Quantcast
Channel: ARAWAY MEDIA TANZANIA
Viewing all articles
Browse latest Browse all 6866

WAZIRI WA NISHATI NA MADINI GEORGE SIMBACHAWENE AFUNGUA MKUTANO WA KUJADILI NISHATI ENDELEVU NCHINI KWA WOTE

$
0
0
SIM1Waziri wa Nishati na Madini George Simbachawene akifungua mkutano kwa ajili ya kujadili nishati endelevu nchini kwa wote ( Tanzania Sustainable Energy for All) ulioshirikisha sekta binfasi, wataamu kutoka Wizara ya Nishati na Madini pamoja na wadau wa nishati nchini. Mkutano huo uliofanyika katika hoteli ya   Protea jijini Dar es Salaam lengo lake lilikuwa ni kubadilishana uzoefu kwa ajili ya kuboresha sekta ya umeme nchini.
SIM2Meneja   Hifadhi kutoka Shirika la WWF Nchini Dk. Amani Ngusaru akitoa hotuba ya kumkaribisha Waziri wa Nishati na Madini George Simbachawene (hayupo pichani)
SIM3Sehemu ya wadau wa mkutano kwa ajili ya kujadili nishati endelevu nchini kwa wote ( Tanzania Sustainable Energy for All) ulioshirikisha sekta binfasi, wataamu kutoka Wizara ya Nishati na Madini pamoja na wadau wa nishati nchini wakifuatilia kwa makini hotuba iliyokuwa inatolewa na Waziri wa Nishati na Madini George Simbachawene ( hayupo pichani

Viewing all articles
Browse latest Browse all 6866

Trending Articles