Quantcast
Channel: ARAWAY MEDIA TANZANIA
Viewing all articles
Browse latest Browse all 6854

NHC yaeleza mikakati ya ujenzi ya majiji ya USA River na Safari City

$
0
0

Wawasilishaji, James Kisarika, Yusufalli Murad, Meneja Mradi Wa USA River Satellite City na Ms. Meena Pandit, Mkurugenzi , PHILS International  ambao ni Washiriki wa NHC katika katika uendelezaji wa Mradi huo.
 Pichani

James Kisarika akisalimiana na  Katibu Tawala Mkoa, Ndugu Ado Mapunda, muda mfupi Kabla kuanza mawasilisho ya Mradi Wa Safari City

 Yusufalli Murad, Meneja Mradi Wa USA River Satellite City akitoa mada kuhusu mradi huo 
 
 Baadhi ya Washiriki wa Kikao cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Arusha (RCC) wakifutilia mawasilisho ya miradi ya Miji Midogo ya Safari Satellite City na USA River Satellite City.
Baadhi ya Washiriki wa Kikao cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Arusha (RCC) wakifutilia mawasilisho ya miradi ya Miji Midogo ya Safari Satellite City na USA River Satellite City.
 Mkuu Wa Mkoa mpya wa Arusha akifungua kikao cha RCC kabla ya Mawasilisho.


Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), lipo mbioni kutekeleza mpango wake wa kujenga miji midogo inayojitegemea ndani ya jiji la Arusha, itakayokuwa na hadhi na iliyojitosheleza na hivyo kukuza na kuimarisha uchumi wa Jiji la Arusha.
Meneja wa NHC mkoa wa Arusha James Kisarika akieleza Kikao cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa (RCC) kuwa Shirika hilo linatarajia kujenga majiji hayo ya USA River na Safari Satellite City yatakayojengwa nje ya jiji la Arusha

Arusha to get 2 new towns: NHC

The National Housing Corporation (NHC) plans to construct two satellite towns on the outskirts of Arusha, the Regional Consultative Committee (RCC) meeting was told here on Wednesday. The NHC regional manager for Arusha, Mr James Kisarika, named the sites as Usa River Satellite City to be put up on the southern fringes of the city and Safari Satellite City to be built at Mateves.
Mr Kisarika said the ambitious projects were in line with the vision of the oldest state-owned real estate corporation to address market needs for world class settlements.
“Arusha does not benefit much from tourism, as much of the receipts accrued from the hospitality industry go to hotels in Karatu township and national parks,” he observed.
Mr Kisarika said while the Usa River Satellite City targeted the tourism industry, the Safari one was meant for de-congesting the Arusha Central Business District (CBD).
Phils International, a firm manned by Tanzanians living in Dubai, which built Dubai Sports City, will construct the Usa River Satellite City at a 1.17-million-square-metre block situated a stone’s throw from Dolly Estate near Kilimanjaro International Airport. “One can reside at the Usa River Satellite City and work in Moshi Municipality or Arusha City,” Phils International director of Projects Murad Yusufali told the RCC.
He said the design of the city would enable each of the 19,000 dwellers in four petals of the residential segment to view both mounts Meru and Kilimanjaro from their living rooms.
“The city will tap underground water and use solar for street lights,” said Mr Yusfali, adding that a US firm would construct a sewerage system which would recycle sewage for irrigation usage.
He said the Lands, Housing, and Human Settlement Development ministry had approved a master plan for the project ready for the construction work to begin. CHANZO THE CITIZEN TANZANIA


Viewing all articles
Browse latest Browse all 6854