Quantcast
Channel: ARAWAY MEDIA TANZANIA
Browsing all 6822 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PINDA AKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO READING UINGEREZA

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu  (kulia) wakiongozana na Madona Pemba (kushoto) , mtanzania aishie Uingereza kuelekea kwenye ukmbi wa mikutano  ili kuzungumza na watanzania waishio Reading...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSHIRIKI WA TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT) AZIMIA JUKWAANI MARA BAADA YA...

Baadhi ya Washiriki wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) ambao wapo kwenye Maumivu ya kuchomwa na Jua la Utosi Wakimpa huduma ya Kwanza Mmoja wa Washiriki mwenzao ambae alipoteza fahamu jukwaani...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI KUJENGA UPYA RELI YA KATI – WAZIRI MKUU

*Ujenzi kugharimu USD bilioni sabaWAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema Serikali ina mpango wa kujenga reli mpya ya kutoka Dar es Salaam hadi Mwanza kupitia mikoa na ya kati na kuelekea Isaka hadi Burundi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jopo la Wahariri latembelea miradi ya nyumba za gharama nafuu wa NHC Mtanda,...

Juzi, Alhamisi (Julai 10, 2014) na jana Ijumaa (Julai 11, 2014) jopo la Jukwaa la wahariri takriban 85 walitembelea kwenye miradi yetu miwili, mmoja wa ujenzi wa nyumba za gharama nafuu Mtanda mkoani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKE WA MBUNGE WA CHALINZE AGAWA MISAADA KWA FAMILIA ZENYE MAHITAJI MUHIMU...

Arafa Mohammed Mke wa Mbunge wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete(kushoto) akimkabidhi zawadi ya Vyombo vya ndani na Tende mzee Said Khamis Mnyika wa kijiji cha Changarikwa kata ya Mbwewe kama...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PINDA AZUNGUMZA NA WATANZANIA – LONDON

 Waziri Mkuu,Mizengo Pinda  akitia saini kitabu cha wageni baada ya  kuwasili kwenye  ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza uliopo mjini London kabla ya kuzungumza na watanzania Julai 11, 2014. Kushoto...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTEMVU ATOA MSAADA WA TANI TANO ZA VYAKULA KWA VIKUNDI VYA WASIO NA UWEZO...

Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu, akimkabidhi msaada wa vyakula, Beatrice Mgomele wa Makao ya Taifa, Kurasini, Dar es Salaam,  wakati wa hafla ya Mtemvu kukabidhi msaada wa tani tano ya vyakula kwa vituo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ona Jinsi Rais Jakaya Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete Walivyokatiza...

RAIS Jakaya Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete, wakinunua samaki katika kibanda, katika Kijiji cha Bweni, Wilaya ya Pangani, mkoani Tanga, baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa maabara Shuke ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU WAZIRI WA UCHUKUZI ATEMBELEA SHIRKA LA NDEGE TANZANIA (ATCL)

 Naibu Waziri wa Wizara ya Uchukuzi, Dk. Charles Tizeba (kulia), akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), Mr. Salim Msoma wakati alipotembelea shirika hilo mwishoni mwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIONGOZI WA CHADEMA KATA YA RUAHA WASEMA WAMECHOSHWA NA UBABAISHAJI WA MBUNGE...

 Baadhi ya  nyaraka za  Chadema na kadiKatibu  wa CCM mkoa akiangalia nyaraka ya siri ya kuhujumu uchaguzi  mkuu iliyotolewa na Chadema taifa  ambayo imekabidhiwa kwake na aliyekuwa katibu kata wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Dk. Mwakyembe azungumzia Taarifa ya Mkutano Baina ya Mawaziri wa...

Waziri wa Uchukuzi Dkt. Harrison Mwakyembe  akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) mapema hii leo Jijini Dar es Salaam wakati alipokuwa akizungumzia mikakati ya Wizara yake katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AFUTARISHA WANANCHI WA MBEYA

Mbunge wa Mbeya Mhe Joseph Mbilinyi “Sugu” akipata futari na wananchi wenzie wa Mbeya katika futari iliyoandaliwa na Rais Jakaya mrisho Kikwete katika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Mbeya Day jijini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI LAZARO NYALANDU AKUTANA NA TAASISI ZA MBALIMBALI ZINAZOJIHUSISHA NA...

   Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi Waandamizi wa Taasisi ya Vulcan ya nchini Marekani Bw. Dave Stewart (kushoto) na Bi. Lauren Ryder,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA ASHIRIKI FUTARI ILIYOANDALIWA NA MTEMVU DAR

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akilakiwa na Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu alipowasili, kwenye futari iliyoandaliwa na mbunge huyo Julai 15, 2014, kwenye hoteli ya City Garden, Railyway...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AKABIDHI BENDERA TIMU YA TAIFA YA RIADHA ITAYOSHIRIKI MICHUANO...

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi bendera nahodha wa timu ya Taifa ya riadha inayoondoka  Julai 16, 2014 kwenda Glasgow, Scotland, kwenye Michezo ya Jumuiya ya Madola kwenye hafla fupi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mbunge wa Musoma Mjini (CHADEMA), Vincent Nyerere Akabidhi Computer Kwa Shule...

 Computer zikikabidhiwa kwa ajili ya Shule za Sekondari za Jimbo la Musoma MjiniMbunge wa Musoma Mjini (CHADEMA), Vincent Nyerere akihutubia kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kata ya Makoko...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MADUKA MATATU IKIWEMO NYUMBA VYATEKETEA KWA MOTO MWANANYAMALA

 Moto ukiwa umeanza kama utani, watu wakiwa wanaendelea na kazi kama kawaida. Moto mkubwa uliosababishwa na hitirafu ya umeme  umewaka eneo la Mwananyamala Jirani na Hospitali ya Mwananyamala na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTOTO WA RAIS MSTAAFU ALI HASSAN MWINYI AJUMUIKA NA WADAU WA BENKI YA FNB...

Pichani kulia ni Mgeni rasmi,Mtoto wa Rais Mstaafu awamu ya pili,Mh,Ali Hassan Mwinyi,Abdallah Ali Hassan Mwinyi kwenye hafla ya Iftari ilioandaliwa na benki ya FNB,na kufanyika kwenye bustani ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAFUASI WA CCM NA CHADEMA NUSURA WATWANGANE, WAFANYA VURUGU KUBWA MKUTANO WA...

 Mbunge wa Jimbo la Kinondoni, Idd Azzan wa CCM (KULIA), akiamulia ugomvi wa Diwani wa Kimara, Pascal Manota wa Chadema (kushoto) na Mwenyekiti wa CCM, Wilaya ya Kinondoni, Salum Madenge waliotaka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBUNGE KABATI ATEMBELEA MIRADI YA MAENDELEO

Mganga Mfawishi wa Hospitali ya wilaya ya Frelimo Dk. Hassan Mtani akitoa taarifa kuhusu hospitali hiyo mbele ya mbunge wa Viti maalum CCm Lita Kabati Baadhi ya wahudumu wa hospitali ya FrelimoMbunge...

View Article
Browsing all 6822 articles
Browse latest View live