Quantcast
Viewing all articles
Browse latest Browse all 6856

UVCCM SAME YAMSIMIKA KAIRUKI KUWA KAMANDA WAO

Image may be NSFW.
Clik here to view.
Katibu mkuu wa Umoja wa Vijana UVCCM  Sixtus
Mapunda, akimsimika Naibu Waziri wa Sheria na Katiba Angellah Kairuki,
kuwa Kamanda wa  Vijana wilaya ya Same mkoani
Kilimanjaro.
Image may be NSFW.
Clik here to view.
Katibu mkuu wa umoja wa Vijana UVCCM, Sixtus
Mapunda
akimsomea , Naibu waziri wa Sheria na Katiba Angellah Kairuki kiapo
cha ukamanda.
Image may be NSFW.
Clik here to view.
Naibu waziri wa Sheria na
Katiba Angellah Kairuki, akila kiapo cha kusimikwa kuwa kamanda wa
umoja wa vijana UVCCM wilaya
ya Same.
Image may be NSFW.
Clik here to view.
Naibu waziri wa Sheria na Katiba  Angellah
Kairuki
akizindua Shina la wakereketwa wa umoja wa Vijana Uvccm, baada ya
kusimikwa kuwa kamanda wa umoja huo wilayani Same.
Image may be NSFW.
Clik here to view.
Naibu waziri wa Sheria na Katiba Angellah Kairuki
akiwa
kwenye picha ya pamoja na baadhi ya  viongozi wa timu za mpira, baada
ya kuwakabidhi vifaa vya michezo, kama njia ya kuwaunganisha vijana
pamoja. Picha zote na Fadhili Athumani

Viewing all articles
Browse latest Browse all 6856

Trending Articles