Quantcast
Channel: ARAWAY MEDIA TANZANIA
Browsing all 6821 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM AKABIDHI MASHINE ZA KUFYATULIA MATOFALI...

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadick akizungumza wakati wa ufungwaji wa mafunzo ya ufyatuaji tofali na makabidhiano ya mashine za kufyatulia matofali ya kufungamana kwa wilaya zote tatu za...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JESHI LA POLISI NCHINI LASHIRIKI KUZINDUA MAGARI MAPYA YA KAMPUNI YA ULINZI...

 Mwakilishi wa Mkuu wa Jeshi la polisinchini Kamishina wa Polisi Mussa Ally Mussa akiwa na mkuu wa jeshi la polisi mstaafuPhilimon Mgaya akikata utepe wa kuashiria kuzindua magari mapya Zaidi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI WA RWANDA AONANA NA DR.K SHEIN ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  akisalimiana na Balozi wa Rwanda Nchini Tanzania Eugene S.Kayihura alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo Picha na Ikulu.]Rais wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATUKIO YA PICHA KUTOKA BUNGENI DODOMA LEO

Mbunge wa Vunjo na Mwenyekiti wa TLP akiteta na Mbunge wa Kuteuliwa  na Mwenyekiti wa NCC MAGEUZI,James Mbatia (kushoto) bungeni mjini Dodoma Februari 6,2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AMFARIJI JAJI MSTAAFU AGOSTINO RAMADHANI KWA KUFIWA...

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal akizungumza na Jaji Mkuu mstaafu Agostino  leo alipomtembelea nyumbani kwake kimara leo Februar 06, 2015 kwa ajili ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA JAMHURI YA KIISLAMU YA IRAN.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya  Kiislamu ya Iran Mohammed Javad  Zarif alipofika Ikulu Mjini Zanzibar...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAPE AANZA ZIARA KWENYE VYOMBO VYA HABARI

  Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali,  Bwana Gabriel Lyimo Nderumaki ( wa pili kutoka kushoto) akielezea masuala mbali mbali yanayohusu tasinia ya habari wakati wa mkutano na Katibu wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CCM YABOMOA JENGO LA TANU JIJINI DAR ES SALAAM

Wananchi wakiangalia jengo la ofisi ndogo ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) la Lumumba, ambapo kilizaliwa chama cha Tanu lililobomolewa kupisha ujenzi wa jengo jipya la chama hicho Dar es Salaam...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHY ROSE BHANJI AJITOLEA KUCHONGA BARABARA YA MBWENI – MALINDI

 Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki ambaye pia ni mkazi wa Mbweni, Shy Rose Bhanji akiwa na Mwenyuekiti wa Serikali ya Mtaa Mbweni-Malindi, jijini Dar es Salaam, Bariki wakisimamia ukarabati wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SKYLIGHT BAND WAENDELEA KUTOA BURUDANI YA NGUVU JIJI DAR, NI IJUMAA HII TENA

Binti mwenye sauti ya kumtoa Nyoka pangoni, Ashura Kitenge akitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) ndani ya kiota cha Thai Village, Masaki jijini Dar es Salaam Ijumaa iliyopita...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NFT CONSULT WAPANIA KULETA MABADILIKO TANZANIA

Baadhi ya washiriki wa warsha ya siku moja iliyoendeshwa na kampuni ya NFT Consult kwa maofisa rasilimali watu na watoa mafunzo kutoka makampuni mbalimbali nchini wakifanya usajili kabla ya kuanza kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BENKI YA EXIM YAADHIMISHA SIKU YA SARATANI DUNIANI NA WATOTO WENYE SARATANI...

Mkuu wa matawi wa Benki ya Exim, Bi. Elizabeth Mayengoh, akikabidhi vitabu kwa mmoja wa watoto waliolazwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwenye wodi maalum ya watoto wanaougua ugonjwa wa...

View Article

Yanga yaichapa Mtibwa 2-0

Mrisho Ngassa.TIMU ya Yanga yenye makazi yake Jangwani jijini Dar es Salaam leo imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Mtibwa Sugar kwenye mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara.Mechi hiyo imechezwa kwenye...

View Article


Mbunge wa Kuteuliwa James Mbatia Akizumgumzia Migogoro ya Ardhi Bungeni Mjini...

View Article

Waziri Mkuu Mizengo Pinda Akitoa Maoni Yake Kuhusu Migogoro Bungeni Mjini Dodoma

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ALIPOMFARIJI JAJI MSTAAFU AGOSTINO RAMADHANI KWA...

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya M uungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal akisaini kitabu cha kumbukukmbu kufuatia kifo cha mama mzazi wa Jaji Mkuu mstaafu Agostino Ramadhani nyumbani kwake...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Jakaya Kikwete Aongoza Mazishi ya Bi.Tajiri Abdallah Kitenge ambaye ni...

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo katika kaburi la marehemu Bi.Tajiri Abdallah Kitenge wakati wa mazishi yaliyofanyika katika makaburi ya Chumbageni mjini Tanga. Marehemu Bi.Tajiri ni mama...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA YA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE

 Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limesema usahihishaji wa mitihani ya kidato cha nne uliofanyika Novemba mwaka jana, umekamilika.Katibu mtendaji wa Necta, Dk Charles Msonde aliliambia gazeti moja...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZIARA YA VYOMBO VYA HABARI YAMKUTANISHA KATIBU WA ITIKADI NA UENEZI -CCM NAPE...

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnuye akikutana na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe alipofika katika Ofisi za Free Media, wachapishaji wa gazeti la Tanzania Daima, akiwa katika ziara katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YAMOTO BAND WATEMBELEA ZURII HOUSE OF BEAUTY NA KUKABIDHIWA TICKET ZAO TAYARI...

 Kutoka kushoto Enock, Maromboso, Beka na Aslay wakiwa wameshikilia ticket zao za ndege  ambazo walikabidhiwa rasmi na mkurugenzi wa Zurii house of Beauty Jestina George Meru.Yamoto Band wanatarijiwa...

View Article
Browsing all 6821 articles
Browse latest View live