Quantcast
Channel: ARAWAY MEDIA TANZANIA
Browsing all 6821 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE ATUNUKU KAMISHENI TMA MONDULI

Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mkuu wa majeshi wa kwanza Mzalendo Jenerali Mirisho Sarakikya muda mfupi baada ya kuwasili katika chuo cha jeshi Monduli tayari kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMA SALMA KIKWETE AKUTANA NA MAMA GRACA MACHEL KWENYE OFISI ZA WAMA

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimpokea Mama Graca Machel aliyemtembelea kwenye ofisi za WAMA tarehe 25.8.2014.Mke wa Rais Mama Salma Kikwete na mgeni wake Mama Graca Machel wanaonekana wakifurahia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE ATETA NA WACHEZAJI WA REAL MADRID

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na baadhi ya wachezaji wa timu ya Real Madrid wakati wa hafla ya chakula cha usiku aliwaandalia ikulu jijini Dar es Salaam (picha na Freddy Maro)

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWENYEKITI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA, MHE. SAMUEL SITTA AWATOA WASIWASI...

Mweyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta akiwahutubia wasanii pamoja na waandishi wa habari waliohudhuria mkutano jana katika kumbi za mikutano bungeni mjini Dodoma.Makamu Mwenyekiti wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ESTER MATIKU ACHUKUA FOMU KUWANIA UONGOZI NDANI YA CHADEMA

MBUNGE wa viti maalumu(Chadema)Ester Matiku amejitosa kuwania nafasi ya Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake (Bawacha) mkoa wa Mara na kuahidi kushughulikia matatizo  ya Wanawake yanayowakabili katika...

View Article


WANAFUNZI WALIOOMBA MIKOPO ELIMU YA JUU SOMA HII

CALL FOR LOANS APPLICANTS TO CORRECT THEIR LOAN APPLICATIONSDuring the verification exercise of the 2014/2015 loan application forms, the Board has come across loan applications which are incomplete or...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

OFISI YA BUNGE YATOA UFAFANUZI KUHUSU MALIPO YA POSHO ZA WAJUMBE WA BUNGE...

Mkurugenzi wa Habari na Itifaki, Bw. Jossey Mwakasyuka (kushoto) akitoa ufafanuzi mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusiana na malipo ya posho za Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba leo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TBL YAKABIDHI MSAADA WA KISIMA CHA MAJI KATA YA KING’ONGO,DAR

 Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa King’ongo, Demetrius Mapesi (kulia),akimtwisha ndoo ya maji Radhia Said baada ya kuzindua mradi wa kisima cha maji mwishoni mwa wiki kilichojengwa kwa msaada wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AKUTANA NA VIONGOZI WA VYAMA VYA WAFANYAKAZI TANZANIA

 Katibu Mkuu wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania ( TUCTA )Nicholaus Mgaya akimkaribisha Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana alipowasili kwenye Makao Makuu ya TUCTA kwa mazungumzo na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HIVI NDIVYO SALIM ASAS ALIVYOAPISHWA KUWA KAMANDA WA UVCCM MKOA WA IRINGA

Naibu Katibu MkuuCCM Tanzania Bara, Mwigulu Nchemba akimuapisha Salim Asas kuwa Kamandawa UVCCM Mkoa wa Iringa, Salim Asas janaAlipokuwaakimvalisha gwanda la ukamandaKatikati ya wazeewa kimila baaada...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MO AZINDUA JARIDA LA IRIS EXECUTIVE NA KUSEMA UTAJIRI HAUJI "KIRAHISI RAHISI"

Mgeni rasmi Ofisa Mtendaji Mkuu wa MeTL GROUP Mh. Mohammed Dewji (Mb) ambao ndio wadhamini wakuu wa sherehe za uzinduzi wa jarida la IRIS Executive (katikati), Ofisa Mtendaji Mkuu wa IRIS Executive...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Heri Siku ya Kuzaliwa Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh....

Leo Agosti 26 ni siku ya kuzaliwa ya Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Ngoyai Lowassa aliyezaliwa tarehe kama ya leo miaka 61 iliyopita. Mh. Lowassa anayo furaha kubwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YAKABIDHIWA MAGARI NA PIKIPIKI KUTOKA SHIRIKA LISILO LA KISERIKALI...

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk.Seif Rashid akizungumza na waandishi wa habari wakati akipokea magari hayo Dar es Salaam.Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Charles Palanjo akizungumza na katika hafla...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YAKABIDHIWA MAGARI NA PIKIPIKI KUTOKA SHIRIKA LISILO LA KISERIKALI...

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk.Seif Rashid akizungumza na waandishi wa habari wakati akipokea magari hayo Dar es Salaam leo.Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Charles Palanjo akizungumza na katika hafla...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VISIT BY THE PRESIDENT OF UNITED REPUBLIC OF TANZANIA, DR JAKAYA MRISHO...

On the 20th August, 2014, Mwaya village, in Ulanga district, Morogoro came to a standstill as the president of the United Republic of Tanzania; HE Dr Jakaya Mrisho Kikwete was visiting WLF-supported...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZAIDI YA WAJASIRIAMALI 200 KANDA YA ZIWA WASHIRIKI SEMINA YA KUANDAA BIDHAA

NA SULEIMAN MSUYAZAIDI ya Wajasiriamali 200 kutoka katika mikoa mbalimbali ya Kanda ya Ziwa wameshiriki mafunzo ya jinsi ya kuandaa bidhaa kabla ya kuingia sokoni yaliyoandaliwa na kampuni ya Usalama...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATOTO 984 WAOZESHWA KWA NGUVU TARIME, 1,628 WAKEKETWA

Baadhi ya washiriki katika hafla ya uzinduzi rasmi wa kampeni za kupinga ndoa za utotoni kwa watoto wa kike zitakazoendeshwa mkoani Mara. Uzinduzi huo umefanywa na mjane wa hayati Nelson Mandela,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UMOJA WA MACHIFU TANZANIA (UMT) WAWASILISHA MAPENDEKEZO YAO KUHUSIANA NA...

Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samia Suluhu akiwaeleza jambo Wawakilishi wa Umoja wa Machifu Tanzania (UMT) kuhusu mapendekezo yao waliyoyawasilisha kwake kwaajili ya Katiba Mpya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTANZANIA DABO AMETAJWA KUWANIA TUZO ZA REGGAE ZA KIMATAIFA NA MUZIKI WA...

Unaweza kuwa humfahamu kwa vile hana kelele nyingi….TUONYESHE UZALENDO KWA KUMPIGIA KURA SASAMsanii bora wa muziki wa Reggae Tanzania, DABO (Pichani) amepata nafasi ya kuipeperusha bendera ya Tanzania...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAELFU YA WANANCHI WAMLAKI RAIS KIKWETE GAIRO, KATIKA ZIARA YAKE YA MKOA WA...

Rais Kikwete akihutubia umati wa maelfu ya wananchi waliojitokeza  kumsikiliza  kwenye uwanja wa mkutano wa mji wa Gairo mkoani Morogoro  alipowahutubia kwenye mkutano wa hadhara Agosti 26, 2014Rais...

View Article
Browsing all 6821 articles
Browse latest View live