Quantcast
Channel: ARAWAY MEDIA TANZANIA
Browsing all 6821 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UN YATAKA KIPAUMBELE KUMSAKA BINTI MWENYE ALBINISM ALIYETEKWA

Mtaalam wa Mahusiano na Mawasiliano wa Umoja wa Mataifa (UN) Tanzania, Hoyce Temu akimtambulisha Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TWAWEZA YAMUAGA RAKESH RAJAN JIJINI DAR

Balozi wa Sweden nchini Tanzania,Mh. Lennarth Hjelmaker akizungumza wakati wa hafla ya kumuaga aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi isiyo ya kiserikali ya Twaweza, Rakesh Rajani iliyofanyika jana...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BORA WA AFRIKA KWA MIAKA MINNE MFULULIZO

Kiungo mchezeshaji wa Manchester City, Yaya Toure ameibuka na kushinda tuzo ya mchezaji bora Afrika kwa mwaka 2014Ushindi huo wa Toure unamfanya awe amechukua tuzo hiyo mara nne mfululizo.Toure, 31,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBUNGE RIDHIWANI KIKWETE AENDELEA NA ZIARA JIMBO LA CHALINZE

 Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete akihutubia wananchi mjini Chalinze, Wilaya ya Bagamoyo, Pwani jana, ambapo pamoja na kuwashuru kwa kumchagua, pia alisema atatumia uanasheria wake...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBUNGE WA CHALINZE -CCM RIDHIWANI KIKWETE AANZA KUTIMIZA AHADI, AWASHUKURU...

BI SAUMU BAKARI AKIMUOMBA RIDHIWANI KUSAIDIA KUNUNUA JOKOFU LA KUHIFADHIA CHANJO NA DAWA KATIKA ZAHANATI YA KIJIJI HICHOMbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete akimkabidhi Diwani wa Kata ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA KILELE CHA MIAKA 51 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR MJINI...

  Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiwapungia Mkono wananchi wakati alipowasili katika uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja katika kilele cha Sherehe...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK.SHEIN AONGOZA SHEREHE ZA KILELE CHA MATEMBEZI YA UMOJA WA UVCCM

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti  wa  Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akikagua gwaride la Chipukizi wa UVCCM wakati alipofika katika viwanja vya Mnazi Mmoja...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIKAO CHA KAMATI MAALUM YA CCM KIMEKUTANA MJINI ZANZIBAR

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein wa pili kulia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAFASI ZA AJIRA KWA KADA ZA AFYA KWA MWAKA 2014-2015

JAMHURI  YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMIIKatibu Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii anapenda kuwaarifu Wizara imeanza zoezi la kuwapangia vituo vya vya kazi Wataalam wa Kada...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ALIYEKUA WAZIRI WA ARDHI NYUMBA NA MAKAZI NA MBUNGE WA MULEBA -CCM PROFESA...

Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to Facebook

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Fastjet yasafirisha abiria wa milioni moja

 Meneja Mkuu wa Fastjet wa kanda ya Afrika Mashariki, Jimmy Kibati (kushoto), akiwa na Grace Makazi ambaye alipokea ofa ya tiketi mbili za bure kama abiria wa milioni moja wa shirika hilo la ndege mara...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YAUNDA TIMU KUTEMBELEA MAENEO SUGU YA UTEKAJI, UUAJI ALBINO, YAPIGA...

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (katikati meza-kuu) akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na Serikali kuunda timu maalumu ya kutembelea maeneo yaliyosugu kwa utekaji na mauaji...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YASAINI MAKUBALIANO YA UTEKELEZAJI WA MRADI WA WA KUTOA MAJI KUTOKA...

Katibu Mkuu Wizara ya Maji Mhandisi Mbogo Futakamba akiwa na Rais wa Kampuni ya China Railway International Group Co. Ltd Dkt. Lu Bo wakisaini makubaliano ya utekelezaji wa mradi wa kutoa maji kutoka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT. KIGODA AZINDUA BODI YA UONGOZI YA CHUO CHA CBE JIJINI DAR ES SALAAM

Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Abdallah Kigoda akisalimiana na viongozi na wafanyakazi wa Chuo cha Elimu ya Biashara kampasi ya Dar es salaam alipowasili chuoni hapo kuzindua Bodi mpya ya uongozi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RIPOTI KAMILI YA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM KUJULIKANA LEO

Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete (kulia) akizungumza jambo na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM,Ndugu Adam Kimbisa,wakati akitoka nje mara baada ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA JOHN MINJA AMPANDISHA CHEO CHA SAJIN WA...

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, John Casmir Minja akimvisha cheo cha Sajin wa Magereza, Askari Mwanariadha wa Kimataifa,  CPL. Catherina Lange (hivi sasa cheo cha sajin) wa Gereza Kuu Arusha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA YASHIRIKI KATIKA MKUTANO WA KUMI WA MAENDELEO YA TAKWIMU AFRIKA...

Washiriki kutoka Tanzania wakisikiliza kwa makini mambo yanayoendelea katika Mkutano wa Kumi wa Maendeleo ya Takwimu Afrika uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Speke Munyoyo Kampala, Uganda....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIKAO CHA KAWAIDA CHA KAMATI KUU YA CCM CHAFANYIKA KISIWANDUI ZANZIBAR

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Mh. Dr. Jakaya Kikwete akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wakati alipowasili katika Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui mjini Zanzibar leo kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS (KAZI MAALUM), MHESHIMIWA PROF. MARK MWANDOSYA...

Mhe. Prof. Mark Mwandosya akifafanua jambo wakati wa mkutano wa pamoja na Waziri wa Maji na Umeme wa Sudan Mhe Mutaz Moussa Abdallah Salim. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa EWURA, Bwana Felix Ngamlagosi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

FLAVIANA MATATA FOUNDATION YATOA VIFAA VYA SHULE SHULE YA MSINGI MSINUNE

Taasisi ya Flaviana Matata ‘FMF’ ya Mwanamitindo Flaviana Matata aishie New York ,Nchini Marekani. Mwaka jana ilisaidia watoto 3000 kwa kuwapa vifaa vya kujifunzia.Mwaka huu itaendelea kuwasaidia...

View Article
Browsing all 6821 articles
Browse latest View live