Meneja wa NHC Shinyanga, Ramadhani Macha akimkabidhi mgeni rasmi Dk Anselem Tarimo kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Ally Rufunga mashine za kufuatulia matofali ya kufungamana ili azikabidhi kwa Wakurugenzi wa Halmashauri za (M) Shinyanga.
Mgeni rasmi Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga, Dk Anselim Tarimo akikabidhi mashine kwa Mwakilishi wa Mkurugenzi wa Mji wa Kahama na Mkurugenzi wa Wilaya ya Msalala
Wakufunzi wa Mashine za kufyatulia matofali ya kufungamana Bw. Salu Mashimo wa kwanza (Kushoto) na Bw. Augustino Maige (wapili) wakitoa maelezo jinsi yakutumia mashine hizo kwa mgeni rasmi na kwa waandishi wa habari.
Mgeni rasmi Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga, Dk Anselim Tarimo akikabidhi mashine kwa Mwakilishi wa Mkurugenzi wa Wilaya ya ShinyangaMgeni rasmi Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga, Dk Anselim Tarimo akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa shirika, waandishi wa habari, na wawakilishi wa Wakurugenzi wa Halmashauri za Mkoa wa Shinyanga.
Baadhi ya viongzi wa Halmashauri mbalimbali pamoja na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali waliohudhuria hafla hiyo iliyofanyika ktk ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa Shinyanga.
Meneja NHC Shinyanga Bw. Ramadhani Macha akijibu maswali ya waandishi wa habari kuhusu mpango wa NHC wa kutoa mashine kwa Halmashauri zote nchini.
Meneja wa NHC Shinyanga Bw. Ramadhani H. Macha akitoa maelezo mafupi juu ya mpango wa NHC wa kutoa mashine kwa vikundi vya vijana tarehe 8 Oktoba, 2014 kwenye ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa- Shinyanga.
Mgeni rasmi Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga, Dk Anselim Tarimo akikabidhi mashine kwa Mwakilishi wa Mkurugenzi wa wilaya ya Kishapu
Mgeni rasmi Dk. Tarimo (RAS-Mkoa wa Shinyanga) katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa NHC-Shinyanga.Mgeni rasmi Dk. Anselem Tarimo, Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga akihutubia katika hafla hiyo.
Wafanyakazi wa NHC –Shinyanga pamoja wa wageni wengine waliohudhuria hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa Shinyanga.
Mkufunzi Bw. Mashimo akionyesha baadhi wa wageni jinsi mashine za kufyatulia matofali ya kufungamana zinavyofanya kazi.
Wawakilishi wa Halmashauri ya Mji wa Kahama, Wilaya Kishapu, Wilaya ya Msalala, Wilaya ya Shinyanga na Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga.