Quantcast
Channel: ARAWAY MEDIA TANZANIA
Browsing all 6821 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mkutano Mkuu wa mwaka wa viongozi wa TAKUKURU

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama akitoa hotuba wakati wa ufunguzi wa mkutano mkuu wa mwaka wa viongozi wa TAKUKURU unaofanyika katika ukumbi wa Kuringe.Mkurugenzi mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TIMU YA MAJAJI KWA AJILI YA KUMTAFUTA MSHINDI WA TUZO YA RAIS YA HUDUMA ZA...

 Jaji Venance Bahati ( kulia) na Jaji Constancia Gabusa (kushoto) wakijadiliana jinsi ya kuanza zoezi la kumtafuta mshindi wa  Tuzo ya Rais ya Huduma za Jamii na Uwezeshaji   nje ya  Ofisi ya Mkuu wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKURUGENZI WA ZAMANI WA SHIRIKA LA VIWANGO TANZANIA (TBS), CHARLES EKELEGE...

 Charles Ekelege akiwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam jana ambapo alihukumiwa kutumikia kifungo cha mwaka mmoja baada ya kupatikana na hatia ya matumizi mabaya ya madaraka na kulipa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWENYEKITI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA, MHE. SAMUEL SITTA AVITAKA VYOMBO VYA...

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta akiongea na waandishi wa Habari huku akiwaasa kuacha chuki katika masuala yanayohusu mchakato wa KatibaMjumbe wa Kamati Namba Nne ya Bunge Maalum...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA LAKABIDHI MASHINE ZA TOFALI ZA KUFUNGAMANA KWA...

 Mkuu wa Wilaya ya Babati Khalid Mandia (Mwenye kipaza sauti) akizungumza wakati wa makabidhiano ya mashine za kufyatulia matofali ya kufungamana kwa Halmashauri zote sita za mkoa wa Manyara. Kulia ni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMA SALMA KIKWETE ATEMBELEA SHULE YA SEKONDARI NGONGO MKOANI LINDI

 Mke wa Rais na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Lindi mjini Mama Salma Kikwete akiangalia kinu cha kusindika unga wa mhogo kinachomilikiwa na Tawi la Mkumbara katika Kata ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS JAKAYA KIKWETE NA RAIS WA BURUNDI PIERRE NKURUNZINZA KATIKA SHEREHE ZA...

 Wasanii wa ngoma ya utamaduni kutoka Burundi wakiburudisha kwenye sherehe za  uzinduzi wa programu ya uimarishaji wa mipaka ya kimataifa Jumatano Agosti 27, 2014. Rais Jakaya Mrisho Kikwete...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SKYLIGHT BAND WAZIDI KULITIKISA JIJI LA DAR NA VIUNGA VYAKE KWA BURUDANI KALI

Diva wa Skylight Band Mary Lucos akiimba kwa uzuri kabisa Ndani ya kiota cha burudani Thai Village. Bendi yako machachari na inayopendwa zaidi ndani ya Jiji la Dar es salaam na viunga vyake vyote...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA BARABARA YA MBANDE-KONGWA 16.5KM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Rehema Nchimbi, Mbunge wa Kongwa ambaye pia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete afungua rasmi nyumba za gharama nafuu NHC Kongwa,...

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa katika mradi wa nyumba za gharama nafuu za NHC Mnyakongo zilizopo Kongwa mkoani Dodoma. (Picha zote kwa hisani ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JOPO LA MAJAJI LA KUMTAFUTA MSHINDI WA TUZO YA RAIS YA HUDUMA ZA JAMII NA...

Majaji  Bw.  Venance Bahati (kushoto) na Bi.  Costansia Gabusa (kulia) wakijadiliana jambo wakati wa kufanya tathmini ya  mradi wa ukingo uliojengwa pembezoni mwa bahari kwa ajili ya kuzuia mmomonyoko...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPUNI YA MATANGAZO YANAYOTEMBEA (TRIA) YAZINDULIWA RASMI TANZANIA

DIANA LAVENDER Meneja Mauzo na Masoko kampuni ya CONICA MINOLTA akisoma risala yake wakati wa uzinduzi wa matangazo hayo.TRUSHAR KHETIA Mkurugenzi mtendaji wa TRIA akikata utepe wakati akizindua rasmi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATUKIO KATIKA PICHA BUNGE MAALUM LA KATIBA LEO 29 AGOSTI, 2014 MJINI DODOMA

Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samia Suluhu Hassan (aliyebeba mkoba) akiwasili Bungeni kuendelea na majukumu ya Bunge Maalum la Katiba. Aliyemtangulia mbele ni Mkuu wa Idara wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATU KUMI WAMEFARIKI DUNIA NA MAJERUHI SABA KATIKA AJALI MBAYA ILIYOTOKEA...

Hivi ndivyo ambavyo Daladala hiyo ilivyojibamiza muda mchache uliopita Eneo hili la ubavuni ndipo eneo ambalo Daladala hiyo iliingia na Kujigonga Gari hilo aina ya Tata likiwa limepaki pembeni Muda...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSAMA ANASA CD FEKI ZA MUZIKI NA MASHINE 10 ZA KUDURUFIA ZENYE THAMANI YA SH....

 Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Msama Auction Mart, Alex Msama akionesha moja kati ya mashine 10 za kudurufia CD za muziki zilizokamatwa na polisi katika msako wa wanaotengeneza CD feki za muziki wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

POLISI UJERUMANI WAMUOKOA DIAMOND KUTOKA KWA WASHABIKI WENYE HASIRA

Stuttgart, Ujerumani,Usiku wa Jumamosi ya Tarehe  30. Augost 2014, majira ya saa 10 alfajiriMwanamuziki nyota wa Bongo Flaver  Nasib Abdul aka Diamond Platnumz alijukuta katika hali ya hatari hadi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JOPO LA MAJAJI TUZO YA RAIS YA HUDUMA ZA JAMII NA UWEZESHAJI LATUA KANDA YA...

Jaji Constancia Gabusa (wa sita kutoka kushoto) akizungumza na mtoto Abdalah Suleman (kulia) aliyefika kisimani kuchota maji katika kijiji cha Chanjagaa wilayani Same. Mradi wa kisima hicho...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UTAFITI WAIBUA MAKUBWA NGONO ZA UTOTONI DAR

Mratibu wa mradi wa PREPARE ambaye pia ni Mwanasaikolojia wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi shirikishi cha Muhimbili, Kitengo cha magonjwa na afya ya akili, Lusajo Kajula (kushoto) akizungumza na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MRADI WA MAJARIBIO WA KUFUNDISHA MASOMO YA SAYANSI WA UNESCO WANEEMESHA TANZANIA

Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Tanzania, Zulmira Rodrigues akisoma risala ya kufungwa kwa mradi huo ambao uliojulikana kama Micro Science...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAMASHA LA FIESTA 2014 LILIVYOSAMBAZA UPENDO KWA WAKAZI WA MJI WA MOSHI...

 Mmoja wa mashabiki wa tamasha la Fiesta 2014 pichani akitazama kwa makini yaliyokuwa yakijiri kwenye jukwaa la tamasha hilo lililofanyika mwishoni mwa wiki mjini Moshi. Msanii wa muziki wa kizazi...

View Article
Browsing all 6821 articles
Browse latest View live