Quantcast
Channel: ARAWAY MEDIA TANZANIA
Viewing all articles
Browse latest Browse all 6822

MAKAMU MWENYEKITI WA KAMATI YA WABUNGE MAREKANI AMTEMBELEA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI MATHIAS CHIKAWE OFISINI KWAKE D’SALAAM

$
0
0
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kushoto) akizungumza na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Wabunge 200 wa Marekani, Dk Kaush Arha aliyemtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam jana kwa lengo la kujenga ushirikiano katika sulala la kuwalinda wanyama pori nchini.
 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kushoto) akimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Wabunge 200 wa Marekani, Dk Kaush Arha aliyemtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam jana kwa lengo la kujenga ushirikiano katika sulala la kuwalinda wanyama.
 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kushoto) akimshukuru Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Wabunge 200 wa Marekani, Dk Kaush Arha kwa kumtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam jana. Waziri Chikawe na mgeni wake walijadili masuala mbalimbali ya kujenga ushirikiano wa kuwalinda wanyama. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

PICHA ZOTE NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

Viewing all articles
Browse latest Browse all 6822

Trending Articles