WAZIRI WA FEDHA AZINDUA BARAZA LA NNE LA WAFANYAKAZI WA OFISI YA TAIFA YA...
Mgeni rasmi Waziri wa Fedha Mhe. Saada Mkuya Salum (Mb) akiwaonesha wajumbe wa Baraza la Nne la Wafanyakazi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Mfumo wa Kushughulikia Malalamiko ulioandaliwa na Ofisi hiyo...
View ArticleTBL YATOA MSAADA WA SH. MIL. 25 ZA KUCHIMBA KISIMA CHA MAJI ZAHANATI YA...
Meneja Mauzo wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Kanda ya Kinondoni, JosephNicholous (kushoto) akimkabidhi Mganga Mkuu wa Manispaa ya Kinondoni, ambaye pia ni Kaimu Mkurugenzi wa manispaa hiyo, Dk....
View ArticleMBUNGE MAGIGE ALAANI VIKALI TUKIO LA BOMU ARUSHA
Mbunge viti maalum Mhe.Catherine Magige kupitia chama cha mapinduzi CCM akimjulia hali Deepak Gupta (25 aliyepoteza mguu wake ) mmoja wa majeruhi wa bomu lililolipuka jana usiku majira ya saa 4 usiku...
View ArticleAIRTEL YAMWAGIA WAHARIRI VIFAA VYA MICHEZO
Meneja Uhusiano wa Airtel, Jackson Mmbando,akiongea na waandishi wa habari wakati wa kukabidhi vifaa vya michezo kwa Jukwaa la wahariri kwaajili ya mechi kati yao na timu ya waandishi wa mkoa wa...
View ArticleMAGUFULI AZINDUA KIVUKO KIPYA BUNDA
Waziri Magufuli alitoa tamko hilo jana kabla ya kuzindua kivuko hicho kipya katika kijiji cha Iramba wilayani Bunda mkoani Mara. “Ndugu zangu wa Iramba kitunzeni kivuko hiki kwani ni mkombozi mkubwa...
View ArticleWAZIRI MEMBE AFUNGUA RASMI MAFUNZO YA TAASISI YA UONGOZI YA AFRIKA MASHARIKI...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akisalimiana na baadhi ya Wahadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam mara baada ya kuwasili Chuoni hapo kwa ajili ya...
View ArticleMGOMBEA URAIS WA MSUMBIJI ATUA TANZANIA KUSAKA KURA, AKUTANA NA MAMA MARIA...
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimlaki Mgombea Urais wa Msumbiji kwa tiketi ya Chama cha Ukombozi cha FRELIMO, Filipe Nyusi alipowasili Jana jioni Julai 9, 2014, kwenye Uwanja wa Ndege wa...
View ArticleSERIKALI YA JAPAN YATOA MSAADA WA CHAKULA KWA WAKIMBIZI NCHINI
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (katikati) akipokea galoni ya mafuta ya kula kutoka kwa Balozi wa Japan nchini, Masaki Okada (kushoto) ikiwa ni ishara ya makabidhiano ya chakula cha...
View ArticleTanzania na Algeria zinakamilisha majadiliano ya kuanzisha kampuni ya Ubia...
Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Profesa Muhongo Wa kwanza kulia), akiongea jambo na wataalamu wa masuala ya gesi na umeme wa Algeria wakati walipokwenda kutembelea Mtambo wa kufua umeme kwa kutumia...
View ArticleMAKAMU MWENYEKITI WA KAMATI YA WABUNGE MAREKANI AMTEMBELEA WAZIRI WA MAMBO YA...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kushoto) akizungumza na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Wabunge 200 wa Marekani, Dk Kaush Arha aliyemtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam jana...
View ArticleSerikali imewataka viongozi na watendaji wa jiji la Dar es salaam kuhakikisha...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Saidi Meck Sadiki akizungumza na wajumbe wa kikao cha majumuisho ya ziara ya siku nne ya viongozi na watendaji wa Tume ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi (TACAIDS)...
View ArticleWaziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe Amwandalia...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe (Mb.) akisalimiana kwa furaha mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Ukombozi cha FRELIMO cha nchini Msumbiji, Bw. Filipe Nyusi...
View ArticlePicha Mbalimbali Za Ziara ya Rais Jakaya Kikwete Bumbuli na Lushoto
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwasililiza kwa kamini wanafunzi kutoka Irente school for the Blind wakati walipoimba shairi maalumu wakati wa sherehe za ufunguzi wa ukumbi wa mihadhara wa Benjamin...
View ArticleRais Jakaya Kikwete Akiteta na Kufurahia Jambo na mbunge wa Bumbuli-CCM...
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiteta jambo na Wabunge wa Lushoto Mhe.Henry Shekifu kushoto na mbunge wa Bumbuli Mhe.January Makamba(kulia) muda mfupi baada ya Rais kuhutubia wananchi katika mkutano...
View ArticleZIARA YA DKT JOHN POMBE MAGUFULI MKOANI DODOMA
Waziri wa Ujenzi Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli leo amefungua Mradi wa Taa za kuongozea Magari katika mji wa Dodoma.Kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Eng.Musa Ibrahim Iyombe Mradi huo ambao...
View ArticleJopo la Wahariri latembelea mradi wa nyumba za gharama nafuu wa NHC Mtanda,...
Jopo la Wahariri kutoka Jukwaa la Wahariri (TEF) wakibadilishana mawazo muda mfupi baada ya kuwasili kwenye mradi wa nyumba za gharama nafuu wa Mtanda uliopo eneo la NHC Mtanda Lindi, Wahariri hao...
View ArticleVODACOM, UTT wazindua ushirikiano wa huduma ya M Pesa
Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom, Salum Mwalimu, akizungumza kuhusu ushirikiano wa huduma ya M-Pesa na Dhamana ya Uwekezaji Tanzania (UTT), wakati wa uzinduzi wa ushirikiano huo, katika kufanikisha...
View ArticleKAMATI YA MAJI KING’ONGO DAR WAKAGUA UJENZI WA MRADI WAO WA MAJI...
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya MO Resources Limited,Onesmo Sigalla (kulia), akitoa maelezo kwa kwa wajumbe wa Kamati ya Maji ya Mtaa wa King’ongo, Kata ya Salanga, Kimara, Dar es Salaam, kuhusu...
View ArticleMARY NAGU MGENI RASMI KONGAMANO LA NNE LA KITAIFA LA MAKATIBU MUHTASI...
Pichani kushoto ni Waziri wa Uweshaji na Uwekezaji Ofisi ya Waziri Mkuu,Mh.Mary Nagu ambaye ndiye mgeni rasmi wa Kongamano la nne laKitaifa la Makatibu Muhtasi Tanzania (TAPSEA),akizungumza jambo na...
View ArticleRAIS KIKWETE AZINDUA NYUMBA ZA BEI NAFUU NHC MKINGA
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi nyumba za bei nafuu zilizojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa( National Housing) huko Wilayani Mkinga,Mkoa wa Tanga jana.Rais Dkt.Jakaya...
View Article