Quantcast
Channel: ARAWAY MEDIA TANZANIA
Browsing all 6821 articles
Browse latest View live
↧

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI SEFUE AONESHA HATI YA MUUNGANO

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akiowaonesha waandishi wa habari hati halisi ya Muungano ikulu jijini Dar es Salaam.(Picha na Freddy Maro)THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIADIRECTORATE OF...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SAFARI YA MWISHO ZA MAREHEMU MUHIDIN GURUMO

Picha kwa hisani ya JB

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Kikwete Akutana na Waziri wa Nishati na Mabadiliko ya tabia Nchi wa...

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadaye kufanya mazungumzo na Waziri wa  Nishati na Mabadiliko ya tabia Nchi wa Uingereza Mhe Greg Baker Ikulu jijini Dar es salaam jana April 15, 2014 Rais...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AONGOZA WAOMBOLEZAJI MSIBA WA MAALIM MUHIDIN...

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mbunge wa Ilala, Azzan Zungu, na baadhi ya waombolezaji wakati alipowasili nyumbani kwa marehemu Maalim...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKE WA RAIS MAMA SALMA KIKWETE AZINDUA RASMI UCHUNGUZI WA SARATANI YA SHINGO...

 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akijumuika na wacheza ngoma na wananchi mbalimbali wa wilaya ya Bahi mara baada ya kuzindua rasmi upimaji wa saratani ya shingo ya kizazi kwa akinamama.Mke wa Rais Mama...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AHANI MSIBA WA MUHIDIN MAALIM GURUMO NYUMBANI KWA MAREHEMU...

 Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji mjane wa marehemu Muhidin Maalim Gurumo (mwenye shuka nyeupe) na wanafamilia alipokwenda kuhani msimba huo Ubungo Makuburi jioni jana, siku ambayo marehemu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UVCCM SAME YAMSIMIKA KAIRUKI KUWA KAMANDA WAO

Katibu mkuu wa Umoja wa Vijana UVCCM  SixtusMapunda, akimsimika Naibu Waziri wa Sheria na Katiba Angellah Kairuki,kuwa Kamanda wa  Vijana wilaya ya Same mkoaniKilimanjaro.Katibu mkuu wa umoja wa Vijana...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Chuo Kikuu cha Bagamoyo chawaasa wahitimu wa kozi ya Utetezi wa Haki za Binadamu

CHUO Kikuu Cha Bagamoyo (UB) Dar es Salaam, kimewatakawahitimu walioitimu kozi ya utetezi wa Haki za binadamu na Haki za kijamii kutumia taaluma hiyo waliyoipata Katika nchi za Afrika Mashariki bila...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BENKI YA CRDB YAPEWA TUZO KWA KUCHANGIA MAENDELEO YA MKOA WA MOROGORO

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendela kushoto, akimkabidhi  kikombe Mkurugenzi wa Wateja Binafsi na wa kati wa Benki ya CRDB, Nelia Ndosa wakati wa kutoa tuzo zilizotolewa na ULUGURU. Benki hiyo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA NYUMBA 60 ZA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA...

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa nyumba 60 za makazi ya watu zinazojengwa na Shirika la Nyumba ya Taifa katika  Wilaya ya Mlele mkoani Katavi.  Katibu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA BANDA LA BODI YA MIKOPO KATIKA MAONESHO YA MIAKA 50...

 Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilali ametembelea viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam kujionea maonesho ya Miaka 50 ya Muungano yanayoendelea katika vuiwanja hivyo. Miongoni mwa mabanda...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma George Yambesi...

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. George Yambesi (kulia) na Afisa Masoko na Mauzo TTCL Bw. Peter Ngota (kushoto) wakitia saini mkataba wa makubaliano ya kuweka mtandao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ona Jinsi Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Wanaounga Mkono Mfumo wa Serikali...

Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to Facebook

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAZAMA MCHANGO WA MJUMBE MMOJA MMOJA NDANI YA BUNGE MAALUM LA KATIBA

Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Makame Mshimba akichangia hoja katika Kikao cha Bunge hilo mjini DodomaMjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Makame Mshimba akichangia hoja katika Kikao cha Bunge hilo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wakala wa huduma za ajira (TaESA) imefanikiwa kuanzisha Ofisi za Kanda katika...

Msemaji wa Wakala wa Huduma za ajira (TaESA) bw. Peter Ugata (katikati) akiwaeleza waandishi wa habari jana jijini Dar es salaam kuhusu mafanikio yaliyofikiwa na wakala huo ikiwemo kuanzisha ofisi za...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA KWA UMMA: VIPINDI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA UCHUKUZIMAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIASimu: 255 22 2460735/2460706FAKSI: 255 22 2460735/2460700 S.L.P. 3056Barua pepe: met@meteo.go.tz DAR ES SALAAMTovuti:...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AMALIZA ZIARA YAKE WILAYA YA MLELE KUHUTUBIA LEO MPANDA MJINI

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na ujumbe wake wakipata maelezo kutoka kwa Daktari wa Kituo cha Afya Inyonga Dk. Koni,Katibu Mkuu alitembelea kituo hicho ambacho kimeombewa kibali cha kuwa...

View Article


SIKILIZA SAUTI YA LIPUMBA KABLA UKAWA HAWAJATOKA BUNGENI SIKU YA JANA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

FUNDRAISING DINNER COLUMBUS YAFANA BALOZI LIBERATA MULAMULA ASISITIZA...

Mhe. Liberata Mulamula akipokewa na mweka hazina wa Jumuiya Bi. Vera Teri mara tu alipowasili kwenye fundraisng dinner ya Jumuiya ya Watanzania Columbus, Ohio iliyofanyika Comfort Inn siku ya Jumamosi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ona Picha mbalimbali za Kikao Cha Kamati ya Uongozi ya bunge maalum la katiba...

Mjumbe wa Kamati ya Uongozi ys Bunge la katiba Pande Ameir Kificho akitoa mchango wake wakati wa kikao cha kamati hiyo mjini Dodoma kilichokua kikijadili mambo mbalimbali ikiwemo jinsi ya kuwasaidia...

View Article
Browsing all 6821 articles
Browse latest View live