Wabunge wa CUF kutoka Zanzibar Walipotaka kumtandik’ Mbunge wa Nkasi...
Mbunge wa Nkasi Kaskazini (CCM), Ally Keissy. akikataa kupigwa picha wakati wakati huku wabunge wa cuf wakifuata nyuma na kumuoinyesha vidole kwa kutaka asimame ili wapambanekutokana na baada ya mbunge...
View ArticleSAFARI YA MWISHO YA MPENDWA MWANDISHI WA HABARI MAXIMILLIAN NGUBE HAPA DUNIANI
Baadhi ya ndugu na jamaa wakifarijiwa na wakazi wa jiji waliofika katika msiba huo wa Mpigapicha wa Kituo cha Televisheni cha Mlimani marehemu Maxmillian John Ngube.Wakazi wa jiji...
View ArticleKatibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana Aung'uruma Mbulu,Maelfu Wajitokeza
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi wa Mbulu na kuwataka kutumia muda mwingi kwenye shughuli za kimaendeleo kwa kushirikiana na serikali. Katibu Mkuu alisisitiza serikali...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILA AFUNGUA MKUTANO WA TATU WA BARAZA LA MAWAZIRI WA...
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Pereira Ame Silima, akizungumza wakati wa mkutano huo kabla ya kumkaribisha Makamu wa Rais kufungua mkutano huo. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt....
View ArticleMWILI WA MAMA YAKE MBUNGE WA KIGOMA ZITTO KABWE WASAFIRISHWA KWENDA KIGOMA
Zitto Kabwe akiwa na Prof Ibrahimu Lipumba wakati wa kuuaga Mwili wa mama yake kipenzi Bi Shida Salumu aliyefariki jana kabla ya kusafirishwa kwenda Kigoma kwa mazishi Ndege Ikiandaliwa Ili kuweza...
View ArticleWAHARIRI NA WANAHABARI WATEMBELEA HIFADHI YA KISIWA CHA SAANANE JIJINI MWANZA
Baadhi ya Wahariri wa habari na Waandishi waandamizi toka vyombo mbalimbali vya habari wakitoka katika lango la ofisi za Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Saanane tayari kuelekea kisiwaniBaadhi ya...
View ArticleMarehemu Amina-Zahara Shabani Mtengeti azikwa Kisutu, Dar es salaam
Makamu wa Rais Dkt. Mohamed Ghalib Bilali, Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi na viongozi wengine na waombolezaji wakiwa katika mazishi ya marehemu Amina-Zahara Shabani Mtengeti katika makaburi ya...
View ArticleMWIGULU NCHEMBA AMPANIA MBUNGE MSIGWA JIMBONI ASEMA ATAONGOZA MAPAMBANO YA...
Naibu katibu mkuu wa CCM bara Mwigulu Nchemba akiwahutubia wananchi wa jimbo la Iringa mjini. Vijana wa CCM wakifurahia hutuba ya Nchemba Wananchi wa jimbo la Iringa mjini wakimsikiliza Nchemba...
View ArticleWafanyakazi wa Airtel watoa msaada hospitali ya Ocean Road
Mwenyekiti wa kikundi cha wanawake wafanyakazi wa Airtel Tanzania ‘Airtel Diva’, Amitin Mbamba (kulia), akikabidhi msaada wa machela za kisasa mbili, ‘wheel chair’ mbili na bidhaa mbalimbali vyenye...
View ArticlePicha Mbalimbali Za Mazishi ya Mama Mzazi wa Mbunge wa Kigoma Kaskazini...
Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe akiwa Mbele ya Kaburi la Mama yake mzazi Bi Shida Salum muda mfupi baada ya kuzikwa jana kwenye makaburi ya Rubengela mjini Kigoma Umati wa wananchi wa mkoa...
View ArticlePICHA MBALIMBALI ZA HARUSI YA MBUNGE WA ARUMERU-MASHARIKI- CHADEMA JOSHUA...
Msafara ukaanza safari ya kuelekea barabara kuu ya Moshi/Arusha ukitokea kanisani Kilinga.Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki-Chadema , Joshua Nassari na ,Anande Nnkowakiwa ndani ya gari muda mfupi...
View ArticleKatibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye Alivyopambana na Upinzani Chuo...
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wanachama wa Tawi la CCM SAUT Kambarage na wananchi wa Nyamalango , wilaya ya Nyamagana Mwanza ambapo aliwaambia kuwa CCM itaendelea kuongoza...
View ArticleSHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA (NHC) LILIPOTIA SAINI UJENZI WA NYUMBA 14 KWA...
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpya Busokelo, Meckson Moses Mwakipunga (katikati) akibadilishana mkataba na Mkurugenzi wa Manispaa hiyo, Saidi Mderu (kushoto) baada ya kuusaini katika hafla...
View ArticleWAOMBAJI WA NAFASI YA MKAGUZI MSAIDIZI UHAMIAJI ZAIDI YA 10,000 WAFANYA...
Sehemu ya waombaji zaidi ya 10,000 wa nafasi ya Mkaguzi Msaidizi, Idara ya Uhamiaji wakifanya usaili wa awali wa kuandika ulioandaliwa na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa ajili ya kujaza nafasi 70...
View ArticleShirika la Nyumba la Taifa lakabidhi nyumba 40 lilizozijenga na kuwauzia BoT
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Felix Maagi akizungumza wakati wa makabidhiano ya nyumba 40 ambazo zimenunuliwa na Benki Kuu ya Tanzania (BoT). Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa...
View ArticleKatibu Itikabu wa NEC,itikadi na Uenezi-CCM, Nape Nnauye Alivyotinga Jimboni...
Nape akizindua Shina la wakereketwa wacheza bao, tawi la Jumuia ya Wazazi la 770, Kimara, wakati wa ziara hiyo.Vijana wa Chipukizi wa CCM, wakimvisha skafu Nape alipowasili katika kata hiyo kuanza...
View ArticleWaziri wa Mali asili na Utalii, Lazaro Nyalandu Apokea Rasmi Helikopta...
Mwonekano wa helkopta iliyotolewa msaada na Taasisi ya Howard Buffet kwaajili ya kusaidia mambambano dhidi ya ujangili katika hifadhi za taifa nchini. Waziri wa Mali asili na Utalii, Lazaro Nyalandu...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT.GHARIB BILAL AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA RAIS WA BOLIVIA, EVO...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokewa na wenyeji wake wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Bolivia juzi Juni 13, 2014 kwa ajili ya kuhudhuria...
View ArticleZIARA YA NAIBU WAZIRI WA ARDHI NA WAKURUGENZI WA BODI YA NHC SINGAPORE
-Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya makazi Mh. George Simbachawene akiwa na wajumbe wa Bodi ya NHC na Watendaji wa NHC walipotembelea mji wa Bunggol wenye nyumba za wananchi (social housing...
View ArticleSAUTI SOL WATIKISA TAMASHA LA ZIFF 2014
MOJA ya vitu ambavyo wazanzibari watakumbuka ni jinsi kundi la Kenya ambalo hivi karibuni liliibuka kundi bora katika MTV Base lilivyovamia jukwaa na kuendesha shoo ya saa moja na nusu iliyokuwa na...
View Article