KATIBU MKUU, WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI – ALPHAYO J....
Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi – Alphayo J. Kidata akifuatilia kwa karibu baadhi ya nakala na ramani za maeneo yenye Migogoro, hivi karibuni mkoani TangaKatibu Mkuu Wizara...
View ArticleRAIS KIKWETE ATEUA WAKUU WA MIKOA WAPYA NA KUWAHAMISHA VITUO VYA KAZI WENGINE
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amefanya uteuzi wa wakuu wapya wanne wa Mikoa, amewahamisha wengine sita na ameamua kuwa wengine watatu watapangiwa kazi...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AAGANA NA BALOZI WA QATAR ALIYEMALIZA MUDA WAKE...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimpokea na kumkaribisha Balozi wa Qatar aliyemaliza muda wake nchini Tanzania, Mhe. Jassin Mohamed Mubarak Al-Darwish,...
View ArticleMDEE ALAANI VURUGU ALIZOFANYIWA WARIOBA
Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha), limelaani vikali vurugu alizofanyiwa aliyekuwa Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, katika...
View ArticleTAZAMA MATOKEO YA DARASA LA SABA 2014 HAPA!
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIAPSLE-2014 EXAMINATION RESULTSARUSHADAR ES...
View ArticleRAIS KIKWETE AWAAPISHA MAKATIBU WAKUU, MABALOZI,WAKUU WA MIKOA NA MAKATIBU...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe Samwel William Shellukindo kuwa Balozi na Msaidi wa Rais Masuala ya Diplomasia leo Ikulu jijini Dar es salaamRais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe John...
View ArticleBALOZI WA RWANDA NCHINI AKUTANA NA KINANA
Balozi wa Rwanda nchini Eugene S. Kayihura akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana mara baada ya kuwasili kwenye ofisi za CCM Makao Makuu Ofisi Ndogo Lumumba jijini Dar es...
View ArticleNSSF YAWAKABIDHI NYUMBA WASANII WA ORIJINO KOMEDI
Meneja Mipango na Uwekezaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Abdallah Mselly (kulia) akimkabidhi msanii wa Orijino Komedi, Mjuni Silvery ‘Mpoki funguo ya moja ya nyumba za gharama nafuu...
View ArticleSKYLIGHT BAND YAZIDI KUWABAMBA MASHABIKI WAKE WA MUZIKI WA LIVE, TUKUTANE...
Majembe ya Skylight Band yakitoa burudani ya kukata na shoka kwa mashabiki wao Ijumaa iliyopita ndani ya ukumbi wa Thai Village Masaki jijini Dar..Kutoka kushoto ni Aneth Kushaba AK47, Mkongwe wa...
View ArticleTANZANIA KUENDELEA KUHIFADHI MISITU KUISAIDIA DUNIA
Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez (katikati) akibadilishana mawazo na kushoto ni Mwenyekiti mwenza...
View ArticleSHULE YA MSINGI KAWANZIGE ILIYOKO HALMASHAURI YA MJI WA MPANDA YAENDELEA...
Mwanafunzi wa shule ya msingi Kawanzige wakicheza baada ya kutoka madarasani wakijiburudisha kwa michezo wakati wa mapumziko hapo shuleni.……………………………………………………………………………Na Kibada Kibada -Katavi.Pamoja na...
View ArticleJK AENDELEA VYEMA NA MATIBABU ANAYOPATIWA HUKO MAREKANI
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Balozi wa Tanzania nchiniMarekani Mhe Liberata Mulamula aliyekwenda kumjulia hali katikahospitali ya John Hopkins iliyopo Baltimore, Maryland, nchiniMarekani,...
View ArticleMH. LOWASSA AZINDUA HELKOPTA YA KANISA LA UFUFUO NA UZIMA
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiwapungia mkono waumini Kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Mchungaji Josephat Gwajima,Kawe jijini Dar es Salaam .Picha...
View ArticleLILIAN KAMAZIMA MISS TANZANIA 2014 BAADA YA SITTI MTEMVU KUJIUZURU NA KUVUA TAJI
Mkurugenzi wa Kamati ya Miss Tanzania akizungumza na waandishi wa habari wakati akitangaza kujiuzuru kwa Sitti Mtemvu aliyekua Miss Tanzania 2014 baada ya kuzuka Sintofahamu kuhusu Umri wake, Lundenga...
View ArticleTAMASHA LA TIGO LAFANA BUKOBA! WASANII WA ORIGINAL KOMEDI WAFUNIKA MJINI BUKOBA!
Wasanii wa kikundi cha Original Komedi kikiwapa burudani wakazi wa mkoa wa Kagera jana waliofurika kwenye uwanja wa Kaitaba Bukoba Mjini kushuhudia Tamasha la Tigo welcome pack, Kampuni ya Tigo...
View ArticleSIMBA YAONA MWEZI TAIFA, YAIFUNGA RUVU SHOOTING 1-0
Mfungaji wa bao pekee la Simba dhidi ya Ruvu Shooting, Emmanuel Okwi akishangilia wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika jana kwenye Uwanja wa Taifa. (Picha na Francis Dande wa...
View ArticleAIRTEL YAZINDUA HUDUMA MPYA YA AIRTEL MONEY TIMIZA MJINI DODOMA
TMawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Prof. Makame Mbarawa (wa nne kushoto), Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania, Sunil Colaso (wa tatu kulia), Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Dk. Rehema Nchimbi (wa tatu...
View ArticlePINDA AFUNGUA SEMINA YA ALAT JIJINI DAR ES SALAAM
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongozana na Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Seriali za Mitaa, Aggrey Mwanri (katikati) na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Tawala za Mikoa...
View ArticleTaasisi ya Starkey Hearing Foundation ya Marekani yaendesha kliniki ya...
MMOJA wa wataalamu wa kuchunguza matatizo ya masikio, Stuart Specer kutoka Taasisi ya Starkey Hearing Foundation ya nchini Marekani inayoendesha kliniki ya masikio aakitaniana na mkazi wa Arusha, Ally...
View ArticleRAIS WA BUNGE LA SADC NA SPIKA WA BUNGE LA TANZANIA MHE. ANNE MAKINDA...
Rais wa Bunge la SADC na Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda akiwasili katika viwanja vya Bunge la Zambia tayari kushiriki Misa Maalum ya Kumwombea aliyekuwa Rais wa Zambia Mhe. Michael...
View Article