Image may be NSFW.
Clik here to view.
Clik here to view.

Nape akizindua Shina la wakereketwa wacheza bao, tawi la Jumuia ya Wazazi la 770, Kimara, wakati wa ziara hiyo.
Image may be NSFW.
Clik here to view.
Clik here to view.

Vijana wa Chipukizi wa CCM, wakimvisha skafu Nape alipowasili katika kata hiyo kuanza ziara ya siku moja jana,Juni 15, 2014. Kushoto ni Katibu wa Jumuia ya Wazazi mkoa wa Dar es Salaam, Mohamed Cholage na Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Kinondoni, Salum Madenge
Image may be NSFW.
Clik here to view.
Clik here to view.

Mwenyekiti wa CCM, mkoa wa Dar es Salaam, Ramadham Madabiba akimlaki Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye alipowasili katika Kata ya Kimara kwa ajili ya ziara ya siku moja kukagua uhai wa Chama katika kata hiyo,jana Juni 15, 2014.
Image may be NSFW.
Clik here to view.
Clik here to view.

Nape akisalimia wananchi baada ya kuwasili uwanja wa mkutano wa Kimara TRA, kuhutubia mkutano wa hadhara mwishoni mwa ziara yake ya siku moja katika Kata ya Kimara.
Image may be NSFW.
Clik here to view.
Clik here to view.

Wananchi wakimshangilia Nape baada ya kuwasili uwanja wa mkutano wa Kimara TRA
Image may be NSFW.
Clik here to view.
Clik here to view.

Madabida akimkaribisha Nape kuhutubia kwenye mkutano huo
Image may be NSFW.
Clik here to view.
Clik here to view.

Nape akihutubia kwenye mkutano huo, mwishoni mwa ziara yake katika kata ya Kimara
Image may be NSFW.
Clik here to view.
Clik here to view.

Wanachama waliopewa kadi kwenye mkutano huo, wakila kiapo.
Image may be NSFW.
Clik here to view.
Clik here to view.

Wananchi wakiselebuka wakati Nape akicharaza gita na bendi ya Vijana Jazz, baada ya kuwasili uwanja wa mkutano wa Kimara TRA,wakati wa ziara hiyo.
Image may be NSFW.
Clik here to view.
Clik here to view.

Nape akimkabidhi kadi ya CCM, Domina Emmanuel, wakati wa mkutano wa hadhara Kimara TRA. Jumla ya wanachama wapya 480 wakiwemo waliohamia CCM wakitoka vyama vya Chadema na CUF walipewa kadi baada ya kujiunga na CC