KIKAO KAZI CHA WATENDAJI WA SHIRIKA LA MAGEREZA NA GEPF CHAENDELEA LEO MKOANI...
Mkuu wa Magereza Mkoani Morogoro, Naibu Kamishna wa Magereza, James Selestine(wa kwanza kushoto) akiteta jambo na Watendaji Waandamizi wa Shirika la Magereza na GEPF kabla ya kutembelea katika eneo la...
View ArticleRAIS KIKWETE ATEMBELEA WILAYA YA CHAMWINO KATIKA ZIARA YAKE YA MKOA WA DODOMA
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Mhe. Fatma S. Ally alipowasili wilayani humo kukagua miradi ya maendeleo na kuzungumza na wananchi Rais Kikwete akisalimiana na...
View ArticleTUME YA UTUMISHI WA UMMA YAENDELEA KUIMARISHA UZINGATIAJI WA SHERIA, KANUNI...
Naibu Katibu wa Ofisi ya Rais, Tume ya Utumishi wa Umma Bi. Neema Tawale akieleza kwa waandishi wa Habari (Hawapo pichani) kuhusu tathmini ya Tume juu ya uzingatiaji wa sheria,kanuni na taratibu za...
View ArticleRais Kikwete afungua rasmi nyumba za makazi za Medeli leo hii
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitembelea mradi wa nyumba za makazi za Medeli zilizopo Mjini Dodoma wenye nyumba 150, kushoto kwake ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando...
View ArticleELIHURUMA NGOWI JOINS SERENGETI BREWERIES LTD
Mr. Elihuruma Ngowi has joined Serengeti Breweries Ltd. as Brand Manager with a profound experience in Customer Care, Marketing and Sales after having spent over eight (8) years at Vodacom Tanzania...
View ArticleJK AFUNGUA BARABARA YA DODOMA-FUFU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (katikati) akiweka jiwe la msingi kuashiraia ufunguzi rasmi wa barabara ya Dodoma- Iringa sehemu ya kutoka Dodoma - Fufu...
View ArticleSTAR WA TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT) 2014, MWANAAFA MWINZAGO AWA KIVUTIO...
=Mshindi wa Tanzania Movie Talents (TMT) 2014 Mwanaafa Mwinzago (Katikati) akisindikizwa na Matron pamoja na Mfanyakazi wa TMT huku akilindwa na Mabaunsa wakati alipopelekwa Katika Mitaa ya Kariakoo...
View ArticleRAIS DK.SHEIN AKUTANA NA MARAIS NA PICHA NYENGINE MBALI MBALI
Wajumbe wa Mkutano wa Tatu wa Kimataifa wa Nchi za Visiwa na Maafisa wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wakifuatilia kwa makini michango inayotolewa katika mkutano huo unaoendelea huko Nchini Samoa...
View ArticleAMERICAN SENATORS VISIT SERENGETI NATIONAL PARK
Director General of TANAPA Mr. Allan Kijazi (right) welcomes the Chairperson of the US Senate Committee on Agriculture, Nutrition and Forestry and Michigan Senator Ms. Debbie Stabenow during the...
View ArticleNHIF KUENDELEA KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA NCHINI.
Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti kutoka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Bw. Raphael Mwamoto akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani)kuhusu mpango wa kuendelea kuboresha huduma za Afya nchini,...
View ArticleSHIRIKA LA NYUMBA TANZANIA (NHC) LAKARABATI SHULE YA HASSANGA JIJINI MBEYA
Mgeni Rasmi Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh. Abbas Kandoro akikata utepe kuzindua ukarabati wa Madarasa manne na Jengo moja la Utawala katika Shule ya Msingi Hasanga uliofanyika leo Uyole Mbeya.Mgeni Rasmi...
View ArticleWAZIRI PROFESA ANNA TIBAIJUKA AKUTANA NA DAKTARI BINGWA WA UGONJWA WA...
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Profesa Anna Tibaijuka (wa pili kushoto), akiwa na Daktari bingwa wa ugonjwa ya Saratani ya matiti kutoka Bangarole India, Profesa Anthony Pais (kushoto),...
View ArticleMGODI WA NORTH MARA WACHANGIA BILIONI 7.5 KATIKA SHUGHULI ZA JAMII
Mwenyekiti wa Jopo la Majaji kwa ajili ya kumtafuta mshindi wa Tuzo ya Rais ya Huduma za Jamii na Uwezeshaji Prof. Samwel Wangwe (kushoto) akisalimiana na Afisa Mahusiano wa Mgodi wa North Mara Bw....
View ArticleWAJUMBE KUNDI LA 210 WATOA TAMKO DHIDI YA WANAOLICHAFUA BUNGE MAALUM LA...
Askofu Amos Muhagachi akitoa tamko juu ya tuhuma mbalimbali dhidi ya kundi la 201 la wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba jana 03 Septemba, 2014 katika Ukumbi wa Spika, Mjini Dodoma.Mwenyekiti wa kundi la...
View ArticleBenki ya BOA kuwawezesha wasambazaji wa bidhaa za Vodacom
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Rene Meza (kulia) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati akizindua ushirikiano wa kampuni yake na Benki ya Afrika (BOA) Tanzania unaowawezesha...
View ArticleYOUNG AFRICANS NA BENKI YA CRDB WAINGIA MAKUBALIANO YA UTENGENEZAJI WA KADI...
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk. Charles Kimei (kulia) akisaini mkataba na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Klabu ya Yanga, Fatma Karume kwa ajili ya kutengeneza kadi za kisasa za uanachama...
View ArticleShirika la Nyumba la Taifa lakabidhi mashine za kufyatulia matofali ya...
Mkuu wa wilaya ya Arumeru Nyirembe Munasa, Kiongozi wa Mbio za Mwenge kitaifa Bi.Rachel Kassanda wakiwa tayari kutoa hundi kwa mmoja wa kiongozi wa vikundi vya vijana baada ya kupokea hundi. Kiongozi...
View ArticleMKURUGENZI NHC ATEMBELEA ENEO LA MRADI WA NYUMBA ZA WATUMISHI HALMASHAURI YA...
Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw.Nehemia Kyando Mchechu wa kwanza kulia mbele akitembelea eneo la ujenzi wa nyumba za gharama nafuu zitakazojengwa katika Halmashauri ya Busekelo Mkoani Mbeya alipotembelea...
View ArticleSERIKALI YAANZA KUTEKELEZA MRADI WA UJENZI WA NYUMBA 10,000 KWA AJILI YA...
Baadhi ya nyumba zilizojengwa eneo la Gongo la Mboto Jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa ujenzi Nyumba 10,000 kwa ajili ya makazi ya Wanajeshi.Picha na Hassan Silayo.Msemaji wa...
View ArticleVingozi wa Dini Wamtembelea Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel...
Sheikh Hemed Jalala (kushoto) akikabidhi kitabu kwa Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta (kulia), kinachoitwa ‘Kilele cha Fasaha’ kinachohusu maadili na uongozi.Sheikh Hemed Jalala...
View Article