MAREHEMU HAMIS KIUMBU AMIGOLAS AZIKWA MAKABURI YA KISUTU
Mwili wa Marehemu Hamis Kayumbu Amigolas akiwekwa kwenye gari mara baada ya kutolewa kwenye chumba cha kuhifadhia maiti Hospitali ya taifa ya Muhimbili jana tayari kwa mazishi ambayo yalifanyika jana...
View ArticleSHEREHE ZA UZINDUZI WA STUDIO ZA KITUO KIPYA CHA UTANGAZAJI GHETTO RADIO...
Meneja wa Ghetto Radio ya Sibuka FM 94.5 Bw. Edward Rukaka aliyeshika Mkasi ,akiizindua Rasmi Studio hiyo na kuitambulisha kwa wadau. kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Bahati nasibu Tanzania Bw....
View ArticleKINUKAMORI WAOMBA DOLA 30,000 KUTENGENEZA AJIRA KWA WATU 300
Mkurugenzi Mtendaji wa EWP na Mkurugenzi wa Kinukamori Enterprises, Bw. Alpha Phares Moshi (wa pili kushoto) akimkaribisha Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la maendeleo UNDP,...
View ArticleNHC yavutia uwekezaji kongamano la uwekezaji JNICC
Naibu Waziri wa Fedha, Adam Kighoma Malima akifungua kongamano la uwekezaji lililoandaliwa na Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (Big Results Now) na kufanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha...
View ArticleTAASISI YA STARKEY HEARING FOUNDATION YAKABIDHI MADARASA MATATU SHULE YA...
Mwanzilishi wa Taasisi ya Starkey Hearing Foundation, Bill Austin pamoja na Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka wakifunua kitambaa kuashiria ufunguzi rasmi wa majengo matatu ya shule ya Msingi...
View ArticleWAZIRI MUHONGO AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS WA MCC
Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (katikati) akisistiza jambo katika kikao baina ya Makamu wa Rais wa Mfuko wa Changamoto za Millenia (MCC) Kamran Khan (wa pili kushoto) na ujumbe...
View ArticleMTOTO ANYONGWA BILA HURUMA ENEO LA MAJOHE DAR ES SALAAM
Mtoto Nuru kabla yakufikwa na umauti pichani alipo kuwa na miaka 3.Mtoto huyo anadaiwa kunyongwa Alhamisi iliyopita na kuzikwa katika Makaburi ya Majohe kwa Muslim (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA...
View ArticleRAIS KIKWETE ATOKA HOSPITALINI BAADA YA KUPATA NAFUU
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa na Daktari Bingwa Edward Schaeffer kutokaHospitali ya Johns Hopkins alipokuwa amelazwa baada ya kufanyiwa upasuaji mwishoni mwa wiki iliyopita.Kulia nia...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AIWAKILISHA TANZANIA KWENYE MAZISHI YA RAIS SATA WA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Rais wa Zambia Marehemu Michael Chilufya Sata Ikulu mjini Lusaka Zambia juzi...
View ArticleSERIKALI KUDHIBITI UGONJWA WA UKIMWI KUFIKIA MAAMBUKIZI SIFURI
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Dkt. Florens Turuka akifungua Mkutano wa Serikali na wadau wa Ukimwi kupitia utekelezaji wa programu za ukimwi jana jijini Dar es Salaam. Mwenyekiti Mtendaji wa Tume...
View ArticleNHIF YAJENGA KITUO CHA KISASA CHA UCHUNGUZI NA MATIBABU YA MAGONJWA YA...
Kituo cha Kisasa cha Uchunguzi na Matibabu ya magonjwa ya binadamu kinachojengwa katika Chuo Kikuuu cha Dodoma UDOMT kikiwa katika hatua za mwisho mwisho za ukamilishwaji, Kituo hiki kitahudumia...
View ArticleSERIKALI, UN, VYOMBO VYA HABARI KUTOA ELIMU DHIDI YA EBOLA
Mkurugenzi Msaidizi Kitengo cha Elimu ya Afya kwa Umma kutoka Wizara ya Afya na Ustawi ya Jamii, Said Makora (kulia), akielezea jinsi Wizara hiyo inavyopambana kutoa elimu ya ugonjwa wa Ebola kwa...
View ArticleWADAU WA SEKTA YA USAFIRI WA ANGA WAKUTANA KUJADILI MAENDELEO YA SEKTA HIYO...
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga(TCAA)Charles M. Chacha (Kushoto), akiteta jambo na mmiliki wa kampuni ya Tran World ya nchini Dubai Mr. Adil Jadid kulia) wakati wa mkutano wa...
View ArticleWAZIRI WA AFYA NA USTAWI WA JAMII AFUNGUA KONGAMANO LA NHIF NA WAANDISHI WA...
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Mh. Dr. Seif Rashid akifungua Kongamano la Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya na wahariri pamoja na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali linalofanyika kwenye hoteli ya...
View ArticleTIGO, ORIGINAL KOMEDI,NA WASANII KIBAO KUTIKISA JIJI LA MWANZA KWENYE TAMASHA...
Msanii wa kundi la Original Komedi Emmanuel Mgaya maarufu kama Masanja akitoa vionjo kwenye mkutano wa waandishi wa habari(hawapo pichani) kwa ajili ya tamasha kubwa la Tigo welcome pack...
View ArticleBODI YA FILAMU TANZANIA YAZITAKA KAMPUNI ZA FILAMU KUZINGATIA SHERIA NA...
Katibu Bodi ya Filamu Tanzania, Bi. Joyce Fissoo akiongea na wahusijka wa Kampuni ya Kajala Entertainment wakati alipofanya nao mkutano leo ofisini kwake jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuwapa Sheria...
View ArticleUFUNGAJI WA SEMINA YA WAKUU WA MIKOA NA WILAYA BARA NA VISIWANI
Wakuu wa Mikoa Bara na Visiwani wakiwa katika ugungaji wa semina yao ya siku taku iliyozungumzia Mahusiano na Mwingiliano katika siasa na Utendaji kwa Wakuu wa Mikoa,Wilaya,Makatibu Tawala wa Mikoa ya...
View ArticlePINDA AAGANA NA MWAKILISHI MKAZI WA UNIDO NCHINI
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mwakilishi Mkazi wa UNIDO nchini aliyemaliza muda wake, Bw. Emmanuel Kalenzi ambaye alikwenda ofisini kwa Waziri Mkuu kuaga Novemba 13, 2014. (Picha na Ofisi...
View ArticleVITUKO VYATAWALA MAZISHI YA MSANII MABOVU IRINGA , MLEVI AFANYA VURUGU KUBWA
Wasanii wakielezea kifo cha mabovu , Juu ni Msanii Mabovu enzi za uhai wakeWaombolezaji wakiwa na jeneza la msanii Mabovu kutoka msikiti wa Mwangata kwenda makaburi ya Mlolo IringaWasanii wakiwa...
View ArticleJAJI MKUU AMJULIA HALI RAIS KIKWETE MAREKANI
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Jaji Mkuu wa Tanzania MheMohamed Chande Othman aliyemtembelea na kumjulia hali Jumapili Novemba16, 2014 katika hoteli maalumu jirani na Hospitali ya Johns...
View Article