Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiteta jambo na Wabunge wa Lushoto Mhe.Henry Shekifu kushoto na mbunge wa Bumbuli Mhe.January Makamba(kulia) muda mfupi baada ya Rais kuhutubia wananchi katika mkutano wa hadhara Jimbo la Bumbuli Wilayani Lushoto jana.Picha na Frddy Maro -IKULU