Quantcast
Channel: ARAWAY MEDIA TANZANIA
Browsing all 6824 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PROIN PROMOTIONS YATANGAZA RASMI KUDHAMINI LIGI YA MPIRA WA MIGUU KWA...

Katibu wa Michezo kutoka Kampuni ya Proin, Godlisten Anderson akitambulisha viongozi wa kampuni ya Proin Promotions kwa waandishi wa habari wakati wa Mkutano na Waandishi wa habari uliofanyika katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Bernard Membe Afungua...

 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.)-katikati) kwa pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bw. John Haule (wa tatu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Jakaya Kikwete Amuapisha Balozi Mpya wa Tanzania Nchini Urusi Luteni...

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Luteni Generali Wyjones Kisamba kuwa Balozi wa Tanzania nchini Urusi Ikulu jijini Dar es salaam jana Mei 15, 2014 Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi...

View Article

Soma Orodha ya majina, vyeo halmashauri na mkoa anakotoka na anakokwenda...

Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to Facebook

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Jakaya Kikwete Amfariji Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Ofisi ya Rais Ikulu...

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha maombolezo nyumbani kwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Ofisi ya Rais Ikulu Bwana Salva Rweyemamu Kinondoni jijini Dar es Salaam kufuatia kifo cha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

OFISI ndogo ya Bunge la Jamhuri la Muungano wa Tanzania leo imetialiana saini...

  Katibu wa Bunge la Jamhuri la Muungano wa Tanzania Bw. Thomas Kashililah (kulia) akiwakabidhi zawadi baadhi ya wajumbe alokuja nao mgeni wake.  Katibu wa Bunge la Jamhuri la Muungano wa Tanzania Bw....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU MKUU WA CCM ABDULRAHMAN KINANA ALA KWA MAMA NITILIE, AHUTUBIA MKUTANO...

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwa akihutubia mkutano wa hadhara eneo la Stendi ya zamani mjini Tabora wakati akihitimisha ziara yake ya siku 11 katika wilaya zote za mkoa huo, ikiwani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAZISHI YA PRIVATE BRIAN SALVA RWEYEMAMU

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam jioni ya leo kuhudhuria mazishi ya Private Brian Salva Ryweyemamu akiwa ameongozana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Jakaya Kikwete Alipomfariji Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde...

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha kumbukumbu alipokwenda kuhani msiba wa mama mkwe wa Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba,Marehemu Hedwig Laurent Ojjik,    Oysterbay...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SAFARI YA MWISHO YA MUIGIZAJI WA FILAMU,MAREHEMU ADAM KUAMBIANA KATIKA...

Mjane wa Msanii Adam Kuambiana, Janeth Rite ambaye ni Diwani wa Kata ya Kunduchi Mabwepande (Chadema) akiuaga mwili wa mume wake kabla ya mazishi yaliyofanyika katika makaburi ya Kinondoni Dar es...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAFLA YA UZINDUZI WA BODI YA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Kajumulo Tibaijuka akizungumza na watendaji wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) (hawapo pichani) kwenye uzinduzi rasmi wa Bodi  mpya ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWENGE WA UHURU 2014 WAMALIZA MBIO ZAKE MKOANI RUKWA, WAMMULIKA MLEMAVU WA...

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya (katikati) akishiriki mbio za Mwenge waUhuru (2014) na viongozi wa mbio hizo kitaifa, viongozi na wafanyakazi waSerikali, vyama vya siasa Mkoani Rukwa na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHADEMA IRINGA MJINI WATIMULIWA KATIKA MAZISHI YA DEREVA BODA BODA , WASEMA...

Continue reading →

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AMJULIA HALI MAMA MZAZI WA ZITTO KABWE

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Mama Mzazi wa Mbunge  wa Kigoma Kaskazini  kwa tiketi ya CHADEMA Zitto Zuberi Kabwe aliyelazwa katika wodi ya wagonjwa wenye kuhitaji uangalizi maalumu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CCM WAFANYA MKUTANO MKUBWA SINGIDA, WAELEZEA MIPANGO YAKE YA MAENDELEO KWA...

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi wa mjini Singida wakati alipowahutubia katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja vya Peoples mjini humo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Jakaya Kikwete na Mama Salma Kikwete Waudhuria Sherehe za Kula Kiapo...

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwasili katika Nelson Mandela Amphitheater katika jengo la Union Buildings mjini Pretoria kuhudhuria sherehe za kuapishwa Rais Jacob Zuma wa Afrika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Marais Waondoka Baada ya Kushuhudia Kuapishwa Kwa Rais wa Afrika ya Kusini...

 Rais Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiondoka Union Buildings baada ya kushuhudia Rais Jacob Zuma akiapa kuwa Rais wa Afrika Kusini kwenye ukumbi wa wazi wa Mandela katika jingo la Union Buildings...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

AIRTEL YAFUNGUA DUKA LA KISASA MWANZA

Mratibu mwandamizi wa polisi  mkoa wa Mwanza SSP  Christopher Cyprian Fuime,  akikata utepe kuzindua duka la Airtel Mwanza mara baada ya matengenezo na kulifanya duka hilo kuwa la kisasa, pembeni yake...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU ABDULRAHMAN KINANA ALIKUWA HANANG

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akivishwa skafu wakati alipopokelewa katika wilaya ya Hanang mpakani mwa mikoa ya Singida na Manyara akiwa katika ziara yake ya kukagua miradi ya maendeleo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tazama Picha Mbalimbali za Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa...

 Mwakilishi kutoka Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Betty Machangu (Mb.) akiwasilisha Hotuba kwa niaba ya Kamati hiyo Waziri Kivuli wa Mambo ya Nje kutoka...

View Article
Browsing all 6824 articles
Browse latest View live