Quantcast
Viewing all articles
Browse latest Browse all 6858

WADAU WA SEKTA YA USAFIRI WA ANGA WAKUTANA KUJADILI MAENDELEO YA SEKTA HIYO NCHINI.

Image may be NSFW.
Clik here to view.
1
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga(TCAA)Charles M.  Chacha (Kushoto), akiteta jambo na mmiliki wa kampuni ya Tran World ya nchini Dubai  Mr. Adil Jadid kulia) wakati wa mkutano wa wadau wa sekta ya usafiri wa anga Tanzania. Mkutano huo unatoa   fursa za kujadili maendeleo ya sekta hiyo nchini .  Mkutano ulifanyika makao makuu ya Mamlaka ya usafiri wa Anga jijini Dar es Salaam.  Katikati ni Mjumbe wa Bodi wa TCAA Yussuf Mohammed Aly.
Image may be NSFW.
Clik here to view.
2
Baadhi ya wadau wa sekta ya usafiri wa anga Tanzania wakifuatilia mada wakati  wa mkutano wa wadau wa sekta hiyo uliotoa   fursa za kujadili maendeleo ya sekta hiyo nchini ulifanyika makao makuu ya Mamlaka ya usafiri wa Anga jijini Dar es Salaam leo.
Image may be NSFW.
Clik here to view.
3
Image may be NSFW.
Clik here to view.
4
Mkurugenzi wa Idara ya Udhibiti masuala ya Ki- Uchumi, Mamlaka ya Usafiri wa Anga(TCAA), Dkt. James Diu  (wapilia kutoka kulia) akitoa mada wakati wa mkutano wa wadau wa sekta ya usafiri wa anga Tanzania. Mkutano huo unatoa   fursa za kujadili maendeleo ya sekta hiyo nchini, ulifanyika makao makuu ya Mamlaka ya usafiri wa Anga jijini Dar es Salaam .Kulia ni Kaimu Mkurugenzi Idara ya Udhibiti masuala ya ki-usalama TCAA, Bw. Jude Mkai.
Image may be NSFW.
Clik here to view.
5
Baadhi ya wadau wa sekta ya usafiri wa anga Tanzania wakifuatilia mada wakati  wa mkutano wa wadau wa sekta hiyo uliotoa   fursa za kujadili maendeleo ya sekta hiyo nchini ulifanyika makao makuu ya Mamlaka ya usafiri wa Anga jijini Dar es Salaam leo.
Image may be NSFW.
Clik here to view.
6
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka yaUsafiri wa Anga(TCAA), Bw. Charles M. Chacha(aliyeshika maiki), akifafanua jambo wakati wa mkutano wa wadau wa sekta ya usafiri wa anga Tanzania. Mkutano huo unatoa   fursa za kujadili maendeleo ya sekta hiyo nchini Ulifanyika makao makuu ya Mamlaka ya usafiri wa Anga jijini Dar es Salaam

Viewing all articles
Browse latest Browse all 6858

Trending Articles