MAMIA WAMZIKA MDAU NASELI JOSHUA DORIYE
Mwili wa marehemu Naseli Joshua Doriye ukitolewa nyumbani kwao Africana jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuanza ibada ya mazishi. Jeneza lililokuwa na mwili wa marehemu Nasali.Aliyekuwa Mkuu wa Chuo...
View ArticleWANAWAKE WA INDIA WATEMBELEA VIKUNDI VYA WANAWAKE WAJASIRIAMALI MKURANGA
Mwakilishi wa Wanachama wa Ushirika wa Wanawake waliojiairi wenyewe kutoka India (SEWA), Labhu Thakkar akizungumza katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Kuranga wakati walipotembelea vikundi vya...
View ArticleDKT. ADELHELM JAMES MERU AAPISHWA KUWA KATIBU MKUU WA WIZARA YA MALIASILI NA...
Makamu wa Rais wa Tanzania, Mhe. Dkt. Gharib Bilal (kushoto) akimuapisha Dkt. Adelhelm Merukuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii jana Ikulu jijini Dar es Salaam. Dkt. Adelhelm Meru (kulia)...
View ArticleWADAU WA FILAMU WAKUTANA NA KUJADILI MAENDELEO YA TASNIA YA FILAMU NCHINI
Katibu Bodi ya Filamu Tanzania, Bi. Joyce Fissoo (kulia) akieleza jambo wakati wa mkutano wa kujadili mambo yanayohusu tasnia ya filamu Tanzania uliofanyika jana jijini Dar es Salaam. Kulia ni Afisa wa...
View ArticleTWIGA CEMENT YAMWAGA MSAADA WA VIFAA VYA UJENZI KWA JESHI LA MAGEREZA KATIKA...
TMkurugenzi Mkuu Mtendaji wa Kampuni ya Twiga Cement, Bw. Alphonso Rodrudges(suti ya bluu) akikabidhi mfano wa hundi yenye kiasi cha Tsh. Millioni Miamoja kwa Uongozi wa Jeshi la Magereza...
View ArticleABDULRAHMAN KINANA AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO JIMBONI NCHINGA, SAID MTANDA...
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mbunge wa jimbo la Nchinga mkoani Lindi Mh. Said Mtanda wakati alipowasili katika Kitomanga kata ya Mkwajuni ambapo pia alishiriki katika...
View ArticleWadau wa Mfuko wa Pensheni wa PPF Kanda ya Temeke wakutana
Wasanii wa Kundi la Wanne Star wakitoa burudani kwenye hafla hiyo. Wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PPF Kanda ya Temeke walikutana mwishoni mwa wiki katika hafla fupi iliyofanyika kwenye Ukumbi wa...
View ArticleSKYMOTO YAWABAMBA WAKAZI WA JIJINI MWANZA NDANI YA JEMBE BEACH
Mkurugenzi Mtendaji wa Skylight Band Dkt. Sebastian Ndege a.k.a JembeniJembe akizungumza na wakazi wa Mwanza kuwakaribisha kwenye show ya SKYMOTO iliyofanyika kwenye hekalu la maraha la Jembe Beach...
View ArticleKINANA AMALIZA ZIARA YAKE JIMBO LA MTAMA
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipokelewa na Bernard Membe Mbunge wa jimbo la Mtama na Mjumbe wa Halmashauri kuu ya taifa wakati alipowasili katika Kiwalala Kituo cha Ufugaji cha Masister...
View ArticleTRA yaendelea na Maadhimisho ya Wiki ya Mlipa Kodi Tanzania,Yatoa Msaada...
Baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wakijadiliana jambo wakati wakijiandaa kwenda kufanya usafi wa Mazingira wa Hospitali ya Temeke,Jijini Dar es Salaam jana Novemba 18,2014.PICHA...
View ArticleMOTO WATETEZA SOKO LA BIDHAA ZA UTAMADUNI LIJULIKANALO KAMA MT.MERU CURIOS &...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha,Magesa Mulongo ameagiza uchunguzi wa kina kufanyika kufuatia soko la wafanyabiashara wa Vinyago na bidhaa mbalimbali za kitalii la Maasai Market kuteketea kwa moto.Mulongo ambaye...
View ArticleJENGO LA KIHISTORIA LAPOROMOKA HUKO ZANZIBAR
Jengo moja la gorofa laporomoka huko Zanzibar katika eneo la kihistoria Jaws Corner ndani ya manispaa ya mji mkongwe Zanzibar.Taarifa zinasema wananchi wa karibu na eneo hilo wakishirikiana na vikosi...
View ArticleTTCL YAKABIDHI MSAADA WA MABENCHI KATIKA KITUO CHA AFYA BUGURUNI
Mganga Mfawidhi wa Kituo hicho Dtk. Mwajuma Mbaga akiishukuru TTCL kwa msaada walioutoa na kuwaomba wadau wengine wasaidie kituo hicho kwani kinahudumia wagonjwa zaidi ya 350 kwa sikuWafanyakazi wa...
View ArticleMKUTANO WA CCM WA MABALOZI WILAYA YA AMANI MKOA WA MJINI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akipokea Taarifa ya Chama Wilaya Amani kutoka kwa Katibu Abdalla Mwinyi katika mkutano...
View ArticleBALOZI WA KUDUMU WA UMOJA WA MATAIFA AUGUSTINE MAIGA AKUTANA NA RAIS DK.SHEIN
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akibadilishana mawazo na Balozi wa kudumu wa Umojawa Mataifa(mstaafu) wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,New York,Marekani...
View ArticleKINANA ASHIRIKI KILIMO KATIKA SHAMBA LA UFUTA LA KIKUNDI CHA (UMOJA RIKA)...
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mbunge wa jimbo la Nachingwea Mh. Mathias Chikawe wakati alipowasili katika kijiji cha Mkotokuyana jimbo la Nachingwea katika mwendelezo wa...
View ArticleKINANA AHUTUBIA WANA LIWALE MKOANI LINDI
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa wilaya ya Liwale mkoani Lindi ambapo aliwaambia wananchi hao kuwa kuna haja ya kubadilisha taratibu za ajira badala ya kuwa za kudumu...
View ArticleNHC yawapiga msasa Wakuu wa Mikoa juu ya mpango wake wa kuboresha ajira kwa...
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Umma na Huduma kwa Jamii, Susan Omari akitoa mada kwenye Kongamano la Wakuu wa Mikoa Kuhusu changamoto ya ajira kwa vijana lililokuwa na kaulimbiu " Ni wakati wa...
View ArticleMradi wa Ujenzi wa nyumba za gharama Nafuu Igunga NHC waanza kwa kasi
Mkurugenzi wa Usimamizi wa Mikoa na Utawala wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) , Raymond Mndolwa akikagua eneo la mradi wa nyumba za gharama nafuu Igunga mkoani Tabora. Picha zote za Kitengo cha...
View ArticleMAMIA WAMUAGA MWANDISHI WA HABARI WA NEW HABARI 2006 LTD, MAREHEMU INNOCENT...
Baadhi ya waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lililokuwa na mwili wa Mwandishi wa Habari za Michezo wa Kampuni ya New Habari 2006 Ltd marehemu Inocent Munyuku wakati wa kuaga mwili katika hospitali ya...
View Article