Rais Jakaya Kikwete Akiteta Jambo na Msanii wa Kizazi Kipya Nasib Abdul...
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na msanii wa kizazi kipya Nasib Abdul “Diamond” ikulu ndogo mjini Dodoma wakati chakula cha usiku alichowaandalia wasanii walioshiriki katika tamasha la...
View ArticleUchaguzi wa wanafunzi wa kuingia Kidato cha Tano katika shule za Serikali na...
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA WAZIRI MKUU - TAMISEMI Uchaguzi wa wanafunzi wa kuingia Kidato cha Tano katika shule za Serikali na Vyuo vya Ufundi kwa mwaka 2014 umekamilika. Uchaguzi...
View ArticleNAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI ATEMBELEA MABANDA...
Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwamini Malemi (kulia) akimsikiliza kwa makini Afisa Tawala Mwandamizi wa Idara ya Wakimbizi, Jenita Ndone wakati alipokuwa anaeleza majukumu ya...
View ArticleORODHA YA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOPANGIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2014...
Uchaguzi wa wanafunzi wa kuingia Kidato cha Tano katika shule za Serikali na Vyuo vya Ufundi kwa mwaka 2014 umekamilika. Uchaguzi umefanyika kwa kuzingatia takwimu za matokeo ya watahiniwa waliofanya...
View ArticleCHUKUA NAFASI KUANGALIA VIDEO YA RAYC AKIFUNGUKA KUHUSU MAISHA YAKE KWENYE...
SOURCE http://kwetufashiontz.blogspot.com
View ArticleTBL YAPATA TUZO YA UTUNZAJI WA MAZINGIRA NCHINI
Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sofia Mjema (kushoto) akimkabidhi tuzo ya cheti Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dorris Malulu, kwa kutambua mchango wa kampuni hiyo katika utunzaji wa...
View ArticleMKE WA RAIS MAMA ALMA KIKWETE AWEKA JIWE LA MSINGI LA OFISI YA TEWO...
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwapungia wananchi waliohudhuria sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la TEWO Saccos huko Temeke Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiweka jiwe la msingi la ujenzi...
View ArticleMASHINDANO YA NGALAWA YANOGESHA TAMASHA LA 17 LA ZIFF 2014 VISIWANI ZANZIBAR
Mshindi wa tatu nahodha wa resi za Ngalawa, "Peace of life" Bw. Hassan Simai katika picha ya pamoja na mdhamini wa Ngalawa yao iliyopewa jina la " Peace of life" Mkurugenzi mtendaji wa Zanlink, Bw....
View ArticleMZUNGU KICHAA NA RICO SINGLE KUWACHIZISHA WAZANZIBAR TAMASHA LA ZIFF 2014
Music Coordinator wa ZIFF, Edward Lusala akiwatambulisha wasanii watakaotumbuiza usiku wa leo kwenye tamasha la 17 la ZIFF 2014 ndani ya viunga vya Mambo Club - Ngome Kongwe visiwani Zanzibar wakati wa...
View ArticleDARAJA LA TABATA KINYEREZI, LAKATIKA BAADA YA MZEMBE MWENYE SEMI TRAILER KUPITA
Semi-Trela likiwa limebeba kontena likiwa limeanguka baada ya kulielemea kwa uzito na kulivunja daraja la chuma katika barabara ya Banana-Kinyerezi maeneo ya Tabata jijini Dar es salaam jana jioni....
View ArticleRASMI! MICHAEL WAMBURA RUFANI YAKE YAPIGWA CHINI TFF, KAMPENI KABLA YA MUDA...
Kamati ya Rufani ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imeikataa rufani ya Michael Wambura kupinga kuenguliwa kugombea urais katika uchaguzi wa klabu ya Simba unaotarajiwa...
View ArticleRais Jakaya Kikwete Apokea Rasmi Taarifa ya Mpango Mpya wa Uendelezaji Mji...
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na viongozi waandamizi wa Ustawishaji Makao Makuu Dodoma (CDA) muda mfupi baada ya viongozi hao kuwasilisha taarifa ya mpango mpya wa...
View ArticleNEC KUBORESHA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA
Jaji Mstaafu Damian Lubuva (kushoto) akifafanua jambo kwa wahariri wa vyombo vya habari (hawapo pichani) wakati wa semina kwa wahariri wa vyombo vya habari juu ya maandalizi ya uandikishaji wapiga kura...
View ArticleJAJI MKUU AWATUNUKU VYETI MAWAKILI WAPYA JIJINI DAR LEO
Jaji Mkuu wa Tanzania,Mh. Othman Chande (katikati) akiwaongoza majaji mbali mbali wakati wa Sherehe ya 50 ya kuanzia mwaka 1986 ya kuwakubali na kuwasajili Mawakili wapya,iliyofanyika leo kwenye...
View ArticleWafanyakazi wa Airtel watoa msaada hospitali ya Ocean Road
Mwenyekiti wa kikundi cha wanawake wafanyakazi wa Airtel Tanzania ‘Airtel Diva’, Amitin Mbamba (kulia), akikabidhi msaada wa machela za kisasa mbili, ‘wheel chair’ mbili na bidhaa mbalimbali vyenye...
View ArticleCHINA NA TANZANIA ZAZINDUA UJENZI WA JENGO LA TAASISI YA MWALIMU NYERERE...
Makamu wa Rais wa China Li Yuanchao (wa pili kushoto) akiwa na mwenyeji wake Waziri Mkuu wa Tanzania Mh. Mizengo Pinda (katikati), akiwasili eneo litakapojengwa jengo la Taasisi ya wa Mwalimu Nyerere...
View ArticleRAIS KIKWETE AAPISHA BALOZI NA WAJUMBE WA TUME YA OPERESHENI TOKOMEZA
Balozi Joseph Edward Sokoine akila kiapo mbele ya Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete.Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo amemwapisha balozi mmoja pamoja na wajumbe wanne wa Tume ya Operesheni Tokomeza katika...
View ArticleMAMA KIKWETE APEWA ZAWADI YA KINYAGO
Mkrugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Mifuko ya Hifadhi za jamii(SSRA) Bibi Irene Kisaka akimkabidhi zawadi ya kinyago cha mpingo Mke wa Rais Mama Salma Kikwete kwa kutambua mchango wake katika...
View ArticleMAKAMU WA RAIS WA CHINA ATEMBELEA SHIRIKA LA RELI LA TANZANIA NA ZAMBIA (TAZARA)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Li Yuanchao (kulia) akiangalia jengo la Makao Makuu ya Ofisi ya Shirika la Reli la Tanzania na Zambia (TAZARA) mara baada ya kuwasili Makao Makuu ya...
View ArticleDAR ES SALAAM KUWA KIVUTIO KIKUBWA CHA WAWEKEZAJI NA UTALII MIAKA MICHACHE IJAYO
Pichani ni Jengo litakalojengwa jijini Dar es salaam na litagharimu Dola za kimarekani milioni 77,kutakuwa na hoteli ya hadhi ya Nyota Tano, Ofisi za Biashara, kutakuwa na Sehemu ya kuegesha magari,...
View Article