI...
Mke wa Rais na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi anayewakilisha Lindi Mjini Mama Salma Kikwete akiongea na viongozi wa CCM wa Tawi la Ufukoni katika Kata ya Rahaleo huko Lindi Mjini...
View ArticleWASHINDI AIRTEL YATOSHA ZAIDI WAKABIDHIWA MAGARI
Mkurugenzi wa masoko wa Airtel bw. Levi Nyakundi (kushoto) akimkabidhi mmoja kati ya washindi wa promosheni ya Yatosha Zaidi bi. Mwajabu Omary leo katika makabidhiano yaliyofanyika katika ofisi za...
View ArticleRAIS KIKWETE AWAAPISHA BALOZI MPYA WA TANZANIA NCHINI KENYA NA NAIBU KATIBU...
Pichani Balozi mpya wa Tanzania nchini Kenya Bwana John Haule akila kiapo mbele ya Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo asubuhi.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo amewaapisha...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AAGANA NA BALOZI WA SAUDI ARABIA ANAYEMALIZA MUDA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Balozi wa Saudi Arabia, Hani Abdullah Mominah, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu Jijini Dar es Salaam,...
View ArticleEFM YAANDAA HAFLA YA VALENTINE
Team Nzima ambayo inaongoza kipindi cha ya sports headquaters ambacho kinaruka kila siku ya Jumatatu mpaka Ijumaa saa tatu mpaka saa sita mchana (Kweli wamechizika).RDJ X5 kutoka EFM akiwa na mchizi...
View ArticleKamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira, NHC mafunzoni Afrika Kusini
Ujumbe wa Kamati ya Bunge ya Ardhi , Maliasili na Mazingira ukiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Kamati, Abdulkarim Esmail Hassan Shah (Mafia), Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi,...
View ArticleRAIS KIKWETE AKUTANA NA VIONGOZI WA TAASISI YA SITI BINTI SAAD
Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanaharakati Bibi Siti Binti Saad Bibi Nasra Mohamed Hilal (wanne kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Rais Dkt. Mohamed Gharib...
View ArticleMAMA SALMA KIKWETE ATEMBELEA SHULE YA SEKONDARI ANGAZA HUKO LINDI MANISPAA NA...
Mke wa Rais na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), anayewakilisha Lindi Mjini, Mama Salma Kikwete akisalimiana na Mkuu wa Shule ya Sekondari Angaza Ndugu Upendo Muro mara...
View ArticleNAIBU WAZIRI WA MAJI, AMOS MAKALLA ATEMBELEA WILAYA YA LONGIDO, MKOANI ARUSHA
Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla na Mkuu wa Wilaya ya Longido, James Ole Millya wakipanda mlima kuelekea kwenye eneo la mradi wa maji wa Kijiji cha Gelai-Meirugoi, Wilaya ya Longido, Mkoani...
View ArticleWAZIRI CHIKAWE AZINDUA MNARA WA TTCL NACHINGWEA
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias Chikawe akikata utepe kuashiria uzinduzi wa mnara wa mawasiliano wa Kampuni ya Simu ya TTCL katika Kata ya Kiegei,...
View ArticleNAPE NNAUYE AITAKA TUME KUJIBU HOJA KWA WAKATI
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu Damian Lubuva akisalimia na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye kwenye mkutano wa pamoja na viongozi wa vyama vya siasa wa kujadili...
View ArticleVIJANA CUF KUANDAMANA LEO PAMOJA NA KUONYWA NA POLISI
Mwenyekitiwa Jumuia ya Vijana wa CUF Taifa (JUVICUF), Hamidu Bobali akizungumzana waandishi wa habari Dar es Salaam jana Februari 12,2015 kuhusian namaandamano yatakayo fanyika kesho licha ya kukosa...
View ArticleWANAFUNZI WA KIKE MSIOGOPE KUSOMA MASOMO YA SAYANSI – MAMA SALMA KIKWETE
Na Anna Nkinda – Maelezo, Lindi13/2/2015 Wanafunzi wa kike nchini wameaswa kutoogopa kusoma masomo ya sayansi kwani masomo hayo siyo magumu ukilinganisha na mengine wanachotakiwa kufanya ni kuzishika...
View ArticleTAARIFA KWA UMMA
Mfuko wa Pensheni wa PSPF unawatangazia kwamba Mkutano Mkuu wa Nne wa wadau wake utafanyika tarehe 18 na 19 Februari 2015 kuanzia saa mbili na nusu asubuhi hadi saa kumi na moja jioni katika Ukumbi wa...
View ArticleBAADA YA OMAN, SKYLIGHT BAND KUNOGESHA VALENTINE’S DAY NDANI YA THAI VILLAGE...
Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK47 (wa pili kulia) akiongoza vijana wake kutoa burudani kwa mashabiki wa bendi hiyo Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar. Kutoka...
View ArticlePINDA AAGANA BALOZI WA SAUDI ARABIA NCHINI
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na balozi wa Saudi Arabia nchini Mhe. Hani Mominah baada ya mazungumzo yao. Balozi huyo alikwenda ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Februari 13, 201...
View ArticleDK.SHEIN AKUTANA NA UONGOZI WIZARA YA NCHI OFISI YA RAIS KAZI NA UTUMISHI WA...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiongoza kikao cha siku moja cha Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Kazi na Utumishi wa Umma katika utekelezaji mpango...
View ArticleWATAALAM WA KUJITOLEA KUTOKA JAPANI WAWASILI NCHINI TANZANIA
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. George D. Yambesi (katika kiti kikubwa) akiongea na wataalam wa kujitolea kutoka nchini Japani waliomtembelea ofisini kwake...
View ArticleWAJASIRIAMALI WA KITANZANIA WASAIDIWE ILI KUONGEZA UBORA WA BIDHAA KWA...
Balozi wa Tanzania nchini Oman Ali Ahmed Saleh kushoto Aliyekaa kwenye kiti akipata burudani ya Msewe iliyoandaliwa kwa ajili yake na Kikundi cha Sanaa cha Zanzibar mara baada ya Balozi huyo kumaliza...
View ArticlePATA OFA YA VALENTINE’S KUTOKA AK CLASSIC COSMETICS
Baadhi ya bidhaa zilizoandaliwa kwa ajili ya wapendanao.MABINGWA wa kuuza vipodozi vya ukweli, AK Classic Cosmetics wamewaandalia Valentine’s Special wale wote wanaowajali na kuwaenzi wapenzi wao.OFA:...
View Article