RAIS KIKWETE AMJULIA HALI BRIGEDIA JENERALI HASHIM MBITA HOSPITALI YA LUGALO
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Brigedia Jenerali Mstaafu Hashim Mbita aliyelazwa akipata matibabu katika hospitali ya jeshi Lugalo jijini Dar es Salaaam jana.Brigedia Jenerali Hashim...
View ArticleRAIS KIKWETE AKUTANA NA RAIS WA MAHAKAMA YA AFRIKA YA HAKI ZA BINADAMU
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu Jaji Augustino Ramadhani wakati jaji huyo alipomtembelea na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es...
View ArticleZIARA YA WAZIRI MKUU PINDA KATIKA JIMBO LAKE LA UCHAGUZI
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwapungia wananchi wa Halmashauri ya Nsimbo wilayani Mlele baada ya kuwasili kwenye viwanja vya Halmashauri hiyo kuhutubia mkutano wa hadhara akiwa katika ziara ya jimbo...
View ArticleBALOZI WA COMORO NCHINI AKUTANA NA RAIS DK.SHEIN
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Comoro Nchini Tanzania Dk.Ahamada El Badaoui Mohamed alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa...
View ArticleSERIKALI YATAKIWA KUKOMESHA UBABE KWENYE UKEKETAJI
Mratibu wa kituo cha TFGM na Mwalimu Mkuu wa Shule ya Mtakatifu Catherine Laboure ya Kijiji cha Masanga kilichopo wilayani Tarime mkoani Mara, Thomas Maruga akiwatembeza maeneo mbalimbali ya shule hiyo...
View ArticleMAKAMU WA RAIS MHE. DKT. BILAL AWATEMBELEA NA KUWAFARIJI WAZEE WAASISI WA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwafariji mke na mtoto wa marehemu Mzee Makame Shekha aliyekua muasisi wa TANU na ASP, alipofika nyumbani kwa...
View ArticleJAMANI SERIKALI TUPIENI MACHO BARABARA YA KIVULE DARAJA LA SIRALI LINABOMOKA
Hili lilisha peleka mzigio sasa linarudi. Lori kubwa mizigo likipita katia daraja la Sirali, Kata ya Kivule Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam jana huku daraja hilo likiwa bovu na endapo lisipo fanyiwa...
View ArticleMWIGULU NCHEMBA ASHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA KWA KUTEMBELEA YATIMA NA...
Naibu Waziri wa Fedha,Mwigulu Mchemba leo ameadhimisha miaka 40 tangu kuzaliwa kwake. Katika maadhimisho hayo Naibu waziri huyo ambaye pia ni Mbunge wa Iramba Magharibi ameitumia siku hiyo ya leo kwa...
View ArticleMAGUFULI AAGIZA KUFUNGWA MFUMO MPYA WA KIELEKTRONIKI KATIKA VIVUKO VYOTE NCHINI
Na JOHN DOTTO Mwanza WAZIRI wa Ujenzi Dk. John Magufuli ameagiza kufungwa kwa mfumo mpya wa kielektroniki katika vivuko vyote nchini ili kukabiana na wajanja wachache wanahujumu mapato katika vivuko...
View ArticleWANAFUNZI KUTOKA CHUO KIKUU CHA BUFALO NA EMPIRE VYA MAREKANI WAWASILI NCHINI...
Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu (katikati mwenye kofia) akiwa na wanafunzi kutoka Chuo Kikuu cha Bufalo na Empire vya Marekani baada ya kuwapokea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere...
View ArticleDK.SHEIN AFUNGUA KIWANJA CHA ZSSF-UHURU KARIAKOO LEO.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa ZSSF Abdulwakil Haji Hafidh alipowasili kiwanja cha ZSSF-Uhuru cha kufurahishia...
View ArticleWAOMBA KITUO MAALUMU CHA WATOTO WALEMAVU BUHANGIJA KUSAIDIWA ZAHANATI
Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Bi. Anne Rose...
View ArticleRAIS KIKWETE AMWAPISHA MSAJILI WA MAHAKAMA YA RUFAA
Msajili wa Mahakama ya Rufaa Bibi Katarina Tengia Revocati akila kiapo mbele ya Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam leo(Picha na Freddy Maro)Msajili wa Mahakama ya Rufaa Bibi...
View ArticleNEY WA MITEGO, ROMA MKATOLIKI, SHILOLE KUPAMBA UZINDUZI WA HUDUMA MPYA YA...
Meneja uhusiano wa Airtel Bw, Jackson Mmbando……………………………………………………………………………….Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel leo imebainisha kuwa mwishoni mwa wiki hii itazindua rasmi huduma mpya maalum kwaajili...
View ArticleRAIS KIKWETE AWAAPISHA WAJUMBE WA TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo amewaapisha wajumbe sita wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora katika hafla iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam .Walioapishwa leo ni pamoja na mwenyekiti wa...
View ArticleNHC yaeleza mikakati ya ujenzi ya majiji ya USA River na Safari City
Wawasilishaji, James Kisarika, Yusufalli Murad, Meneja Mradi Wa USA River Satellite City na Ms. Meena Pandit, Mkurugenzi , PHILS International ambao ni Washiriki wa NHC katika katika uendelezaji wa...
View ArticleUGENI WA MTEMVU KUTOKA MAREKANI WAFANYA ZIARA YA KIHISTORIA YA MAFUNZO KATIKA...
Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu na mkewe Mariam Mtemvu na Binti yao Sitti Mtevu -kushoto, wakiwa katika picha ya pamoja na wageni wao kutoka vyuo vikuu viwili vya Marekiani vya State...
View ArticleSHIRIKA LA BANDARI ZANZIBAR LAZINDUA TAGI MPYA YA KUSAIDIA MELI KUBWA KUINGIA...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ Haji Omar Kheri akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Tagi mpya ya Shirika la Bandari Zanzibar ikiwa ni miongoni mwa shamra shamra za...
View ArticleHAFLA YA KUWAKARIBISHA NA KUWAPONGEZA VIONGOZI WAPYA WA TUME YA HAKI ZA...
Mwenyekiti mteule wa THBUB Mhe. Bahame Tom Nyanduga (aliyekaakatikati), akiwa katika picha ya pamoja na timu yake. Kushoto kwakeni: Makamu Mwenyekiti wa Tume, Mhe. Iddi Ramadhani Mapuri na Mhe.Kamishna...
View ArticleWAJUMBE WA KAMATI YA UFUNDI YA BODI YA DAWASA) WAFANYA ZIARA YA KUKAGUA MRADI...
Kaimu Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es salaam (DAWASA) Didas Mwilawi ambaye pia ni Mkurugenzi wa Fedha akisalimiana na Mwenyekiti wa wa Kamati ya Ufundi ya Bodi ya DAWASA...
View Article